TrueKwani uwongo? Uwongo lakini?
Ishu wanapokosea ni kuliweka wazi. Wanatakiwa waishi katika imani hiyo bila ya kutamka wazi kwamba wanajua kinachoendelea.
They should play the game silently, since women hate it when you play it openly.
Law of Nature? Mengine ni ziada! Unadhani hatma ya maisha ni law of nature? Tungebaki kwenye law of Nature unadhani kungekuwa na civilization>?Kazi ya Mwanaume ni kusambaza his genes, kadiri ya uwezo wake, awe maskini au Tajiri.
Asili ya mwanamke ni manipulation ya potential (Me) kurutubisha mayai yake.Hasa vidume vyenye strong genes na uwezo wa kuhudumia watoto.
Hii ndio law of nature. Mengine ni ziada tu.
Natural selection ya stronger genes ndio matokeo ya freji, magari, vibarua, computers. Civilization.Law of Nature? Mengine ni ziada! Unadhani hatma ya maisha ni law of nature? Tungebaki kwenye law of Nature unadhani kungekuwa na civilization>?
hivi hao viumbe(ke) unawajua ukiwa huna hiyo fedha???Hapa nazungumzia sana vijana ambao wanajitafuta kwa wakati huu; mara nyingi jamii inawapa msukumo wa kutafuta hela na inawathibitishia kwamba bila kuwa na pesa wao si kitu na hawana nafasi ya kimaamuzi au ushawishi wowote kwenye jamii na hata kwenye mahusiano.
Vijana (ME) kwa sababu ya fikra hii hujikuta wakitafsiri maisha kwenye mitazamo ya kifedha tu, bila kujali utu, mapenzi, haiba, mwenendo na hata heshima. Ikitokea ameingia kwenye mahusiano na amepata fedha, atakuwa akitafsiri kila anachofanyiwa hata kama ni kwa upendo kutoka kwa mwenza wake, ataona ni kwa sababu ya fedha alizo nazo.
Hata akihudumiwa kama mume au mwenza; tafsiri juu ya afanyavyo ni kwa sababu ya pesa alizonazo, jambo ambalo linamuondolea utu na kumtazama mwenza wake kama bidhaa, na wakati mwingine kumuondolea heshima kama binadamu; hii inatokana na mtazamo aliopandikizwa kuhusu fedha.
Kuna kundi kubwa la Wanawake wanavumilia mahusiano machungu, kwa sababu tu ya kuwa na Wanaume wenye fedha, na Wanaume hao wanahisi wana haki ya kuwafanya lolote kwa sababu ya fedha zao.
Endapo mitazamo hii inabadilika, haitaweza kumuathiri Mwanamume anapopata mpenzi; atazingatia upendo na heshima kwa Mwanamke kwa sababu ni msingi wa mahusiano yake naye, na si kwa sababu ya fedha zake lakini jambo hili linaanzia na kupewa heshima hata pale ambapo hana kitu.
The existing genes are stronger genes, suala la weak genes ni mpaka pale nature itakapofanya selection. Na si kila selection inayofanyika inatokana na nature, nyingine ni miundo ya kijamii ambayo ni Man-made, do you think nature created homelessness? NO, but they are likely to perish, kwa sababu adaptation ya mazingira wanayoishi ni risky na wapo karibu na kifo. Nature haiku create NUCLEAR WEAPONS, guns neither; Lakini zinatumika na watu wana perish, are they weak genes? So, civilizition decides our fates too; hili suala la mahusiano lipo NATURALLY hata bata wana familia, how can a civilized monster like HUMANS aishi kama bitch fox? Yaani uwezo wake na ukuu wake ni kurutubisha tu mayai, na kuhudumia? Unahudumia vipi kama hisia zako za kuchukuliwa kama binadamu zinadharaulika in the name of HUNA HELA?Natural selection ya stronger genes ndio matokeo ya freji, magari, vibarua, computers. Civilization.
Kazi ya Mwanaume ni kusambaza his genes, kadiri ya uwezo wake, awe maskini au Tajiri.; hili suala la mahusiano lipo NATURALLY hata bata wana familia,
Binadamu Ana evolve kutoka Hunter Gatherers. Pesa ni morden mikuki, pinde, mishale. Zama hizo mwindaji bora ndie aliyekuwa na heshima, wake wengi, na familia bora.Unahudumia vipi kama hisia zako za kuchukuliwa kama binadamu zinadharaulika in the name of HUNA HELA?
ππππ Mzee, wewe unazungumza animality hapa; unashindwa kutofautisha na Survival for the fittest notion. Kama unadhani civilization inaundwa na watu kama hao, maana yake tusingekuwapo, hata hicho unachoita Ufeminia kimeletwa na NATURE. So you got to learn and understand what does the nature offer to human sense.Binadamu Ana evolve kutoka Hunter Gatherers. Pesa ni morden mikuki, pinde, mishale. Zama hizo mwindaji bora ndie aliyekuwa na heshima, wake wengi, na familia bora.
Huruma unazoleta ni ufeminia.
Mkuu,nafikiri wachangiaji wengi wamemiss point yako,The existing genes are stronger genes, suala la weak genes ni mpaka pale nature itakapofanya selection. Na si kila selection inayofanyika inatokana na nature, nyingine ni miundo ya kijamii ambayo ni Man-made, do you think nature created homelessness? NO, but they are likely to perish, kwa sababu adaptation ya mazingira wanayoishi ni risky na wapo karibu na kifo. Nature haiku create NUCLEAR WEAPONS, guns neither; Lakini zinatumika na watu wana perish, are they weak genes? So, civilizition decides our fates too; hili suala la mahusiano lipo NATURALLY hata bata wana familia, how can a civilized monster like HUMANS aishi kama bitch fox? Yaani uwezo wake na ukuu wake ni kurutubisha tu mayai, na kuhudumia? Unahudumia vipi kama hisia zako za kuchukuliwa kama binadamu zinadharaulika in the name of HUNA HELA?
Of course.Mkuu,nafikiri wachangiaji wengi wamemiss point yako,
Mimi nilivyokuelewa ni kwamba,
Japo hela ni muhimu but the power of money should not exceed the power of love,
an excessive focus on wealth and materialism can lead to unhappiness and may even detract from meaningful relationship.
πππππmahusiano ya sasa hivi kama huna kitu hupati mapenzi
mpz anataka abaya jipya wewe unaleta stori za vumilia mpz ipo siku nawe utapendeza