#COVID19 Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124

Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus.

Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia kushikana mikono.

Aida, Mwanafunzi au mwalimu mwenye dalili za corona asiruhusiwe kuingia katika mazingira ya shuleni ili kuepuka kuwaambukiza wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…