OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #21
Hii picha naipenda sana ina story flani watu watakusimulia"Kwa mfano ili msanii awavute mashabiki ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa nyimbo zake. Ili mwanasiasa akubarike na watu wengi ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa sera zake"
HAPO π umepuyanga mkuu, kwamba mwanasiasa ili akubalike na wananchi ni lazima awe na mvuto bila ya kujali uzuri wa sera zake????? π€ π
BIG NO!!!!!
Uchawa nao si una angukia humu HUMU
Na ndicho kinachomtofautisha Lowasa na Dr SlaaLowassa anazungumza dakika 3 tu, Elimu, Elimu, Elimu... Angalia mapokeo ya wananchi
Ukitaka kutengeza tangazo linatakiwa lisemie nisome mimi nisome mimi Halafu likwambie pia ninunue mimi ninunue mimi,read me read me and buy me buy meJe, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali?
Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye mvuto anasifa zipi?
Kwa maoni yangu mvuto ni ile hali ya kupendwa na watu wanaokujua na wasiokujua kwa kutumia muda wao kukufuata au kuwa karibu na wewe huku wakikufikiria kwa mazuri.
Je, una marafiki?
Unapofika sehemu yeyote watu hukufuata au hukukwepa?
Je Unapofika nyumbani baada ya kutoka kazini watoto hukupokea kwa kukukimbilia? Au kila mmoja huingia mitini?
Usichoke twende taratibu
View attachment 2990906
Chukulia mfano wewe ni huyo hapo katikati pichani mwenye rangi nyekundu, mstari unaokuunganisha wewe na mtu mwingine ni wa kufikirika namaanisha katikati ya wewe na mtu kuna kamba ya kufikirika inayokuunganisha wewe na mtu kwa lugha ya kikemia tunaita bond.
Ili umvute mtu ni lazima uwe na nguvu iitwayo mvuto. Kwa mfano ili msanii awavute mashabiki ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa nyimbo zake. Ili mwanasiasa akubarike na watu wengi ni lazima awe na mvuto bila kujali uzuri wa sera zake.
Nguvu iitwayo mvuto ndio humpa mtu umaarufu.
CASE STUDY
1. Mandonga vs kaoneka
2. Harmonize akiwa nje na ndani ya wsafi
3. Diamond kufanya collabo na Davido
Je kuna aina ngapi za mvuto?
Kwa maoni yangu kuna aina tatu za mvuto
1. Mvuto wa kuzaliwa
2. Mvuto bandia
Mvuto wa kuzaliwa huu ni mtu huzaliwa nao na huonekana tangu utotoni. Mfano mtoto mdogo anayepiganiwa na kila mtu ambebe
Mbuto bandia ni mvuto wa kiujanja ujanja na kona nyingi nyingi. Huu mvuto hutegemea mtu mwenye mbuto wa kuzaliwa.
Kivipi?
Mfano pichani hapo juu ni mtu mwenye mvuto wa kuzaliwa. Ghafla anatokea mtu mjanja anaenda kusimama nae katikati huyo mwenye red color, automatically na yeye anakuwa na mvuto lakini ni mvuto wa muda.
Mfano
MO na SIMBA
GSM na YANGA
CCM na DIAMOND (kampeni za uchaguzi).
Je utaupata vipi mvuto na kuufanya ukunufaishe.
Tafuta mtu mwenye nguvu ya mvuto simama naye kati kati kisha mtumie kujinufaisha katika njia inayofaa isiyoumiza mtu.
Mfano kama una duka mtafute mtu mwenye mvuto ambaye hajajijuua kama anamvuto mtumie akuuzie kwa kumpa ajira.
Oa mke mwenye mvuto (usichanganye mvuto sio sura peke yake) trust me maisha yako yatabadirika.
Kama hauna ramani mtafute mtu mwenye mvuto mfanye awe mtu wako wa karibu utanufaika.
Haya ni maoni yangu je wewe unaelewa nini kuhusu mvuto?
Unamaanisha nini mkuu?Ukitaka kutengeza tangazo linatakiwa lisemie nisome mimi nisome mimi Halafu likwambie pia ninunue mimi ninunue mimi,read me read me and buy me buy me
Akili ndogo haiwezi kudigest mambo makubwaUzi wako Hauna mvuto mkuu
Ungejisomea kwanza vizuri
Nitaleta uzi wa nyotaKule unguja tunaita nyota atii
nimekuelewaView attachment 2991037
Kwenye hiyo picha mwenye red ni mtu mwenye mvuto, hao wenye white ni watu wanaovutwa.
Chawa hako ka emoj kana represent chawa, chawa ni mtu au kikundi cha watu wanaosimama mbali kidogo lakini kati kati ya mwenye red na white, kazi ya chawa ni kupaza sauti na kuyapamba mambo yote yanayofanywa na mwenye red huku wakimufaika kiuchumi lakini hawana mvuto kwa mwenye white ndio maana hushambuliwa kwa maneno ila hawakomi sababu wanajua wanachokitafuta hawana mvuto kwa sababu wapo mbali kidogo na mwenye mvuto
ππππAkili ndogo haiwezi kudigest mambo makubwa
Akili ndogo haiwezi kudigest mambo makubwa
Kwa akili yangu ya la saba B hexose monophosphate shunt hii ni reaction ndogo inayotokea wakati wa glycolysis (respiration) ambapo NADH na NADPH huzalishwa ambazo hutumika kwenye mchakato wa kutengeneza NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kumbuka nucleic acids ni DNA au RNA pia amino acids zipo za aina 20. Ribosomal RNA hubeba aina flani ya amino acids. Kivyovyote vile kukiwa na Hexose monophosphate deficiency tarajia NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kutozalishwa na hii itapereke cell membrane ya RBC kuwa weak hivyo basi plasmodium falciparum akiingia hataweza kukamilisha life cycle yake cell itaburst hii hali inasababisha mtu awe resistant to malaria infectionππππ
Kwa hiyo na akili ndogo
Hebu tuelekeze kidogo shule ya hexose monophosphate shunt na inavyopelekea watu wenye G6PD deficiency wapate upungufu wa damu
Katika mchakato wa respiration pale kwenye glycolysis huwa kunafanyika oxidation(dehydrogenation) yaani ile phospholyleted sugar inachomolewa ka hydrogen kamoja kisha kanadakwa na mjuba NADP na kuwa NADPHAu swali rahisi kwanini sasa watu wenye G6PD na ni sickler trait hawapati malaria ila sickler people with disease wanapata malaria
Au tueleze kiurahisi kwanini HBc ni mbaya sana kwa ma sickler kuliko hbf hapa hamna mvuto mzee ni ugliness on its finest
Ribosoma RNAKwa akili yangu ya la saba B hexose monophosphate shunt hii ni reaction ndogo inayotokea wakati wa glycolysis (respiration) ambapo NADH na NADPH huzalishwa ambazo hutumika kwenye mchakato wa kutengeneza NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kumbuka nucleic acids ni DNA au RNA pia amino acids zipo za aina 20. Ribosomal RNA hubeba aina flani ya amino acids. Kivyovyote vile kukiwa na Hexose monophosphate deficiency tarajia NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kutozalishwa na hii itapereke cell membrane ya RBC kuwa weak hivyo basi plasmodium falciparum akiingia hataweza kukamilisha life cycle yake cell itaburst hii hali inasababisha mtu awe resistant to malaria infection
Katika mchakato wa respiration pale kwenye glycolysis huwa kunafanyika oxidation(dehydrogenation) yaani ile phospholyleted sugar inachomolewa ka hydrogen kamoja kisha kanadakwa na mjuba NADP na kuwa NADPH
Huu mchakato hufanyika kwa msaada wa enzyme iitwayo hexose monophosphate dehydrogenase na kazi ya hiyo NADH ni kusaidia michakato ya kutengeneza nucleic acid ikieemo RIBOSOMA RNA na amino acids
Hivyo basi kukosekana kwake kutaperekea hizo RNA na amino acids zisiwepo ambazo hutumika kujenga cell membrane ya RBC
Ikitokea wewe umedungwa na mbu jike aina ya anoheles basi utapata infection. Vijidudu aina ya plasmodium falciparum wataingia keenye blood stream wakikutana RBC watazama ndani chap.
Kikawaida plasmodium falciparum akiingia kwenye RBC hujizalisha kwa mtindo wa hatua moja moja (life cycle) mfano scizonts, sporozoids na merozoites
Kwa vile cell membrane ni weak itacreate pressure ambayo itasababisha cell membrane iburst kabla plasmodium hawajakomaa fresh
Hivyo basi huyo mtu atakuwa resistant to malaria
Hizo cell debris zitavunjwa vunjwa kuwa end products kama zikivunjwa kwa wingi utapata jaundice
Haya wewe nyau unasemaje na hako ka degree uchwara kako ka microbiology
Hujajibu sickler ni nani?Kwa akili yangu ya la saba B hexose monophosphate shunt hii ni reaction ndogo inayotokea wakati wa glycolysis (respiration) ambapo NADH na NADPH huzalishwa ambazo hutumika kwenye mchakato wa kutengeneza NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kumbuka nucleic acids ni DNA au RNA pia amino acids zipo za aina 20. Ribosomal RNA hubeba aina flani ya amino acids. Kivyovyote vile kukiwa na Hexose monophosphate deficiency tarajia NUCLEIC ACIDS na AMINO ACIDS kutozalishwa na hii itapereke cell membrane ya RBC kuwa weak hivyo basi plasmodium falciparum akiingia hataweza kukamilisha life cycle yake cell itaburst hii hali inasababisha mtu awe resistant to malaria infection
Katika mchakato wa respiration pale kwenye glycolysis huwa kunafanyika oxidation(dehydrogenation) yaani ile phospholyleted sugar inachomolewa ka hydrogen kamoja kisha kanadakwa na mjuba NADP na kuwa NADPH
Huu mchakato hufanyika kwa msaada wa enzyme iitwayo hexose monophosphate dehydrogenase na kazi ya hiyo NADH ni kusaidia michakato ya kutengeneza nucleic acid ikieemo RIBOSOMA RNA na amino acids
Hivyo basi kukosekana kwake kutaperekea hizo RNA na amino acids zisiwepo ambazo hutumika kujenga cell membrane ya RBC
Ikitokea wewe umedungwa na mbu jike aina ya anoheles basi utapata infection. Vijidudu aina ya plasmodium falciparum wataingia keenye blood stream wakikutana RBC watazama ndani chap.
Kikawaida plasmodium falciparum akiingia kwenye RBC hujizalisha kwa mtindo wa hatua moja moja (life cycle) mfano scizonts, sporozoids na merozoites
Kwa vile cell membrane ni weak itacreate pressure ambayo itasababisha cell membrane iburst kabla plasmodium hawajakomaa fresh
Hivyo basi huyo mtu atakuwa resistant to malaria
Hizo cell debris zitavunjwa vunjwa kuwa end products kama zikivunjwa kwa wingi utapata jaundice
Haya wewe nyau unasemaje na hako ka degree uchwara kako ka microbiology
Uzi huu haukupaswa kuwa mfupi namna hii hata kidogo.Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?