Namna ya kuchaji fedha au kuweka mfumo wa kulipia kwenye WhatsApp

Namna ya kuchaji fedha au kuweka mfumo wa kulipia kwenye WhatsApp

Joined
Dec 17, 2022
Posts
73
Reaction score
46
Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi.

Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu walipie.Mbali Na kuweka order wanaweza kulipia moja kwa moja Na ukawatumia bidhaa zao.

Basi nakuletea njia hii rahisi Na kusema kwamba inawezekana. Njia ya malipo huwa ni kwa kutumia stripe akaunti au PayPal. Utaiunganisha Na group lako, Hivyo mtu akihitaji kupata huduma yako atalipia kwa mfumo wa visa card au master card au PayPal akaunti.

Ukihitaji huduma hii nitafute kwa njia ya whatsapp- 0625734020.
Kama mimi nmeweza Na wewe utaweza Pia.
 
Yaani whatsapp business inakua kama web page
 
Back
Top Bottom