Namna ya ku-deal na Gold digger

Namna ya ku-deal na Gold digger

Screenshot_20250218-094236.jpg
 
Mkuu hiyo ni nauli tu bado kuna vizinga vingine
Bado ni pesa ya kawaida kabisa a man anayeanza kudate anapaswa kuzitoa bila kuansiha thread na inaenda pages and pages.
Nyie vijana kwani hamkuambiwa kuwa mwanaume ni majukumu?
anyways! endeleeni
 
Halaf kalivyokua kajanja hataki 120k kwa mwezi, anataka 30k kwa wiki! Hii mbinu ina intelligence kubwa sana ndani yake.

BTW tengua kauli huyo hajafika level ya gold digger. 30k per week bado pesa ndogo sana kama anakupa mzigo kwa moyo mmoja bila kukubania.
 
Tatzo mzigo anatoa kwa kusua sua
 
Mara ya mwisho kutuma pesa nyumbani ni Lini?
JE wazazi wako wanatumia vifaa vya kisasa kuwasaidia shughuli za nyumbani?

Kama jibu ni Ndio endelea kutoa pesa kwa hako kabinti
Ktuma pesa nyumbani natuma kila wiki na hata sasa nimetoka kutuma
 
Back
Top Bottom