Namna ya ku-deal na Gold digger

Hawa watoto wa 2000+ k zao sijui zina nini, wengi tukikutana nazo tunajikuta tunaenda nje ya misingi, unakuta unajua kabisa labda bei elekezi ni 10k, ila unajikuta unatoa hadi 50k

Simshangai sana Melancholic anavoutafuta umasikini kwa bidii
 
Huyo
hana shida yuko straight.Yuko anakupima ww kama ni husband material Pia.

Ila huo mwandiko wa 2000 kweli maana yuko straight to the point
Huyo ndo mke sasa.
 
Hawa watoto wa 2000+ k zao sijui zina nini, wengi tukikutana nazo tunajikuta tunaenda nje ya misingi, unakuta unajua kabisa labda bei elekezi ni 10k, ila unajikuta unatoa hadi 50k

Simshangai sana Melancholic anavoutafuta umaskini kwa bidii
😁😁😁😁mkuu mimi nataka niichakate leo kwa mara ya mwisho niibwage
 
Huyo

hana shida yuko straight.Yuko anakupima ww kama ni husband material Pia.

Ila huo mwandiko wa 2000 kweli maana yuko straight to the point
Huyo ndo mke sasa.
😁😁😁😁
 
😆😆😆Aisee
 
I salute
 
Mhusika mwenyewe ni kama hana msimamo, ila ku deal na wanawake lazima uwe kidgo na kichwa siyo kutumia tu kichwa cha chini, ila kama ela ipo we toa tu
 
umeongea point kubwa sana
umeongea point kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…