Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri", haya matukio yalijirudia rudia sana mpaka ikafika wakati, nikajua ahaaa kumbe ninamuonekano tofauti na wengine na ninakitu cha ziada. pia kwa wakaka walikua wakiniogopa sana yani kama ni tishio kwao.
kuna watu wanapenda kujitutumua ila bado wanakua na muonekano wa kishamba tu hata wafanyeje. wanapoteza hela kuji soap soap ila wapi. acha jamii iamue who is who.