Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza kupata softcopy ya kitabu hiki cha Lwanda Magere mkuu??Asante kwa tahadhari Ila nikukumbushe kisa Cha LUANDAMAGERE
Asante sana Master UMUGHAKA kwa simulizi zako yaani zinatufumbua sana na kuyafahamu yale yaliyo gizani. Pole kwa kukashifiwa na baadhi ya Members wasiojjielewa. Tuko pamoja sana MasterHuyu ndiye mfano wa huyo kolekole,baada ku
chunwa ngozi,nyama yake ikabanikwa na kuchomwa kisha kuliwa na wale jamaa walioitafuta,kisha ngozi yake ikaanikwa juani ilipokauka ikatengenezwa ndipo tukaambiwa itakuwa inaenda kuiba pesa benki inatuletea.
Kamugisha alivyokuwa na hamu na pesa ya wizi akawa amesema pesa ya kwanza tutakayomtuma huyo kolekole itakuwa milioni 100 ili tugawane pasu kwa pasu [emoji23][emoji23].
Kilichotukuta sitokaa nisahau.
😅😅😅 Dah nyie watu mnaokusanya inzi bar na visoda soda vyenu ni wanafiki sanajamaa aliamka akawa anacheza muziki bila aibu huku akimuita kila muhudu wa kike na kuanza kujichekesha chekesha bila sababu za msingi.
Naendelea................
Kiukweli nilisema hata kama ni kutafuta lakini kwa hali ile yalikuwa ni mateso makubwa mno.
😅😅😅😅 Nimecheka mnoKamugisha "Mdogo wangu waganga huwa wanamipaka,unaweza kukuta familia yake inapata taabu ila watu wengine wanasaidiwa vizuri tu,wala hilo lisikushitue mdogo wangu"
Aliendelea "Jamaa inaonekana anajua"
😅😅😅 Khaaa yaani nyie jamaa hamkati tamaa , ningekuwa ni nyie Ile dhoruba ya boti tu safari ingeishia hapoJamaa hajakata tamaa anasema anajaribu kupepeleza ili tuelekee tena huko Zambia maana ameambiwa huko wapo wataalamu wa kumpatia utajiri.
Mimi kazi yangu nitakuwa ni kuwasimulia tu ndugu zangu.Safari ya Zambia ikiwa tayari nitawajulisha[emoji23].
Hawa wametapeliwa na watanzania na inaongea chain inaanzia huku huku Tanzania 😅😅😅Aiseeee ila wacongo na wanaija ni watoto wa baba mmoja kwa utapeli hawajambo...nimewaza mlivyolala uchi kwenye hayo mashimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah kweli kabisa ni connection ndefu kwanzia pale walipopandia botiHawa wametapeliwa na watanzania na inaongea chain inaanzia huku huku Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndiye mfano wa huyo kolekole,baada ku
chunwa ngozi,nyama yake ikabanikwa na kuchomwa kisha kuliwa na wale jamaa walioitafuta,kisha ngozi yake ikaanikwa juani ilipokauka ikatengenezwa ndipo tukaambiwa itakuwa inaenda kuiba pesa benki inatuletea.
Kamugisha alivyokuwa na hamu na pesa ya wizi akawa amesema pesa ya kwanza tutakayomtuma huyo kolekole itakuwa milioni 100 ili tugawane pasu kwa pasu [emoji23][emoji23].
Kilichotukuta sitokaa nisahau.
Mbona hasira sana? Nini huwa kinauma mtu akikosoa?Hujui kitu we mpumbavu, too much know kama mabasha wa Kariakoo
Poleni sana....nimefanya kazi bank miaka zaidi ya 10 ila haijawahi tokea pesa ya bank kupotea kwa ushirikina au njia yoyote isiyoeleweka...ni either ifanyike fraud au wazee wa kazi waingie na mashine wabebe pesa zao.Huyu ndiye mfano wa huyo kolekole,baada ku
chunwa ngozi,nyama yake ikabanikwa na kuchomwa kisha kuliwa na wale jamaa walioitafuta,kisha ngozi yake ikaanikwa juani ilipokauka ikatengenezwa ndipo tukaambiwa itakuwa inaenda kuiba pesa benki inatuletea.
Kamugisha alivyokuwa na hamu na pesa ya wizi akawa amesema pesa ya kwanza tutakayomtuma huyo kolekole itakuwa milioni 100 ili tugawane pasu kwa pasu [emoji23][emoji23].
Kilichotukuta sitokaa nisahau.
Jibu rahisi sana...ukiwa na uhakika wa mchongo wa kupiga hela utatafuta pesa popote hata kwa riba umiza. Msala ni mchongo ukifeli ndo utajua hujuiNimesoma huu uzi mstari kwa mstari kuanzia mwanzo hadi sehemu ya 7, nilipoingia sehemu ya 8 imani ikaanza kupungua na maswali yakaanza kuwa mengi kichwani nikaanza kurukaruka.
Anyway sina sababu za kutosha za kutofautiana na mwandishi ila nimewaza sana hizo gharama zote za fedha zilizotumika safarini mbona kama ni kubwa sana, huyo daktari alikuwa na akiba kiasi gani mbona kama kuna sehemu mwandishi kaonyesha daktari alikuwa analalama mshahara wake haulipi?
Hizo fedha mlotumia safarini mngewekeza Kariakoo mngetoboa tu.
Tanzania tulimkosea nini Mungu hadi kukawa na watu kama wewe??Yaani ufike Tunduma boda kisha uende tena sumbawanga [emoji276]chai hii sio poa,Ikifika Tunduma ndio boda ya nakonde ilipo then unaingia zambia hadi kapiri mposhi ndio unaingia congo
Mtu mshahara wake ni mil 1.2Nimesoma huu uzi mstari kwa mstari kuanzia mwanzo hadi sehemu ya 7, nilipoingia sehemu ya 8 imani ikaanza kupungua na maswali yakaanza kuwa mengi kichwani nikaanza kurukaruka.