Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #21
daah mbona sifani kama huyu ila huyu chuo alimaliza mwakajanaKidogo data zingefanana na wa kwangu yeye ni wa 2003 na pia ni msafi bala.. hela anapenda tuliachana mwezi wa 11 anaishi Dar ni first year mweusi
mkuu sijui huyu mtoto kanifanyia nini ubabe wote kwisha japo sio kawaida yangu kweli kila mtu na kiboko yakeUnaonekana mnyonge, ni rahisi kupelekeshwa.
Pambana na hali yako.mkuu sijui huyu mtoto kanifanyia nini ubabe wote kwisha japo sio kawaida yangu kweli kila mtu na kiboko yake
Unamwitaje Gold digger wakati hata gold zenyewe huna? Mbadilishe jinamkuu wala pesa sina kivile
kwanini mliachana mkuuKidogo data zingefanana na wa kwangu yeye ni wa 2003 na pia ni msafi bala.. hela anapenda tuliachana mwezi wa 11 anaishi Dar ni first year mweusi
Huyu ata akiwahiwa haponi ng'oooooMpaka anakupangia na hela ya kumpa kila wiki, daah kweli umeshikwa 😂
Pole sanaWakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka nimemgusa yule mtoto the way alivyomtamu halafu ni msafi balaa na anajua mapenzi kinoma ndio nikajikuta nimenasa mazima.
Kila nikimaliza kudate nae nasema namuacha lakini zikipita siku mbili najikuta namtamani tena toka mwez wa 11 mpaka sasa nimeshindwa kumuacha huyu mtoto. Japo mara nyingi najiapiza kumuacha but ninafeli.
Kuna siku nikampotezea nikaamua kuvuta kidem changu kibonge kina nyashi hatari but nilishindwa kuperform sababu muda mwingi nilikuwa namuwaza yule mtoto wa 2003, yani itoshe tu kusema huyu mtoto kanikamata sana na sijui namna ya kujitoa japo nimeshamuweka mara 3 lakini bado najikuta naitaka tena pia tumekuwa na ugomvi mwingi kuhusu pesa lakini tunasolve mambo tunaendelea.
wakuu hapa tayari kaniambia kesho anakuja gheto na toka asubuh nilipanga kwamba hiyo ndio itakuwa mara ya mwisho but nikikumbuka utamu wa yule kiumbe nakosa ujasiri na mbaya zaidi namba yake ipo kichwani.
Hivi kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hii kwamba unananasa kwa mtu na unashindwa kujitoa??
Nimepiga madem wengi lakini nyapu, style na usafi wa huyu mtoto ni habari nyingine yani nishakuwa addicted na huyu mtoto naumia sana kubaki nae ila kujitoa ndio nimeshindwa em niokoeni ndugu zangu.
Miaka 22 huku kigoma wana watoto wanneHuyo binri wa 2003 si ni sawa na mwanao? Kwanini unaharibu mtoto wa mwenzio? We mwanao akifanyiwa hivi utafurahi?
Hakuna cha utamu wala nini ni kujiendekeza tu. Kwanini usitafute level yako ukaoa mkuu. Umasikini mwingine mnautengeneza ninyi wenyewe halafu badae mnakuja kulaumu serikali.
Mshachelewa kumuokoa mwenzenu 😂Huyu ata akiwahiwa haponi ng'ooooo
Mwenzetu muimba kwaya au?Mshachelewa kumuokoa mwenzenu 😂
Watu wanajua kutumia K...u...ma shost we acha tuKumbe kuna mishahara kwa week hamsemii[emoji28]
Mkuu nimedhamiria kumbwaga mazimaWatu wanajua kutumia K...u...ma shost we acha tu
Mkuh niokoeni aiseeMwenzetu muimba kwaya au?