Tulia wew hujatembea na hujui ramani na Congo ni kubwa na njia rahisi ya kwenda Moba ni Sumbawanga au Kigoma via Tanganyika.Yaani ufike Tunduma boda kisha uende tena sumbawanga [emoji276]chai hii sio poa,Ikifika Tunduma ndio boda ya nakonde ilipo then unaingia zambia hadi kapiri mposhi ndio unaingia congo