Namna wa Kenya, Uganda, Rwanda na Watanzania wanavyochukuliana

Yeah, Zanzibar is special. Karibuni sana.
 
there u go again out of topic sijaona mtu ameleta swali la calclus linear programing ama binomial expansion to mention but afew nenda unywe maziwa na usisahau kutia ndani chumvi itasaidia
That's algebra. Wewe na hisabati ni adui
 
Kenya nidhamu ya biashara ipo juu. Always wanamaliza transaction na humble Ahsante.
 
Asilimia zaidi ya 90 mawasiliano mitaani Kenya ni kiswahili, hii dhana ya wakenya ni kingereza tu potofu.
 
Asilimia zaidi ya 90 mawasiliano mitaani Kenya ni kiswahili, hii dhana ya wakenya ni kingereza tu potofu.
 
Uzoefu wangu kama Mtanzania anayeishi ughaibuni. Watanzania na Wakenya wapo karibu sana, Waganda wamejitenga (nadhani sababu ya Kiswahili). Wakenya kwa Wakenya kuwa marafiki baina yao hadi wawe wanatokea kabila moja, Watanzania huwa 'buffer zone' kati ya makabila tofauti ya Kenya. Karamu ya Watanzania utakuta Wakenya wengi na karamu ya Wakenya utakuta Watanzania wengi.Wanyarwanda wanaojua Kiswahili wapo karibu zaidi na Wakenya na Watanzania.
Kuhusu uchapakazi, sote ni wachapakazi kwa kuwa tupo nje ya nyumbani na hakuna mjomba wa kukusaidia. Kuhusu hili la uchapakazi, wageni popote duniani huwa wachapakazi kuliko wenyeji kutokana na 'do or die factor'.
Tabia zingine kama kufuatiliana sana, unafiki wa hapa na pale na umbea hizi zipo kwa jamii zote nilizokutana nazo, kuanzia Waafrika, Wazungu na Waasia.
Wasichana/ wanawake wa Kenya wanapenda Wabongo sababu ya ukarimu wetu (nadhani na udadisi wa kawaida wa binadamu).
Warundi siwajui vizuri kutokana na kutokuwa na mwingiliano sana na wao.
 
Wakenya kwa Wakenya kuwa marafiki baina yao hadi wawe wanatokea kabila moja, Watanzania huwa 'buffer zone' kati ya makabila tofauti ya Kenya

seriously acha uongo, hapo umeng'oa kabisa, ata siezi anza kujibu apo, just not true at all
 
Ndio ukweli huo, asilimia kubwa ndio hivyo. Makabila madogo kama Wakisii na Wakamba ndio hujichanganya kote. Kwa Wakikuyu, Wakalenjini na Wajaluo mnachukiana na kutengana hata mkiwa ng'ambo, hayo ndio ninayoyaona mimi.
 
Magufuli anatubadulisha kwa sasa ingawa ana mabaya yake kidogo
 
Duu! Mkuu ,nimecheka kwel kwel
 
Alitaja sehemu ambazo ziko na Y and X as functions nikampa a few examples
 
Ndio ukweli huo, asilimia kubwa ndio hivyo. Makabila madogo kama Wakisii na Wakamba ndio hujichanganya kote. Kwa Wakikuyu, Wakalenjini na Wajaluo mnachukiana na kutengana hata mkiwa ng'ambo, hayo ndio ninayoyaona mimi.
kama tungekua hivyo kenya haingewai kua na amani, we ushawai ishi kenya kweli? mwenye alieishi atajua huo ni uongo mtupu... hio ni more of steriotyping ya watz kutokana na kuskia story za mbali tu wakiskiza siasa
 
Sasa hivi nipo Ulaya na ninaishi na Wakenya sio stereotype. Nina marafiki Wakikuyu, Wajaluo, Wakalenjini na wengineo. Ukabila umetamalaki kati yenu, mkikutana mara ya kwanza tu lazima mjuane makabila yenu na baada ya hapo ndio kama urafiki utaendelea.
 
Wakenya kwa Wakenya kuwa marafiki baina yao hadi wawe wanatokea kabila moja, Watanzania huwa 'buffer zone' kati ya makabila tofauti ya Kenya

seriously acha uongo, hapo umeng'oa kabisa, ata siezi anza kujibu apo, just not true at all

you must be high on something very lethal or your vacation time has been denied!!! you keep on yapping on makabila kama mtz while kenyans themselves are not. we have tribalism problem but we working on it every day to reduce it. tanzania ukabila upo pia. nowhere is immune, its the measure of the problem that matters. diaspora gani nyie ni buffer zone!!! you sond like a ujamaa relic!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…