Namna Rostam Aziz alivyotoa hoja Kenya, ni kielelezo cha utajiri bila maarifa

Hivi umefanyaga hata biashara ya kuuza mayai wewe?
 
Siyo rahisi na si heshima kumshambulia rais hasa ugenini. alitumia nafasi aliyoipata kufikisha ujumbe kwa busara.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu yoyote alipomshambulia...rudia hotuba....yake... alisema Raisi alimshawishibawekeze Kenya lakini vikwazo alikutana navyo kwa watendaji....au kale ka lugha alichotumia ambacho ni ugonjwa sugu kwa wabongo..?
 
M/Mungu ametujalia sisi watu weusi mambo yafatayo- ROHO MBAYA, WIVU NA UHASIDI
Kwahiyo ndugu yangu kuwa POSITIVE katika maisha na achana na mambo ya NEGATIVITY hayana afya katika maisha utafika mbali ktk maisha.
Ukimtumia mleta uzi kama reference naunga mkono hoja,yeye 'maarifa' yake yamemsaidiaje?
 
Basi asingesema alimuona hadharani. Angesema tu kuwa amekuwa akijaribu kwa miaka kadhaa bila mafanikio. Baadae ndio angeongea nae na Samia faragha na kuwaambia ukweli wote.
Hakutumia busara.

Amandla...
alichokifanya ndio sahihi kbs kuonana chamber na yangeendelea kufichwa chemba mmeamua tuseme mazingira ya biashara acha tuseme
 
Poor mind, obviously discuss people
Leta hits ulitakaje wenda.
Funguka
 
Hujui hata alichoongea Rostam ! Wahaya wengi wana akili sana lakini ukikuta Mhaya ni mjinga basi anakuwa mjinga kweli kama huyu Bidada.
 
Mmmh kuna walioolewa kwa sasa wanapjipikisha tu mchana kutwa ukiwaambia kurudi wanaona ni madharau washanogewa
 
Hivi ni hadi upigwe lisasi ngapi ndio utaamini walitaka kukuua?
 
Empty head tabulalasa kwelikweli imetapika utopolo aiseeee , mpigie simu kiongozi mkuu wa malaika umwambie jinsi unalinda legacy uchwara yake .
 
Kenya si Bongo kwamba rais anaamua tu, kuna mifumo ambayo rais wao hawezi kuiingilia. Tatizo ni kuwa mifumo yenyewe si rafiki hivyo inahitaji marekebisho makubwa ili kuondoa vizingiti kama alivyokutana navyo Rostam Azizi.
 
Huyu tajiri msiyependa ashauriwe alikimbia nchi Hadi pale ndugu yake alipokamatwa na silaha za uwindaji, alipowekwa ndani ndipo akarejea nchini. Hii ni aina ya wafanyabiashara tunaosema wanapaswa kuogopwa au kutegemewa.

Aliporudi akapewa Taifa gas, then akaenda morogoro akazindua kiwanda chakukoboa mahindi, akauza hisa Vodacom nk

Mfanyabiashara wa aina hii hawezi kuheshimika kwenye soko lenye matycoon kibao Kama Kenya . Kama anavyoziba nafasi za wabongo kupanuka kwakutumia mwamvuli wa siasa ndivyo na wafanyabiashara wa Kenya wanavyotumia mfumo wao kummnya asipenye kwenye soko.

Kwanini alikwenda kuomba relief kwa president asicompete? Mfanyabiashara serious lazima akubali kucompete na si kutegemea hisani
 
Sasa si ndio ukweli huo kausema ili wajirekebishe? Au kama kulikuwa na changamoto isemwe pale? Nini maana yakuwa na kikao kile sasa? Bado sijaona hoja yako hapo
 
Umejuaje alienda kwa Rais Rais kenyata kuomba asi compete? Naona umebase kwenye majungu na umbeya kama kawaida yetu watanzania. Kimsingi huna fact unaongozwa na chuki binafsi na unateseka na umasikini.pole mama/dada
 
Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Kumbe kuna watu huwa mnachukulia siriaz maneno ya huyu Mgogo?
 
Rubbish ever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…