Namna wa Kenya, Uganda, Rwanda na Watanzania wanavyochukuliana

Ukiwa Ughaibuni utashangaa sana muingiliano wa wa East Africa.. waKenya na waTz huwa wapo karibu sana.. na huwa wanafahamiana sana.. ila waGanda ni tofauti.. though nina marafiki wengi waGanda ila kwa kuwa nikiwa na wanaEA wenzangu napenda kuongea kiswahili inakuwa rahisi sana kuwatenga waGanda..

WaKenya wamechangamka ila hawapendani.. nilishangaa sana waKenya wakipata shida wananitafuta mimi kuliko kutafutana wao (unless wanatoka kabila moja).. ila ni wacheshi sana.

Ila waKenya muache utapeli..
 
I hope people now know why ugandans behave the way they do when in the world of Kiswahili speakers. They fear the language, its speakers and everything that apertains. History.
 
Wabongo nikijaribu kudokeza hapa jinsi wakenya wanavyowachukua nitaandika nakala 1,000,000. Kifupi, wakenya wengi wanaona wabongo wana utendakazi duni kazini.,japo hili ni dhana potovu. Nimekutana na wabongo wengi wachapa kazi na ambao ni top professional wenye weledi ya juu. Binafsi nimechunguza hii dhana miongoni mwetu wakenya na nadhani inatokana na saikolojia duni ya kulingansha lafudhi ya mtu na uwezo wake kwa jambo husika (Mfano ni jinsi waganda wanachukua lugha yetu pendwa kama tishio au dhihirisho ya anayetamka kuwa askari).
Work ethic yetu pia naona tofauti kama baina ya lile kati ya wafaransa na wajerumani ,kwa mfano. Mkenya analima shamba siku ya kwanza kufika.
 
..mara ya kwanza nimekutana na wa-ky na wa-ug nje ya afrika mashariki. We related very very well.
 
Kenyans are people with free spirit. We are very warm to E.A we welcome them without fear and mingle easly with foreigners. We love Museveni how he ashames the western countries and also enjoy how Magu fights corruption and controls public expenditure, We respect Kagame for transforming Rwanda. We know Congo better than Burundi. The heart of East Africa is Nairobi while the dream destination for east africans is Zanzibar.
 
Sikwamba ss watz ni wavivu ila mfumo umetuchelewesha watz tuna miaka 25 wakenya miaka 50 kwenye biashara .mfumo wa siasa wa Tanzania uliozuia secta binafsi ndo ulio tukwamisha na kutufanya tuonekane wavivu ila wakenya awatambui kuwa kwa miaka 25 tu ya kuluusiwa uchumi wa secta binafsi Tanzania imekuja kwa kasi sana uifikia Kenya mfano kama mambo ya TV ,radio simu sanaa yani misiki uigizaji viwanja vya mipira majengo mazuri nk .zamani tanzani tulikuwa tunausudu musiki wa Zaire sikuizi miziki yetu inapendwa zaidi TV ya govt imeanza miaka ya 1995 hivi kama sikosei ila nyinyi wakenya mpo kwenye game muda mrefu
 
sasa huyu ametoka wapi angalia kichwa cha mada kisha ueleze jinsi tajriba yako na wageni kutoka EA usianze kuburuza uzi huu
Madhara ya kukimbia somo la find y if x is? Unaropoka tu ovyo
 
Kusema ukweli na kuacha unafiki pembeni sisi Watanzania ni wavivu sana.....hatupendi kujituma tunataka mafanikio ya haraka haraka sana......tunapenda mambo mazuri ambayo hatutaki kuyapigania.....bado tunaamini katika kudra za Mungu badala ya kufanya kazi kwa bidii.......

Maofisini pamekuwa vijiwe vya kuongelea mipira ya ulaya na Simba na Yanga badala ya kufanya kazi.....uongo uongo mwingi na kutokujali muda hata kidogo......nadhani sisi ndio tunaongoza kwa kutumia muda vibaya......

Ngono ndio imekuwa ajenda kuu kila kwenye vikao vya waTz hata humu unaweza ukaona kweney majukwaa yanayotembelewa na watu wengi basi ni kwenye jukwaa la ngono au mapenzi......

Watanzania ni jamii ya watu wasiopenda kujiendeleza kielimu hata katika mambo madogo tu......mtu yupi radhi kusoma kitanu kikubwa cha hadithi za Shigongo badala ya kusoma vitabu vidogo tu vyenye kumjenda kimaarifa.......utakuta jitu zima kabisa na akili zake limenunua gazeti la udaku na za kimbea..........

Umbea umekuwa ni sehemu ya maisha ya Watanzania.......si kijana si mzee si watoto si wanawake.......ukiona kimekaa kikundi cha watu baada ya kujadili mambo ya msingi kazi ni kusengenya watu tu.........

Ushirikina pia limekuwa ni jambo la kawaida huku Tz.....yaani mtu hata kama anaumwa jino anatamani akapige ramli kwa mganga........

Kupenda maisha ya ujanja ujanja na vitu vya bure.......yaani ukitaka kumteka Mtanzania wewe weka tu msamiati wa BURE...basi hapo umeshamteka.......yaani yupo radhi kununua simu ya elfu thelasini kwa laki moja kwa kuwa tu hiyo simu ina line ya bure na unapewa memory kadi bure....!!!
 
Nipo kenya sasa hivi...nilichojifunza wakenya ukiongea nao kiswahili wanakosa confidence yan the same ukiongea na mbongo kizungu...sasa muda wote na popote kiswahili...unaweza shangaa unaongea na mhudumu wa duka hili unaambiwa kwenda kwa duka ya pande ile...ili tu umpunguzie mzigo maana anapenda kiswahili chako ila muda mwingine haelewi.
Wao salam yao hapa.
Sasa= habari za saizi
Unabifi ujib poa.
Saseni=habari zenu wote.
Nakunjaga= huwa nakuja
Bibi= mke
Mzee=mme/bwana
Nk.
Ila wasichana wao ni charming na interactive sana.
 
Pole,
But umeshindwa hata kuelewa mantiki ya huu Uzi..
unawasema wenzako wajinga ihali wewe ni mjinga zaidi.
 
πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukuaji kiuchumi sote tulichelewa kuanza, mzee moi aliibana uchumi pande zote, kanyakua Mali ya umma kwa miaka 25 na kuua biashara kote, hata heri ujamaa.

Afrika mashariki huambatana na kutoambatana kulingana na kule uliko. Tukiwa Kenya, mkenya amuona mtanzania kama mjuzi wa lugha sanifu lakini kazoea kufanya vyote kesho, kisha amuona mganda kama ndugu mdogo, mrwanda kama mwenye kupenda kujifunza mapya ajiboreshe na mrundi kama mtu wa mbali.

Ukienda nje ya Africa mashariki, sote ndugu na dada wa karibu, tofauti zetu zapigwa teke zote.
 
Kwangu mm Wakenya ni watu ambao waliamka kitambo kabla yetu katika sekta nyingi na ndo maana wanatuzidi .haya maneno maneno ni ile hali ya ubinadam ambapo ukiwa na kitu asiye nacho anakuchukia.Waganda ni watu wa bata sana .Warundi nawaona kama watz tu na wanya rwanda watu flan wanajielewa
 
Nikiwa Uganda kipindi flani Waganda waganda wanatuchukulia Tanzania wachawi sana pia hata wakenya maana ukitembea Nairobi kuna mabango "Mganga toka Tanzania" basi huyo lazma watu wafurike kwake maana wanajua Tz ni noma..
Pia mwanafunzi waki Tz uganda akimtishia Mganda kua utaona mganda anaweza piga hata magoti maana wanaogopa sna watanzania kuwa ss ni wachawi anaweza geuzwa hata sungura dk yoyote.
 
Madhara ya kukimbia somo la find y if x is? Unaropoka tu ovyo
Madhara ya kukimbia somo la find y if x is? Unaropoka tu ovyo
Madhara ya kukimbia somo la find y if x is? Unaropoka tu ovyo
there u go again out of topic sijaona mtu ameleta swali la calclus linear programing ama binomial expansion to mention but afew nenda unywe maziwa na usisahau kutia ndani chumvi itasaidia
 
Wakenya ni wajuaji...wao kilakitu wanajua....kuna mmoja yuko sakina arusha ana kiduka cha mziki ni mjuaji balaa... na kupeleleza maisha ya watu...umbea usengenyaji vyote vyake. I hate this people esp jaluos.....fuken
 
Ukifanya nae kazi utaskia ati wajua fulani....yule jamaa anapati wapi pesa....
 
Balaaaa!!! Inaonekana hili sifa baya imewafikia hadi waganda. Japo sio kweli ya kuwa wabongo asilimia kubwa ni wachawi, inakubalika kuna wengi wanao fata haya mambo ukilinganisha na wageni.
Binafsi ningependelea nigeuzwe tembo au nyangumi tehe teh teh
 
mi nilisoma na mtz mmoja alikua haskii sana, allingia darasani siku ya kwanza at the end of the day alikua kila mtu anamjua, alikua mchangamfu sana streetwise, alikua anapenda kumuinjoy denu mwengine kutoka London, huyo dem alikua akikasirika anaanza kuongea the real english (mbio mbio tena na ile acsent yenyewe), hapo ndo huyo jamaa alikua anashindwa kujibishana nae, alafu anaanza kuongea kiswahili cha bongo.. ahh it was fun to watch....
ye hakua mbea, hakua mvivu (lakini kwa masomo hakua poa), na hakua na chuki na mtu yeyote, hapo nilikua primary, tena shule yetu ilikua na wanafunzi kutoka nchi tofauti, kulikua na wengine wanakuja shule na dredi eti babayao ni mjameika na hio ni culture yao, kulikua na waarabu wa saudia,wazungu, wahindi, so ilikua unaeza compare tabia za watu kutoka nchi tofauti, and for a while nilifikiri watanzania wote wako kama huyo jamaa, then nilipokua highschool form2 tukaenda school trip on the norther circuit ya tanzania ndo nikaanza kuget the other side ya watanzania (the real side) hapo ndo nikaanza kua curious, then nikakutana na watz wengine after highschool apo ndo nika come up na my own conclusion about watanzania... which is similar to what most kenyans conclude about tanzanians, but from experience, najua si wote wako hivyo, just like sio wakenya wote wako vile watu wanapenda ku describe, kuna zile community zinaishi karibu na bahari (waswahili, wabajuni.....) hizi community za kuvua samaki na kula na wali wanazi hua maisha yao nanaenda mdogomdogo hakuna mtu anaharaka, hakuna tofauti na bongo... hao hua the only thing waeza fanya mbio mbio labda ni kama wanapika chakula, hapo ndo utaskia 'fanya mkono wa paka bana, masaa yanaenda!' biriani inapikwa na nusu saa nakwambia! tena tamu kweli.... lakini ikija kwa mambo mengine dunia inarudi mwendo mdogomdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…