mi nilisoma na mtz mmoja alikua haskii sana, allingia darasani siku ya kwanza at the end of the day alikua kila mtu anamjua, alikua mchangamfu sana streetwise, alikua anapenda kumuinjoy denu mwengine kutoka London, huyo dem alikua akikasirika anaanza kuongea the real english (mbio mbio tena na ile acsent yenyewe), hapo ndo huyo jamaa alikua anashindwa kujibishana nae, alafu anaanza kuongea kiswahili cha bongo.. ahh it was fun to watch....
ye hakua mbea, hakua mvivu (lakini kwa masomo hakua poa), na hakua na chuki na mtu yeyote, hapo nilikua primary, tena shule yetu ilikua na wanafunzi kutoka nchi tofauti, kulikua na wengine wanakuja shule na dredi eti babayao ni mjameika na hio ni culture yao, kulikua na waarabu wa saudia,wazungu, wahindi, so ilikua unaeza compare tabia za watu kutoka nchi tofauti, and for a while nilifikiri watanzania wote wako kama huyo jamaa, then nilipokua highschool form2 tukaenda school trip on the norther circuit ya tanzania ndo nikaanza kuget the other side ya watanzania (the real side) hapo ndo nikaanza kua curious, then nikakutana na watz wengine after highschool apo ndo nika come up na my own conclusion about watanzania... which is similar to what most kenyans conclude about tanzanians, but from experience, najua si wote wako hivyo, just like sio wakenya wote wako vile watu wanapenda ku describe, kuna zile community zinaishi karibu na bahari (waswahili, wabajuni.....) hizi community za kuvua samaki na kula na wali wanazi hua maisha yao nanaenda mdogomdogo hakuna mtu anaharaka, hakuna tofauti na bongo... hao hua the only thing waeza fanya mbio mbio labda ni kama wanapika chakula, hapo ndo utaskia 'fanya mkono wa paka bana, masaa yanaenda!' biriani inapikwa na nusu saa nakwambia! tena tamu kweli.... lakini ikija kwa mambo mengine dunia inarudi mwendo mdogomdogo