Namna watu walivyoupokea ujumbe wa Askofu Gwajima leo

melick odas

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
43
Reaction score
50
Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii...

~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM.

~Wengine wanamkosoa wakihisi anatumia dini kwa siasa au hajawa wazi kama atagombea.

~Wengine wako neutral, wakisubiri aweke wazi hatua zake zijazo.

Kwa kifupi: Ujumbe wake umepokelewa kwa hisia mchanganyiko.

👉 Wewe mdau umeupokeaje?
 
kuna ccm pilipili zimewaka kwenye kinyeo subiri zile buku saba zao na V8 walizopewa vijijini waje kutunisha makoo ndani ya JF na nje ya JF.
 
Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii...

~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM.

~Wengine wanamkosoa wakihisi anatumia dini kwa siasa au hajawa wazi kama atagombea.

~Wengine wako neutral, wakisubiri aweke wazi hatua zake zijazo.

Kwa kifupi: Ujumbe wake umepokelewa kwa hisia mchanganyiko.

👉 Wewe mdau umeupokeaje?
Sijamsikiliza. Kifupi huwa siwasikilizi watu wanaohitajika kuwa Milelmbe. Nasubiri apone kwanza.
 
Back
Top Bottom