Hwawa jamaa wa Tz wanafik wamesahau vile walivyoabudu Wayne Rooney wakati Everton FC ilicheza mechi Dar es Salaam.Ndio tupo hivyo Afrika, inabidi tuabudu miungu ya kizungu hadi siku ukweli utabainika yupi ndio wa kweli, Tanzania kwa sasa nafikiri waislamu wamewazidi Wakristo, hivyo nyie kidogo mnamuabudu mungu wa kiarabu. Hivyo hatuchekani, kuna wameweka sanamu za mzungu kwenye makanisa na kuziabudu.
Kwa kifupi tusubiri siku za kiama tutajua yupi alikua wa kweli, hufai kuwacheka hao waliomuabudu aliyekuja maana na wewe huyo mohammed wako wa kiarabu hatujui kama ndiye wa kweli, uliletewa tu.
BRO HUJUI KITU BADO UNAONGEA PUMBA ZILE ZILE AISEE.Hao waarabu ndio walileta uislamu huku wakibeba watumwa na hata kuua wengine, na leo ndio wanaongoza kwenye kujilipua lipua huku miafrika kwa ujinga mkiwafuata kama vipofu na kujipua mabomu halafu mnadiriki kuwacheka wenzenu wakiwa vituko.
Kuna ushabiki na kuabudu.Hwawa jamaa wa Tz wanafik wamesahau vile walivyoabudu Wayne Rooney wakati Everton FC ilicheza mechi Dar es Salaam.
UnapEnda kusema hivi ila ukiulizwa maswali huyajibu ipasavyo na wakati mwingine huwa unakimbia.
Tell me, what makes you think/say there's no God?
😂😂😂😂😂😂😂 hiyo sentensi ya kwanza imenifanya nicheke sana 😁😁There is no god because there is no God!
Hakuna evidence presented to the world kwamba yupo!
Haya mama,kamwambie nimesema hayupo!
Hahahahaaa
BRO HUJUI KITU BADO UNAONGEA PUMBA ZILE ZILE AISEE.
WE KAA TU KIMYA AISEE MAANA THE MORE YOU TALK THE MORE YOU REVEAL YOUR STUPIDITY.
YAN HUJUI NA HUJUI KM HUJUI HUKU UKIJIFANYA UNAJUA KUMBE HUJUI.
KM KUHUSU WAARABU KUJILIPUA NAJUA UNAZUNGUMZIA IS,ALQAEDA,TALIBAN,HEZBOLLAH.
HUJUI HAYO MAKUNDI KUANZISHWA KWAKE,WAANZILISHI WAKE NA SABABU YA KUANZILISHWA KWAKE.
USI GENERALIZE ETI WAISLAM NDIO WANAFANYA VILE.
NA WALA HUJUI UISLAM UMEKUJAJE MKUU NYAMAZA TUUU.
BAKI NA IMAN YAKO NIBAKI NA YANGU.
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu [emoji16] kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
Wote hao wameletwa na uislamu, kila mmoja kabla kuua husema allah akbar, huyo huyo unayemuabudu, ambaye aliletwa kwa waafrika na waarabu wakati walichinja mababu zetu.
Leo umekuwa mwalimu mzuri pamoja na kuwa mwanafunzi wako hafundishiki 😂.
Pole yako weeee nikikwambia kaka nyamaza muda mwingine ni kheyri mamdud kaanni kukaa kimya ili kuficha upumbavu still mbishi.Wote hao wameletwa na uislamu, kila mmoja kabla kuua husema allah akbar, huyo huyo unayemuabudu, ambaye aliletwa kwa waafrika na waarabu wakati walichinja mababu zetu.
Leo umekuwa mwalimu mzuri pamoja na kuwa mwanafunzi wako hafundishiki [emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sentensi ya kwanza imenifanya nicheke sana [emoji16][emoji16]
Kuna swali niliona mahali; Ni nani anayeongoza ulimwengu?
Pia ningetaka kujua hizo discoveries zenu.
Na kama evidence ya uwepo wa MUNGU haipo, naomba evidence ya kwamba HAYUPO
Anajua nini huyu???
Ni mjinga tu kama Wewe hataki kukubali ujinga wake.
Asa ona navyomuumbua kwa evidence.
Yeye si anaongea maneno tu pasi na proof????
Shuhudia navyomuumbua kwa evidence.
Nimemtoa ujinga kuhusu IS,Al-Qaeda,Taliban.
Nitarudi tena.
Still unaropoka vikubwa.Wewe mtu mweusi unayepigania dini ya mwarabu ndiye mjinga. Pamoja na kuwa wewe ni 'arab wannabe' bado hao waarabu wanakuchukia kwa moyo wao wote.
Nimeishia hapo kwa leo, ngoja nikuache na ujuha wako.
Kazi kulalamika tu 😂😂 fungasha virago uje hapa Murang'a tupande maparachichiWee Mkikuyu nitafute privately nikupe elimu!
Hapa nipo napambana na utawala mbaya wa bwana Jiwe!
Huku TZ ni jela,tunatafuta uhuru bado hatujapata!
HahahahaWho cares?
Ndio athari za nyie wapenda dini wote!
Who cares hata kama unaabudu mavi?
Abudu whatever the fvck you want,nchi huru!
Wana katiba mpya,wana demokrasia bora kabisa Africa,wana uchumi bora kabisa,wana elimu na maisha bora!
Who cares???
Jamaa kumbe umepona? Kipindupindu ni janga la taifa Tanzania. Pole sanaHahahaha
1) Katiba bora
2)Elimu bora
4) Uchumi mkubwa
Lakini nchi bado inaongoza katika
1)Ukabila
2)Rushwa
3)Ukosefu wa ajira
4)Njaa
5) Ukosefu wa usalama
6)Slums
7)Nepotism
8)Extra judicial killings
9)Pengo kubwa kati ya tajiri na masikini
10) poor public health services
11) Deni kubwa la taifa
Hiyo katiba nzuri zaidi ya kuongeza vyeo vya wanasiasa na kuongeza mzigo wa Kodi kwa mwananchi wa kawaida, nini tena imeleta?