Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kha!kha!,eti mia ya mtu mbovu.Niliudhuria sherehe ya bwana mmoja ( anafanya kazi TANAPA) , alifanya show yake Malaika Beach(Mwanza). Sikua mwanandugu wala jamaa ila taarifa za sherehe iyo ya ndoa niliipata jioni na kupewa kadi kuhudhuria shughuli iyo usiku. Katika sherehe iyo nilisikia majirani zangu kwenye meza yetu wakisema kuwa jamaa hajajukua hata mia mbovu ya mtu. MC alikua Masanja
Ntaoa wake sabaHARUSI-EVENT INAYOTOKEAGA ONCE IN A LIFE TIME............
Mimi nimeshaweka cap ni watu 50 wengind watashuhudia mapicha mitandaoniMimi sina ela na katika harusi yangu nimepanga nitumie laki 5 Tu Kwa watu 20 nguo zote zitakodishwa Mimi na mke wangu wasaidizi nao ivyoivyo Kama ikiwa lazima Ila japo sioni ulazima siowi kumfurahisha mama wala Baba wala mjomba wala Bibi naowa kwaajili ya maisha yangu mwenyewe kama uyo. Mwanamke akikataa wala sitalazimaisha mapema snaa naachana naye
Halafu hao watu kwrnye harusi hata hawakujui au wanapiga sogaNitafanya sherehe nikiwa na doo tuu, kama sivyo sintofanya huo ujuha wa kufurahisha mijitu afu mi nibaki na maumivu.
Mungu haitambui kivip lini alisema hivyoMadai yake ni kwamba kufunga ndoa kwa DC siyo sahihi Mungu haitambui
Mi nimeshamwambia demu wangu mahari ninayoweza kutoa ni laki 3Plus mahari pengine umetumia zaidi ya 10M.
Mbona maisha magumu jamani? Kuoa pesa. Kujenga ndiyo usiguse.
Corolla kwa 1M unapata. Dah
Huwezi nyimwa mke wakati wameshakubali mahariGharama nyingi zipo upande wa mwanamke, sherehe wanataka iwe kubwa na vile unataka mke huna budi kuchangia usije ukanyimwa mke.
Gharama kwa upande wa mume ni wakina mama ndo wanapenda kukuza jambo na kulifanya liwe kubwa huku gharama zikiteketea.
Pressure kubwa inayotoka kwa wanandugu na watu wa karibu inaongeza gharama.
Nina ndugu yangu mmoja alitumia pesa nyingi sana kwenye harusi yake baada ya mwaka ndoa imekufa. Huku bado madeni ya harusi hayajaisha, ndoa imedumu mwaka mmoja tu
Nami najipanga kimyakimya.Wasalaam,
Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake.
Nami najipanga kimyakimya.
Nishatangaza nia na taratibu zinaendelea kimyakimya.
Kama watachanga ni sawa
Ila binafsi Naandaa 2 Million.
My future husband.. usidanganyike na haya .. yaani hutoeleweka. Sisi wahorombo hatunaga show mbovu wala ndogo[emoji28][emoji28]
Usidanganyike.... kama hutaki changisha hakikisha una mfuko umenona..
Bia ziwepo, menu ziwepo, uviiri wa kutosha, henessy za wazee ziwepo etc. Kuhusu gari sijali sana hata tukapanda xt. Ila hapo ukumbini hapo.. we only live once... ni kwa furaha yangu na siyo kufurahisha dunia. Haitojirudia. Kukopa hatukopi ilaaa lazima tule gambe. Hv wakwe wako wasinywe bia kirahisi tu? Apaaa ndengaa[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Nmetathmini nimeona sherehe kubwa ya harusi ni kwa ajili ya kufurahisha watu tu, kwa wapenda sifa zinawafaa sana ila kwangu sioni faida ya sherehe kubwa hasa kama una kipato kidogo.Halafu hao watu kwrnye harusi hata hawakujui au wanapiga soga
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Umemaliza. Na hiko ndo hufanya wazazi wagome. Kwetu mabinam wengi wamekua wakigomea lakini wapi. Halipiti. Yaan lazima watu wale na kunywaa. Kila mtu anataka high table wewee[emoji28][emoji28]Mwisho wa siku watu tunatofautiana sasa ukute familia yenu inachangia harusi na sherehe za watu mara kwa mara unawezaje kuwaambia wazazi wako eti sitaki michango wakati wao wanachanga na ww ni kijana wao pekee lazima sherehe yako inoge bwana maana ukitoka hapo sherehe nyingine utafanyiwa ukiwa ndani ya jeneza.
Inatosha kabisa, cha muhimu hakikisha mambo mengi unasimamia wewe na si kamati kubwaaaa, kamati yako iwe ndugu zako unaoona wana ubahili fulaniNami najipanga kimyakimya.
Nishatangaza nia na taratibu zinaendelea kimyakimya.
Kama watachanga ni sawa
Ila binafsi Naandaa 2 Million.
Shela tu ndiyo tulikodi, nyignine haktukukodikwann ukodi mpaka nguo kwa ajili ya harusi?? si ungenunua ya uwezo wako??
Watu wengi familia zao zimejitenga hazina ushirikiano ndio maana wanafanya sherehe kwakuogopa kuchangisha ila kama familia ina watu michango lazima na sherehe lazimaaUmemaliza. Na hiko ndo hufanya wazazi wagome. Kwetu mabinam wengi wamekua wakigomea lakini wapi. Halipiti. Yaan lazima watu wale na kunywaa. Kila mtu anataka high table wewee[emoji28][emoji28]
Nilikua sitaki sherehe at first ila baada ya kujitathmini sana basi niseme tuu natakaka nataka nataka tena sherehe[emoji28][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu.Inatosha kabisa, cha muhimu hakikisha mambo mengi unasimamia wewe na si kamati kubwaaaa, kamati yako iwe ndugu zako unaoona wana ubahili fulani
Dah mzee 5M?2M hazitosh. Andaa 5M kwa harusi ya kawaida ila itakuwa nzuri sana