Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Marabook!Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri", haya matukio yalijirudia rudia sana mpaka ikafika wakati, nikajua ahaaa kumbe ninamuonekano tofauti na wengine na ninakitu cha ziada. pia kwa wakaka walikua wakiniogopa sana yani kama ni tishio kwao.
kuna watu wanapenda kujitutumua ila bado wanakua na muonekano wa kishamba tu hata wafanyeje. wanapoteza hela kuji soap soap ila wapi. acha jamii iamue who is who.
SawaMtu asijikubali 😝
Nimekuja acha nikalete fimbo maana dogo analeta masihara
Wewe ni mzuri yes.Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri", haya matukio yalijirudia rudia sana mpaka ikafika wakati, nikajua ahaaa kumbe ninamuonekano tofauti na wengine na ninakitu cha ziada. pia kwa wakaka walikua wakiniogopa sana yani kama ni tishio kwao.
kuna watu wanapenda kujitutumua ila bado wanakua na muonekano wa kishamba tu hata wafanyeje. wanapoteza hela kuji soap soap ila wapi. acha jamii iamue who is who.
umemtafsir vbaya labda kashindwa kujieleza hiyo hali hata mm inanikutaga kitaa wamama wanasema kijana anamvuto sanaAisee.
Mungu akusaidie
Sasa kuna haja gani ya kutangaza Kama hivi? Tena mwanaume!umemtafsir vbaya labda kashindwa kujieleza hiyo hali hata mm inanikutaga kitaa wamama wanasema kijana anamvuto sana
ajabu yake ni nini? Hv hujasoma maandiko mwanzo 3:5 inavyomsifia shetan ni kiumbe mzur kuliko viumbe vyote mbingun na dunian kias kwamba akipita sehem huku dunian hakuna mwanamke wa kidunia asingetaman kulala naeSasa kuna haja gani ya kutangaza Kama hivi? Tena mwanaume!
Ila huyu jamaa bana!!!!!!!
Mambo yake aachiwe mwenyewe...Ila huyu jamaa bana!!!!!!!
Kwani mlimpa nyie 😁Turudishie zaga zetu
baada ya kujia wewe ni mzuri ukawa model unauza kote uongo knayaUnajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri", haya matukio yalijirudia rudia sana mpaka ikafika wakati, nikajua ahaaa kumbe ninamuonekano tofauti na wengine na ninakitu cha ziada. pia kwa wakaka walikua wakiniogopa sana yani kama ni tishio kwao.
kuna watu wanapenda kujitutumua ila bado wanakua na muonekano wa kishamba tu hata wafanyeje. wanapoteza hela kuji soap soap ila wapi. acha jamii iamue who is who.