Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

Dah!.
Hatari sitasahau nilipoenda Kwa mganga pale Kebakari aisee niliombwa mazaga kibao nikaaga kwenda kununua kwani nikirudi??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Asante sana Master UMUGHAKA kwa simulizi zako yaani zinatufumbua sana na kuyafahamu yale yaliyo gizani. Pole kwa kukashifiwa na baadhi ya Members wasiojjielewa. Tuko pamoja sana Master
 
jamaa aliamka akawa anacheza muziki bila aibu huku akimuita kila muhudu wa kike na kuanza kujichekesha chekesha bila sababu za msingi.



Naendelea................
😅😅😅 Dah nyie watu mnaokusanya inzi bar na visoda soda vyenu ni wanafiki sana
 
Kiukweli nilisema hata kama ni kutafuta lakini kwa hali ile yalikuwa ni mateso makubwa mno.

Hapo Mbona kawaida , mateso ni yale ya kwenye boti
Kamugisha "Mdogo wangu waganga huwa wanamipaka,unaweza kukuta familia yake inapata taabu ila watu wengine wanasaidiwa vizuri tu,wala hilo lisikushitue mdogo wangu"

Aliendelea "Jamaa inaonekana anajua"
😅😅😅😅 Nimecheka mno
 
Jamaa hajakata tamaa anasema anajaribu kupepeleza ili tuelekee tena huko Zambia maana ameambiwa huko wapo wataalamu wa kumpatia utajiri.

Mimi kazi yangu nitakuwa ni kuwasimulia tu ndugu zangu.Safari ya Zambia ikiwa tayari nitawajulisha[emoji23].
😅😅😅 Khaaa yaani nyie jamaa hamkati tamaa , ningekuwa ni nyie Ile dhoruba ya boti tu safari ingeishia hapo
 
Aiseeee ila wacongo na wanaija ni watoto wa baba mmoja kwa utapeli hawajambo...nimewaza mlivyolala uchi kwenye hayo mashimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wametapeliwa na watanzania na inaongea chain inaanzia huku huku Tanzania 😅😅😅
 
wabende wacongo nilikutana nao katavi mpanda hao jamaa ni mafundi.kuna dawa mpaka ya kuzuia risasi na vitu vikalii ....hii nilitest mwenyewe na ilifanya kazi but nilikosea masharti[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mkuu hayo maisha ulishatoka

Kwanini unataka kurudi nyuma tena?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana....nimefanya kazi bank miaka zaidi ya 10 ila haijawahi tokea pesa ya bank kupotea kwa ushirikina au njia yoyote isiyoeleweka...ni either ifanyike fraud au wazee wa kazi waingie na mashine wabebe pesa zao.
 
Jibu rahisi sana...ukiwa na uhakika wa mchongo wa kupiga hela utatafuta pesa popote hata kwa riba umiza. Msala ni mchongo ukifeli ndo utajua hujui
 
Daah pesa hizi. Sasa huyu nae msomi mzima anatapeliwa kiboya boya tu.😂
 
Mtu mshahara wake ni mil 1.2

Hawezi kukosa hata mil 5 ya akiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…