Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie.
Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout account yangu.
Binafsi sipendi kabisa mtu kufahamu ID yangu humu kwani sometime Huku tunaachia hadi secret issues tukiringa na Anonymous status, Naona ni mambo ya KikumEr sana na Kisenge watu kufuatiliana mitandaoni hasa JF..
Kwa scenerio hyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie namna ya kubadili Email yangu na Username soon as possible.
Mambo ya umbeaumbea sitaki kumErmErqe.
Apology for me from you kwa maneno makali Ila kikubwa NIMEKEREKWA SANA