Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

Chai hii,,

Hivi uibe majeneza hadi ujenge na nyumba na kununuwa gari,
Hivyo vifo ni vya kila siku watu 40?
 
Lazima lile jeneza la yule marehemu tajiri
Mkashauriana na jamaako rasi mumuuwe tajiri mwingine ili muuze jeneza kwa awamu nyingine
Dah! Kweli inataka moyo
 
Tunauza GPS zakufix kwenye majeneza chaji miaka mitatu...price ni negotiable...na hapa mshaelewa faida zake 🤣
 
Tunauza GPS zakufix kwenye majeneza chaji miaka mitatu...price ni negotiable...na hapa mshaelewa faida zake 🤣

Hahah....ingefaa sana kama stori ingekuwa halisi

Maana jamaa anatushika masikio kabisa, polisi si kungejaa kesi za wizi wa majeneza
 
Exactly...lakini kuna sababu kwanini wakazikwa kwenye majeneza on the first place...hakuna ataekaependa kujua jeneza la mpendwa wao limechoropolewa na sasa amezikwa kama Mbwa...
Yni Uislamu asa raha jmni tuseme ukweli tu
Sanda yko na ubao wako unakutosha kukuzikia na ni gharama ndogo sana
 
Polisi tupo hapa kufuatilia ushahidi. Nimeshashika kalamu na notepad kufuatilia uhalifu. Leta manenooo ( In JK voice)
 
Duuuh ,mkuu..umeanza kupuliza mapema yote hii
 
Kweli umekuwa miyeyusho mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…