vp Suti walikuwa hawachukui, na je ukimkuta manzi mkali hawakuwa wanampelekea moto kwanza 🤡Wewe ulishaamua kua miyeyusho sijui kwanini uliishia hatua ya kwanza wakati ilibidi ufike mpaka ya kumi.
Ilitakiwa uwe unafukua jeneza kwa mtu A unamuuzia mtu B. Mtu B akizikwa nalo unaenda kufukua unamuuzia mtu C yaani angalau jeneza moja likupe pesa mara nne.
Na ukitaka uwe profeshno baadhi ya makaburi baada ya kufukua jeneza unasaidia na kusakafia kabisa.
Halafu kama vipi mngekua mnaondoka na maiti pia mnakata kata mapande ya nyama mnawauzia watu wa butchery na wauza mishkaki ya hamsini.
Kwanini hauna akili ya ujasirimali? Huo mchanga wa kaburini ukifukua makaburi kama manne si unatosha msingi wa chumba kimoja? Sa si ungewauzia mafundi ujenzi?
vp Suti walikuwa hawachukui, na je ukimkuta manzi mkali hawakuwa wanampelekea moto kwanza 🤡
nilivyoelewa kuwa ni jamaa wakichimba na kuchukua jeneza basi ufukia tena kaburi.Na hakujawahi kuripotiwa kuibiwa kwa jeneza popote. Huna utofauti na wale wanaodai wanakula nyama za watu na kujisifu anafaidi
Na hzo nguo viatu nmauza mtumbaWewe ulishaamua kua miyeyusho sijui kwanini uliishia hatua ya kwanza wakati ilibidi ufike mpaka ya kumi.
Ilitakiwa uwe unafukua jeneza kwa mtu A unamuuzia mtu B. Mtu B akizikwa nalo unaenda kufukua unamuuzia mtu C yaani angalau jeneza moja likupe pesa mara nne.
Na ukitaka uwe profeshno baadhi ya makaburi baada ya kufukua jeneza unasaidia na kusakafia kabisa.
Halafu kama vipi mngekua mnaondoka na maiti pia mnakata kata mapande ya nyama mnawauzia watu wa butchery na wauza mishkaki ya hamsini.
Kwanini hauna akili ya ujasirimali? Huo mchanga wa kaburini ukifukua makaburi kama manne si unatosha msingi wa chumba kimoja? Sa si ungewauzia mafundi ujenzi?
Kaburi lililofukuliwa tena kwa wizi halifukiwi kwa ufathaha mzuri ni vile kama palipigwa bomu tunilivyoelewa kuwa ni jamaa wakichimba na kuchukua jeneza basi ufukia tena kaburi.
KabisaNa hzo nguo viatu nmauza mtumba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]tuliogopa ulinzi mkali mkuuMkuu kwa nini haulifukuzii kaburi la shujaa wa Chato