Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

Watu wengi familia zao zimejitenga hazina ushirikiano ndio maana wanafanya sherehe kwakuogopa kuchangisha ila kama familia ina watu michango lazima na sherehe lazimaa
Kristo mwokozi, uko wapi nikununulie mbudimbudi[emoji23]

Umemaliza kila kitu. Yaan umemalizaa..bi wale hawashirikiani na watu. Ndo maana wanafanya hivyo.

On the other hand hata tusimalize kauli, hatulingani uwezo dia. Wengine uchumi na cycle yao ni ndogo sana. Hawawezi kwenda kama wengine. Maisha ni haya haya tunaishi. Tunasahau hela inaenda kwa hela. Kama mtu hana atatoa nn. Na atapokea nn jamani. I kinda feel the pain pia[emoji26] hatulingani. Meingine anaona haya mambo siyawezi ngoja niende kwa mwendo wangu ndo unakuta wengine kama wakatoliki wenzetu wanafungaga zile za mikesha ya sikukuu kimyakimya. Maisha yanasonga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa manka ukitoka huko pitia hapa four ways mara moja tuijadili hiyo michango..
Hujawahi kwenda zenji kwani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa ni ya dogo siyo dear ex.

Maisha ni hayahaya jamani. Fanya kinachoupa moyo wako furaha
 
Hujawahi kwenda zenji kwani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa ni ya dogo siyo dear ex.

Maisha ni hayahaya jamani. Fanya kinachoupa moyo wako furaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tufanye kinachoupa moyo furaha nadhani tusimamie hapo hapo [emoji173]
 
Kila nikiwaza Yesu mwenyewe alialikwa na mamaye kwenye Harusi ya kana na bado akafanya maajabu baada ya pombe kuisha kwa kubadili maji kuwa mvinyo mimi ni nani nikatae sherehe[emoji28]

Ila all in all...
Mimi nina wazo moja, binamu yangu alifanyiwa kitchen party ya 60mil. Alinunuluwa kila kitu cha ndani mpaka kitanda. Kila kitu namaanisha.
Sendoff ikawa 80 something. Yaani zote zilikua kubwa. Na mapombe yalibaki uzuri siku hizi watu hawamind sana yale mambo ya kuvunja kamati. Kwahiyo mapombe yakaishia pelekwa kwenye mabiashara yao huko ya bar. Nipende kuwaeleza tu kwamba, harusi haikufika mwaka. Binam yangu matatuzo na mume matatizo.
Binam hakua na ajira rasmi. Mume akapunguzwa mzigoni. Mnaelewa nachomaanisha hapa.
Na baba mtu alishasema mm nimeshamsendoff binti kwahiyo hanihusu tena. Binti yuko mitaani tu jamani.

Funzo ambalo tulilipata baada ya hapo, hela inayopatikana usiimisuse. Mnakua na mwekahazina wa familia mulioshibana. Tuseme shughuli ni ya milion 50 basi piga pande hata mil 20 ama nisu kbs. Yaan mwisho wa siku kuna maisha baada ya hapo ukumbini. Angekua angalau wamepiga pande hata mil 40 ikabaki 40 bado sendoff ingekua kubwa sana. Now she has lost both husband and unemployed. Its life though. Ila tujitafakari juu ya hili. Yangu naweza jikuta nakua mweka hazina mwenyewe ama babangu ama mamangu[emoji23]
 
Kila nikiwaza Yesu mwenyewe alialikwa na mamaye kwenye Harusi ya kana na bado akafanya maajabu baada ya pombe kuisha kwa kubadili maji kuwa mvinyo mimi ni nani nikatae sherehe[emoji28]
Umenena vyema sana, harusi ya gharama nafuu inawezekana na bado watu wakaona thamani ya walichochangia. Wakati huo umesevu sana kwenye bajeti kuu.

Pole sana kwa ndugu yako. Maisha hayana formula. Ninaiona kesho yake ambayo ni njema kabisa.
 
Hii hela ya wanakamati inapangwa na wanakamati, huwezi kuigusa wala kuipunguza. Matumizi unayoyaona pale yameandikwa kwenye kitabu baada ya harusi wanakamati wanataka mchanganuo.

Best yetu alifanyiwa harusi kama ya 100m hivi, baba yake proffessor wana kamati zao. Baada ya harusi jamaa hana hata shs 100 na bado anadaiwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sasa jamaa anadaiwa kiaje!? sijaelewa mbungi iliyochezwa hapo!
 
Ndugu, hii huwa ni mipango. Hilo unapaswa kulijua. Yawezekana kwenu halieezekani, ila kwa wengine lawezekana. Na wengi wameshagundua hii mbinu. Isipokua tuu wale wanaotaka sifa. Labda kuwe na deficit. My family friend walifanya ya mil 56, humo ndani ilipigwa hela ya kutosha. Nilimshauri kbs tusije kuumbuka km binam yangu. Nikamuelekeza ampange babake mapema. It worked. Wazazi wameshaona hili tatizo. Kamati walitoa mil 7. Lkn bado ziko nyingine zilipigwa. Kuna vikundi vya wazazi vilikua vinne. Kila kimoja kilitoa mil 2. Kuna vikundi vingine ikiwemo primary na akina mama na wagrni waalikwa plus zilizopigwa shost angubaliondoka na 33mil jumla. Hakuna kukaa kizembe.
 
Umenena vyema sana, harusi ya gharama nafuu inawezekana na bado watu wakaona thamani ya walichochangia. Wakati huo umesevu sana kwenye bajeti kuu.

Pole sana kwa ndugu yako. Maisha hayana formula. Ninaiona kesho yake ambayo ni njema kabisa.
Mungu atamfungulia tuu naamini jamani. I always feel soo bad on her behalf. Atakua sawa tu
 
Unashauri aache kuiga wazungu kufanya sherehe lakini hapo hapo unashauri sherehe ziishie kwenye makanisa yaliyoletwa na hao wazungu
 
Aah weee.. mimi siyo muanjo ndugu yangu[emoji28][emoji28] miye muorombo pure breed. Mangi wangu mwingine kabisa. Ila ndo hivyo, bia, pombe kali. Nyama za kutosha ndo kauli mbiu hasa uvirii. Si unaujua uviri lakini eh?
Umeniacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…