Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ktuma pesa nyumbani natuma kila wiki na hata sasa nimetoka kutuma
Vifaa vya nyumbani na mazingira ya nyumbani umeyaweka kuwa ya kisasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktuma pesa nyumbani natuma kila wiki na hata sasa nimetoka kutuma
Ktuma pesa nyumbani natuma kila wiki na hata sasa nimetoka kutuma
Umembananisha vizuri, kama hataelewa basi kichwa kibovuElfu 30
Inanunua Heater
pasi ya umeme
Mapazia pair mbili.
Mashuka special
Duvet Moja
Bill ya maziwa.
Laki na ishirini kwa mwezi inanunua
Pressure Cooker
Feni ya Kisasa
Sabufa au redio ya kawaida
Saa ya ukutani
Zulia la manyoya
N.k.
Wazazi wanavyo vitu hivyo nyumbani?
Umembananisha vizuri, kama hataelewa basi kichwa kibovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka anakupangia na hela ya kumpa kila wiki, daah kweli umeshikwa [emoji23]
Acha ubakhiri, mpe hela mtoto wa watu, wee mbona anakupa nyapu yake? Lol
Nimekuelewa mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoBinti kamuona Hana akili ndio maana anampuna.
Elfu 30 kwa kijana anayejitafuta mwenye kipato chini ya Milioni Moja ni pesa nyingi sana
sawa mkuuAcha ubakhiri, mpe hela mtoto wa watu, wee mbona anakupa nyapu yake? Lol
Nimekuelewa mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
Huyu nabwagaBasi sio kumbe. Komaa nalo hilo
Ati someone else's child is your fellow adult .Huyo binri wa 2003 si ni sawa na mwanao? Kwanini unaharibu mtoto wa mwenzio? We mwanao akifanyiwa hivi utafurahi?
Hakuna cha utamu wala nini ni kujiendekeza tu. Kwanini usitafute level yako ukaoa mkuu. Umasikini mwingine mnautengeneza ninyi wenyewe halafu badae mnakuja kulaumu serikali.
Mkuu nimekuelewa sana hakika haya maneno yako yamenitia uchungu naahidi kubadilika ila nachoshukuru sikuwahi kuanza kumpa hiyo pesa kama anavyodai na ndio haswa ugomvi wetu unapokujaNashukuru Sana Mkuu.
Kutumia jasho lako vibaya ni kujidharau na kujidharaulisha kwa Watu.
Usipothamini jasho lako(pesa au kipato chako) inamaanisha huthamini Utu wako.
HUNA Sababu hata Moja ya kuwa na huyo mwanamke mpenda Pesa
Mbona Sisi tunataka na wanawake wazuri na hatutoi hizo pesa kindezi ndezi.
Badili vigezo. Wewe bado unajitafuta. Maskini.
Kigezo cha kwanza awe mwanamke mwenye Kazi au anayejiweza kiuchumi. Vingine ndio vifuate.
Shauri yako usijesema Kaka zako hatukukuambia
Ouk.sawa mkuu
Akitoa ndogo na dau linapanda.Akiwa nao watano wa hivi (na hamkosekani) anakunja 600K yake kwa mwezi just chomeka chomoa chomeka chomoa.
Wanawake ni muflisi kabisa.
Mkuu nimekuelewa sana hakika haya maneno yako yamenitia uchungu naahidi kubadilika ila nachoshukuru sikuwahi kuanza kumpa hiyo pesa kama anavyodai na ndio haswa ugomvi wetu unapokuja
Sawa mkuu barikiwa sana shukran kwa ushauri mzuriBora iwe hivyo.
Nawaelewa Wanawake akili Zao zilivyo.
Huwa nashangaa wanaotumia jasho Lao vibaya kwaajili ya hao viumbe tena ambao sio Mke, mama au binti yako.
Wanadharau Sana
Hawana adabu
Wanatabia ya Paka
Lazima ule Pesa yake kama anavyokula yako.
Kwenye sex wote mna- share. Anafurahia na wewe unafurahia so why umpe hela na wewe zake huzili?
Badili vigezo.
Tafuta mwanamke mwenye Kazi, au Kibiashara ambaye ukimpa hiyo elfu 30 yeye kwake unauwezo wa kuchukua elfu 15
Umepotea. Long time no see
Nafurahi kukuona hapaIndeed! Nipo Kipenzi! Missing You
Hapo sawaNilikosea