Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

"Kwa mfano ili msanii awavute mashabiki ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa nyimbo zake. Ili mwanasiasa akubarike na watu wengi ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa sera zake"

HAPO 👆 umepuyanga mkuu, kwamba mwanasiasa ili akubalike na wananchi ni lazima awe na mvuto bila ya kujali uzuri wa sera zake????? 🤒 😎

BIG NO!!!!!
Hii picha naipenda sana ina story flani watu watakusimulia
GridArt_20240515_210219689.jpg

Kati ya mwambukusi na Mond nani ni rahisi zaidi kushinda ubunge?
 
Uchawa nao si una angukia humu HUMU
GridArt_20240515_211623724.jpg

Kwenye hiyo picha mwenye red ni mtu mwenye mvuto, hao wenye white ni watu wanaovutwa.

Chawa hako ka emoj kana represent chawa, chawa ni mtu au kikundi cha watu wanaosimama mbali kidogo lakini kati kati ya mwenye red na white, kazi ya chawa ni kupaza sauti na kuyapamba mambo yote yanayofanywa na mwenye red huku wakimufaika kiuchumi lakini hawana mvuto kwa mwenye white ndio maana hushambuliwa kwa maneno ila hawakomi sababu wanajua wanachokitafuta hawana mvuto kwa sababu wapo mbali kidogo na mwenye mvuto
 
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?

Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?

Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali?

Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye mvuto anasifa zipi?

Kwa maoni yangu mvuto ni ile hali ya kupendwa na watu wanaokujua na wasiokujua kwa kutumia muda wao kukufuata au kuwa karibu na wewe huku wakikufikiria kwa mazuri.

Je, una marafiki?

Unapofika sehemu yeyote watu hukufuata au hukukwepa?

Je Unapofika nyumbani baada ya kutoka kazini watoto hukupokea kwa kukukimbilia? Au kila mmoja huingia mitini?

Usichoke twende taratibu
View attachment 2990906
Chukulia mfano wewe ni huyo hapo katikati pichani mwenye rangi nyekundu, mstari unaokuunganisha wewe na mtu mwingine ni wa kufikirika namaanisha katikati ya wewe na mtu kuna kamba ya kufikirika inayokuunganisha wewe na mtu kwa lugha ya kikemia tunaita bond.
Ili umvute mtu ni lazima uwe na nguvu iitwayo mvuto. Kwa mfano ili msanii awavute mashabiki ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa nyimbo zake. Ili mwanasiasa akubarike na watu wengi ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa sera zake.

Nguvu iitwayo mvuto ndio humpa mtu umaarufu.

CASE STUDY
1. Mandonga vs kaoneka
2. Harmonize akiwa nje na ndani ya wsafi
3. Diamond kufanya collabo na Davido

Je kuna aina ngapi za mvuto?

Kwa maoni yangu kuna aina tatu za mvuto
1. Mvuto wa kuzaliwa
2. Mvuto bandia

Mvuto wa kuzaliwa huu ni mtu huzaliwa nao na huonekana tangu utotoni. Mfano mtoto mdogo anayepiganiwa na kila mtu ambebe

Mbuto bandia ni mvuto wa kiujanja ujanja na kona nyingi nyingi. Huu mvuto hutegemea mtu mwenye mbuto wa kuzaliwa.

Kivipi?

Mfano pichani hapo juu ni mtu mwenye mvuto wa kuzaliwa. Ghafla anatokea mtu mjanja anaenda kusimama nae katikati huyo mwenye red color, automatically na yeye anakuwa na mvuto lakini ni mvuto wa muda.

Mfano
MO na SIMBA
GSM na YANGA
CCM na DIAMOND (kampeni za uchaguzi).

Je utaupata vipi mvuto na kuufanya ukunufaishe.

Tafuta mtu mwenye nguvu ya mvuto simama naye kati kati kisha mtumie kujinufaisha katika njia inayofaa isiyoumiza mtu.

Mfano kama una duka mtafute mtu mwenye mvuto ambaye hajajijuua kama anamvuto mtumie akuuzie kwa kumpa ajira.

Oa mke mwenye mvuto (usichanganye mvuto sio sura peke yake) trust me maisha yako yatabadirika.

Kama hauna ramani mtafute mtu mwenye mvuto mfanye awe mtu wako wa karibu utanufaika.

Haya ni maoni yangu je wewe unaelewa nini kuhusu mvuto?
Ukitaka kutengeza tangazo linatakiwa lisemie nisome mimi nisome mimi Halafu likwambie pia ninunue mimi ninunue mimi,read me read me and buy me buy me
 
ETI UKIWA HANDSOME
  1. People are nicer to you.
  2. People want to talk to you more often, and often express this by staring at you intensely from far away as if you don’t notice.
  3. People think that they deserve something from me when I have no obligation to give it to them.
  4. People notice you more often and move out of the way for you if you need it. They also listen to you more when you speak.
  5. Dating is intimidating, humbling, and frustrating. Girls often feel extremely lucky until they find out that I have problems like other people do so they drop me like a rock.
  6. When you walk into a room, you can feel people looking at you. When you’re in a dance circle, you feel completely under scrutiny.
  7. You feel great and foolish at the same time in a suit.
  8. There’s a lot of unnecessary sexual tension when working with women. It’s a drag, if I am too nice to one coworker then assumptions are made, so I’m encouraged not to do favors or help people as a result. The best way to solve this is usually to claim that I’m already in a relationship.
  9. Same thing with younger girls. I cannot be too nice to girls 16 and younger because assumptions get made and tension as a result.
  10. Same thing with girls my contemporary. Many parents of my female friends assume that I’m ‘dangerous’ and won’t let me hang out with or would drop off my friend at the destination where we agreed to meet up, then watch us until we walk into the building because we may be planning something nefarious, when it’s purely platonic.
  11. People laugh at your jokes more, even when they’re not that funny. The best people will try to make you laugh in return, though. I appreciate people like that very much.
  12. Certain people will flat out hate you simply because of your appearance and confidence.
  13. Other people will ignore you and not bother to get to know you simply because they have an established picture of you in their mind that cannot be erased.
  14. People think I’m pissed off when seeing my natural face.
  15. People will be either creepy or cold. I’ve had girls who would not take no for an answer and message me nothing but “hey” 20 times in a row, followed by “your a jerk” for not responding in time. I often get the opposite treatment, where I try to talk to people to be friends and get ghosted within three messages, which is understandable but not without its frustrations.
  16. There’s a lot of temptation. There’s things, favors, drugs, I could get if I simply asked for them that I know I shouldn’t ask for. Not a lot of people know about that.
 
View attachment 2991037

Kwenye hiyo picha mwenye red ni mtu mwenye mvuto, hao wenye white ni watu wanaovutwa.

Chawa hako ka emoj kana represent chawa, chawa ni mtu au kikundi cha watu wanaosimama mbali kidogo lakini kati kati ya mwenye red na white, kazi ya chawa ni kupaza sauti na kuyapamba mambo yote yanayofanywa na mwenye red huku wakimufaika kiuchumi lakini hawana mvuto kwa mwenye white ndio maana hushambuliwa kwa maneno ila hawakomi sababu wanajua wanachokitafuta hawana mvuto kwa sababu wapo mbali kidogo na mwenye mvuto
nimekuelewa
 
Akili ndogo haiwezi kudigest mambo makubwa
😂😂😂😂

Kwa hiyo na akili ndogo

Hebu tuelekeze kidogo shule ya hexose monophosphate shunt na inavyopelekea watu wenye G6PD deficiency wapate upungufu wa damu

Au swali rahisi kwanini sasa watu wenye G6PD na ni sickler trait hawapati malaria ila sickler people with disease wanapata malaria

Au tueleze kiurahisi kwanini HBc ni mbaya sana kwa ma sickler kuliko hbf hapa hamna mvuto mzee ni ugliness on its finest

Kwa akili yangu ya la saba B hexose monophosphate shunt hii ni reaction ndogo inayotokea wakati wa glycolysis (respiration) ambapo NADH na NADPH huzalishwa ambazo hutumika kwenye mchakato wa kutengeneza NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kumbuka nucleic acids ni DNA au RNA pia amino acids zipo za aina 20. Ribosomal RNA hubeba aina flani ya amino acids. Kivyovyote vile kukiwa na Hexose monophosphate deficiency tarajia NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kutozalishwa na hii itapereke cell membrane ya RBC kuwa weak hivyo basi plasmodium falciparum akiingia hataweza kukamilisha life cycle yake cell itaburst hii hali inasababisha mtu awe resistant to malaria infection

Katika mchakato wa respiration pale kwenye glycolysis huwa kunafanyika oxidation(dehydrogenation) yaani ile phospholyleted sugar inachomolewa ka hydrogen kamoja kisha kanadakwa na mjuba NADP na kuwa NADPH

Huu mchakato hufanyika kwa msaada wa enzyme iitwayo hexose monophosphate dehydrogenase na kazi ya hiyo NADH ni kusaidia michakato ya kutengeneza nucleic acid ikieemo RIBOSOMA RNA na amino acids

Hivyo basi kukosekana kwake kutaperekea hizo RNA na amino acids zisiwepo ambazo hutumika kujenga cell membrane ya RBC

Ikitokea wewe umedungwa na mbu jike aina ya anoheles basi utapata infection. Vijidudu aina ya plasmodium falciparum wataingia keenye blood stream wakikutana RBC watazama ndani chap.

Kikawaida plasmodium falciparum akiingia kwenye RBC hujizalisha kwa mtindo wa hatua moja moja (life cycle) mfano scizonts, sporozoids na merozoites

Kwa vile cell membrane ni weak itacreate pressure ambayo itasababisha cell membrane iburst kabla plasmodium hawajakomaa fresh

Hivyo basi huyo mtu atakuwa resistant to malaria

Hizo cell debris zitavunjwa vunjwa kuwa end products kama zikivunjwa kwa wingi utapata jaundice

Haya wewe nyau unasemaje na hako ka degree uchwara kako ka microbiology

Labda nipite na hoja zako za msingi ambazo zinagusia kuwa mvuto ni hali ya kupendwa....

Na hasa nikitumia hoja yako ya kuangalia jinsia moja dhidi ya.nyingine, binafsi siamini upendo una uhusuano wowote wa lazima au wa moja kwa moja na mvuto.

Mvuto ni wa macho tu na huvutwa kwa ajili ya kukidhi tamaa za kimwili tu. Hapa naongelea kwa hoja uliyoitamka kihusu mwonekano wa ma bar maid, air hostess n.k.

Usiyemoenda bado anaweza akakuvutia sababu ni mwili tu unatamani.Ila hutapenda kuwa naye mda wote. Mvuto na wa kibinafsi kukodgi tu haja za mda au za mara kwa mara.

Ila upendo ni tofauti.Huu ni wa rohoni zaodi.Hautazingatia mwonekano ama lolote, bali sifa za ndani tu kama upendo wa mhusika,ukarimu, wema n.k.
Upendo hauna msingi wa kukidhi mahitaji ya ubinafsi wa mtu, bali hutamanisha kunena na kutenda na hata kumuwazia mama mwingine.
Upendo haubagui jinsia,wakati mvuto waweza kubagua jinsia.

Ila kwa ujumla wake, mvuto sio tu wa kimwili. Mtu aweza kuwa na mvuto katika maongezi yake, misimamo yake, kujiamini kwake n.k.
Hata wakati mwingine sifa za ndani za mtu zunaweza kumwongezea mvuto.

Kuhusu wahudumu kwenye ndege, bar n.k. kuchukuliwa wenye mvuto, ni juhudi za ku exploit mivuto kwenye mionekano ya hao wahudumu ili kuwavutia wateja hasa wa jinsia ya tofauti nao ambao dhahiri ndio wenye udadi kubwa kwenye hizo huduma.

Ni namna fulani ya kurubuni, hasa jinsia fulani (hapa ya wanaume ambao macho yao kuona tu, yanaweza sana kushawishi maamuzi yao) ili kushea sehemu kubwa ya bongo zao ziambatanishwe na biashara zao ili 'kuuza'.
Mtazamo wangu tu huu.
 
Kwa akili yangu ya la saba B hexose monophosphate shunt hii ni reaction ndogo inayotokea wakati wa glycolysis (respiration) ambapo NADH na NADPH huzalishwa ambazo hutumika kwenye mchakato wa kutengeneza NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kumbuka nucleic acids ni DNA au RNA pia amino acids zipo za aina 20. Ribosomal RNA hubeba aina flani ya amino acids. Kivyovyote vile kukiwa na Hexose monophosphate deficiency tarajia NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kutozalishwa na hii itapereke cell membrane ya RBC kuwa weak hivyo basi plasmodium falciparum akiingia hataweza kukamilisha life cycle yake cell itaburst hii hali inasababisha mtu awe resistant to malaria infection

Katika mchakato wa respiration pale kwenye glycolysis huwa kunafanyika oxidation(dehydrogenation) yaani ile phospholyleted sugar inachomolewa ka hydrogen kamoja kisha kanadakwa na mjuba NADP na kuwa NADPH

Huu mchakato hufanyika kwa msaada wa enzyme iitwayo hexose monophosphate dehydrogenase na kazi ya hiyo NADH ni kusaidia michakato ya kutengeneza nucleic acid ikieemo RIBOSOMA RNA na amino acids

Hivyo basi kukosekana kwake kutaperekea hizo RNA na amino acids zisiwepo ambazo hutumika kujenga cell membrane ya RBC

Ikitokea wewe umedungwa na mbu jike aina ya anoheles basi utapata infection. Vijidudu aina ya plasmodium falciparum wataingia keenye blood stream wakikutana RBC watazama ndani chap.

Kikawaida plasmodium falciparum akiingia kwenye RBC hujizalisha kwa mtindo wa hatua moja moja (life cycle) mfano scizonts, sporozoids na merozoites

Kwa vile cell membrane ni weak itacreate pressure ambayo itasababisha cell membrane iburst kabla plasmodium hawajakomaa fresh

Hivyo basi huyo mtu atakuwa resistant to malaria

Hizo cell debris zitavunjwa vunjwa kuwa end products kama zikivunjwa kwa wingi utapata jaundice

Haya wewe nyau unasemaje na hako ka degree uchwara kako ka microbiology
Ribosoma RNA

MAFI yako 😂

Mimi ni daktari bingwa bobezi
wa watoto we mzee usione tunaandika pumba humu
 
Hujajibu sickler ni nani?
Sickler ni mtu Mwenye sickle cells
Hbc na Hbf hujajibu

Umejitahidi ku Google monophosphate shunt kazi nzuri

Ila umesahau roles za glutathione kwamba NADH tunazitaka kwa ajili ya glutathione ifanye kazi yake muhimu sana ya ku deal na reactive oxygen species

Sicklers au watu wenye sickle cell traits na sio wenye disease wanakua protected sababu ROS ina accumulate na automatically hakuna glutathione sababu hakuna NADPH

Kuhusu disease ni research naifanya na ntapresent kwa wazungu mwezi wa nane😂😂
Na akili kuliko ukoo wenu mzima

Hbf ni nzuri ina prevent precipitation wewe mjinga Mwenye akili
Hamna mtu Mwenye degree ya microbiology anajua hivi vitu

Kichwa kama orbicularis oculi
 
H
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?

Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?

Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali?

Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye mvuto anasifa zipi?

Kwa maoni yangu mvuto ni ile hali ya kupendwa na watu wanaokujua na wasiokujua kwa kutumia muda wao kukufuata au kuwa karibu na wewe huku wakikufikiria kwa mazuri.

Je, una marafiki?

Unapofika sehemu yeyote watu hukufuata au hukukwepa?

Je Unapofika nyumbani baada ya kutoka kazini watoto hukupokea kwa kukukimbilia? Au kila mmoja huingia mitini?

Usichoke twende taratibu
View attachment 2990906
Chukulia mfano wewe ni huyo hapo katikati pichani mwenye rangi nyekundu, mstari unaokuunganisha wewe na mtu mwingine ni wa kufikirika namaanisha katikati ya wewe na mtu kuna kamba ya kufikirika inayokuunganisha wewe na mtu kwa lugha ya kikemia tunaita bond.
Ili umvute mtu ni lazima uwe na nguvu iitwayo mvuto. Kwa mfano ili msanii awavute mashabiki ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa nyimbo zake. Ili mwanasiasa akubarike na watu wengi ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa sera zake.

Nguvu iitwayo mvuto ndio humpa mtu umaarufu.

CASE STUDY
1. Mandonga vs kaoneka
2. Harmonize akiwa nje na ndani ya wsafi
3. Diamond kufanya collabo na Davido

Je kuna aina ngapi za mvuto?

Kwa maoni yangu kuna aina tatu za mvuto
1. Mvuto wa kuzaliwa
2. Mvuto bandia

Mvuto wa kuzaliwa huu ni mtu huzaliwa nao na huonekana tangu utotoni. Mfano mtoto mdogo anayepiganiwa na kila mtu ambebe

Mbuto bandia ni mvuto wa kiujanja ujanja na kona nyingi nyingi. Huu mvuto hutegemea mtu mwenye mbuto wa kuzaliwa.

Kivipi?

Mfano pichani hapo juu ni mtu mwenye mvuto wa kuzaliwa. Ghafla anatokea mtu mjanja anaenda kusimama nae katikati huyo mwenye red color, automatically na yeye anakuwa na mvuto lakini ni mvuto wa muda.

Mfano
MO na SIMBA
GSM na YANGA
CCM na DIAMOND (kampeni za uchaguzi).

Je utaupata vipi mvuto na kuufanya ukunufaishe.

Tafuta mtu mwenye nguvu ya mvuto simama naye kati kati kisha mtumie kujinufaisha katika njia inayofaa isiyoumiza mtu.

Mfano kama una duka mtafute mtu mwenye mvuto ambaye hajajijuua kama anamvuto mtumie akuuzie kwa kumpa ajira.

Oa mke mwenye mvuto (usichanganye mvuto sio sura peke yake) trust me maisha yako yatabadirika.

Kama hauna ramani mtafute mtu mwenye mvuto mfanye awe mtu wako wa karibu utanufaika.

Haya ni maoni yangu je wewe unaelewa nini kuhusu mvuto?
Uzi huu haukupaswa kuwa mfupi namna hii hata kidogo.
 
Back
Top Bottom