Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

Chai hii,,

Hivi uibe majeneza hadi ujenge na nyumba na kununuwa gari,
Hivyo vifo ni vya kila siku watu 40?
 
Lazima lile jeneza la yule marehemu tajiri
Mkashauriana na jamaako rasi mumuuwe tajiri mwingine ili muuze jeneza kwa awamu nyingine
Dah! Kweli inataka moyo
 
Tunauza GPS zakufix kwenye majeneza chaji miaka mitatu...price ni negotiable...na hapa mshaelewa faida zake 🤣
 
Tunauza GPS zakufix kwenye majeneza chaji miaka mitatu...price ni negotiable...na hapa mshaelewa faida zake 🤣

Hahah....ingefaa sana kama stori ingekuwa halisi

Maana jamaa anatushika masikio kabisa, polisi si kungejaa kesi za wizi wa majeneza
 
Exactly...lakini kuna sababu kwanini wakazikwa kwenye majeneza on the first place...hakuna ataekaependa kujua jeneza la mpendwa wao limechoropolewa na sasa amezikwa kama Mbwa...
Yni Uislamu asa raha jmni tuseme ukweli tu
Sanda yko na ubao wako unakutosha kukuzikia na ni gharama ndogo sana
 
Polisi tupo hapa kufuatilia ushahidi. Nimeshashika kalamu na notepad kufuatilia uhalifu. Leta manenooo ( In JK voice)
 
Wewe ulishaamua kua miyeyusho sijui kwanini uliishia hatua ya kwanza wakati ilibidi ufike mpaka ya kumi.

Ilitakiwa uwe unafukua jeneza kwa mtu A unamuuzia mtu B. Mtu B akizikwa nalo unaenda kufukua unamuuzia mtu C yaani angalau jeneza moja likupe pesa mara nne.

Na ukitaka uwe profeshno baadhi ya makaburi baada ya kufukua jeneza unasaidia na kusakafia kabisa.

Halafu kama vipi mngekua mnaondoka na maiti pia mnakata kata mapande ya nyama mnawauzia watu wa butchery na wauza mishkaki ya hamsini.

Kwanini hauna akili ya ujasirimali? Huo mchanga wa kaburini ukifukua makaburi kama manne si unatosha msingi wa chumba kimoja? Sa si ungewauzia mafundi ujenzi?
Duuuh ,mkuu..umeanza kupuliza mapema yote hii
 
Kweli umekuwa miyeyusho mzee wangu
 
Back
Top Bottom