Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Life cycle ya malaria umeikosea hadi naona aibuKwa akili yangu ya la saba B hexose monophosphate shunt hii ni reaction ndogo inayotokea wakati wa glycolysis (respiration) ambapo NADH na NADPH huzalishwa ambazo hutumika kwenye mchakato wa kutengeneza NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kumbuka nucleic acids ni DNA au RNA pia amino acids zipo za aina 20. Ribosomal RNA hubeba aina flani ya amino acids. Kivyovyote vile kukiwa na Hexose monophosphate deficiency tarajia NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kutozalishwa na hii itapereke cell membrane ya RBC kuwa weak hivyo basi plasmodium falciparum akiingia hataweza kukamilisha life cycle yake cell itaburst hii hali inasababisha mtu awe resistant to malaria infection
Katika mchakato wa respiration pale kwenye glycolysis huwa kunafanyika oxidation(dehydrogenation) yaani ile phospholyleted sugar inachomolewa ka hydrogen kamoja kisha kanadakwa na mjuba NADP na kuwa NADPH
Huu mchakato hufanyika kwa msaada wa enzyme iitwayo hexose monophosphate dehydrogenase na kazi ya hiyo NADH ni kusaidia michakato ya kutengeneza nucleic acid ikieemo RIBOSOMA RNA na amino acids
Hivyo basi kukosekana kwake kutaperekea hizo RNA na amino acids zisiwepo ambazo hutumika kujenga cell membrane ya RBC
Ikitokea wewe umedungwa na mbu jike aina ya anoheles basi utapata infection. Vijidudu aina ya plasmodium falciparum wataingia keenye blood stream wakikutana RBC watazama ndani chap.
Kikawaida plasmodium falciparum akiingia kwenye RBC hujizalisha kwa mtindo wa hatua moja moja (life cycle) mfano scizonts, sporozoids na merozoites
Kwa vile cell membrane ni weak itacreate pressure ambayo itasababisha cell membrane iburst kabla plasmodium hawajakomaa fresh
Hivyo basi huyo mtu atakuwa resistant to malaria
Hizo cell debris zitavunjwa vunjwa kuwa end products kama zikivunjwa kwa wingi utapata jaundice
Haya wewe nyau unasemaje na hako ka degree uchwara kako ka microbiology
Wewe mzee usione watu wana comment ujinga humu ukaweletea dharau
Nmetoka kutoa pineal region tumor na katoto kanapumua 😂😂 kesho kuna astrocytoma inanisubiri 😭
Hafu nmekuta umeandika upupu hapa
Mvuto mvuto mvuto mazafaken