Nakubaliana nawe 100%.Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawe 100%.Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..
Yaani kama huna hata uhakika kuwa mawakala hawatakuwa vituo vyote, afu unajipa moyo eti upinzani utashinda, labda washinde njaaUTANGULIZI:
¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:
FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea..
FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na mikakati yao yote kwa Tundu Lissu na CHADEMA kuhakikisha hawapati kitu..
FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa 0..!
FACT No. 4: Ipo vita moja iliyobaki ktk uchaguzi huu na ndiyo imeanza leo. Ni vita ya mawakala katika hatua NNE..
1. MOSI, Kuanzia kuapishwa..
2. MBILI, kupewa barua za utambulisho..
3. TATU, kujua vituo ambavyo wanakwenda kusimania (maana msimamizi wa uchaguzi ndiye anayetoa barua ya utambulisho ya wakala kwa msimamizi wa kituo)..
4. NNE, kupewa nakala ya fomu za matokeo ya kura ktk kila kituo..
Kila hatua ni vita..
Ukimaliza vita ya hatua ya kwanza, unaingia vita ya hatua ya pili, ya 3 hadi ya mwisho..!
Sasa hebu wanamageuzi tuwe na imani kuwa tutashinda vita ya kila hatua..
Tukubali pia kuwa lazima tu kutakuwa na majeruhi kwa maana maeneo mengine wasimamizi (DEDs) figisu figisu zao zitashinda na kufanikiwa kutowaapisha baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani hususani wa CHADEMA na ACT WAZALENDO kama tuvyoanza kuona kule CHATO..
NINI CHA KUFANYA?
1. CHADEMA na ACT WAZALENDO na vyama vingine vya upinzani vyenye nia ya ushindi wa kuiondoa CCM na Magufuli ziunde ushirika usio rasmi katika eneo hili la mawakala ndani ya vituo..
2. Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..
3. Wakala huyo katika kituo ambacho figisu za maDEDs zitafanya CHADEMA ikose wakala, basi fomu ya matokeo ya kura za kituo hicho hasa ya Urais, atakayepewa wakala asiye wa CHADEMA basi utaratibu uwekwe wa kuhakikisha CHADEMA wanaipata fomu hiyo maana wao ndiyo mgombea wao wa Urais anayekwenda kumshinda Magufuli wa CCM..
Hili linawezekana kabisa mkikaa vizuri..
4. CHADEMA wahakikishe kuwa wanavitambua vituo vyote ambavyo watafanyiwa figisu na mawakala wao kushindwa kuingia kwa sbb ziwazo zozote..
NB: Hata hivyo, hii ya kutoweka mawakala katika vituo vyote 81,151 Tanzania nzima isiwe ni option na kamwe isiwe entertained kwa namna yoyote..
Ni lazima mapambano yaendelee kuhakikisha mawakala wao wanaapishwa na wanajua mapema kabisa vituo vyao vya kwenda kulinda kura za Rais wetu Tundu Lissu..
Mwaka huu ni lazima kieleweke tu..!!
Elewa kwamba vyama vingine ni vibaraka wa CCM na vimekuwa sponsored na CCM kuendesha kampeni. Nia ni kupata support ya vyama hivyo, hasa katika hatua ya kuhalalisha ushindi.UTANGULIZI:

Eti machafuko ndiyo maana bendera ya chadema ina rangi nyekundu, pimbi kweli kweli. Jaribuni muone cha moto na safari hii hakuna kutoa onyo ni kuanza na kutandika mbwehaUshauri bora sana,, ila machafuko ndio yatakuwa njia kubwa zaidi ya kurejesha nidhamu kwenye box la kura. Bila machafuko hizi figisu za kipuuzi, zitaendelea kuwa njia kuu ya ccm kubaki madarakani bila ridhaa ya wengi.
Mbona hayo yote yamefanywa na ccm toka 1960sUtopolo mtupu, Anti-Pas hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Kwa Sera za kuuza mashirika ya umma, kuacha kutoza kodi, kuigawa Tanzania kwenye kanda kwa mabeberu? . Imekula kwenu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025
View attachment 1607651
Vipi utakua front line au ndio utaishia huku huku JF?Ushauri bora sana,, ila machafuko ndio yatakuwa njia kubwa zaidi ya kurejesha nidhamu kwenye box la kura. Bila machafuko hizi figisu za kipuuzi, zitaendelea kuwa njia kuu ya ccm kubaki madarakani bila ridhaa ya wengi.
Mnao wabunge wa ngapi walio pita bila kupingwa!?.Wenzenu wanao 28 mpaka sasa, Chama cha Mbowe hovyo kabisa.
Magoli Saba bila Mpaka mhutu anapepewa na feni kila mkutano wake asianguke kwa presha na malukanga vimelea vimechachamaa balaa .
FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa![]()
Magoli Saba bila Mpaka mhutu anapepewa na feni kila mkutano wake asianguke kwa presha na malukanga vimelea vimechachamaa balaa .
Beberu huyo au beberu ganiUtopolo mtupu, Anti-Pas hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Kwa Sera za kuuza mashirika ya umma, kuacha kutoza kodi, kuigawa Tanzania kwenye kanda kwa mabeberu? . Imekula kwenu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025
View attachment 1607651
Wizi tu hamna ushindani mnaouweza kwenye kura.Mnao wabunge wa ngapi walio pita bila kupingwa!?.Wenzenu wanao 28 mpaka sasa, Chama cha Mbowe hovyo kabisa.
Mapookezi Ya wanafunzi kama haya ya kujaza viti ili muonekane wengi?View attachment 1607760View attachment 1607759Lissu alivyo kuwa anawaaga wale aliokuwa anawahutubia hapo Tanga biashara imeisha. Eti, eti , eti kesho na vuka naenda Pemba nitakuwa na Maalimu. Si mliona tulikuwa naye Moshi.
Maalimu aliyesema DKt Shein asinge maliza mwaka baada ya kuchaguliwa 2015. Lissu ndio leo anamuona tegemeo lake!!
Lissu hakutegemea mapokezi ya JPM hapo Moshi leo yangekuwa yalivyo kuwa.Bado Arusha kesho. Cdm na Lissu watajuta kumjua JPM.
Ila anayepaswa kuwa Rais ni mama yako mzazi eeeh!Utopolo mtupu, Anti-Pas hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Kwa Sera za kuuza mashirika ya umma, kuacha kutoza kodi, kuigawa Tanzania kwenye kanda kwa mabeberu? . Imekula kwenu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025
View attachment 1607651
Ni hila tu za ccm mkuu. Hata hivo wameongeza siku 2, hopefully watarekebisha mengiKuna moja leo limenivunja morali, yaani, baadhi ya mawakala kupewa barua ya utambulisho haina sahihi wala jina la msimamizi, mkurugenzi wa uchaguzi, sijui viongozi wa cdm walikuwa wapi mapema, do!!
Imekaa vizuri hii.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Uzi wako umeshiba vyema kabisa. Mawazo yako tumeyachukua. Tumebaki na muda wa masaa kama 36 hivi. We need to be smart than everUTANGULIZI:
¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:
FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea..
FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na mikakati yao yote kwa Tundu Lissu na CHADEMA kuhakikisha hawapati kitu..
FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa 0..!
FACT No. 4: Ipo vita moja iliyobaki ktk uchaguzi huu na ndiyo imeanza leo. Ni vita ya mawakala katika hatua NNE..
1. MOSI, Kuanzia kuapishwa..
2. MBILI, kupewa barua za utambulisho..
3. TATU, kujua vituo ambavyo wanakwenda kusimania (maana msimamizi wa uchaguzi ndiye anayetoa barua ya utambulisho ya wakala kwa msimamizi wa kituo)..
4. NNE, kupewa nakala ya fomu za matokeo ya kura ktk kila kituo..
Kila hatua ni vita..
Ukimaliza vita ya hatua ya kwanza, unaingia vita ya hatua ya pili, ya 3 hadi ya mwisho..!
Sasa hebu wanamageuzi tuwe na imani kuwa tutashinda vita ya kila hatua..
Tukubali pia kuwa lazima tu kutakuwa na majeruhi kwa maana maeneo mengine wasimamizi (DEDs) figisu figisu zao zitashinda na kufanikiwa kutowaapisha baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani hususani wa CHADEMA na ACT WAZALENDO kama tuvyoanza kuona kule CHATO..
NINI CHA KUFANYA?
1. CHADEMA na ACT WAZALENDO na vyama vingine vya upinzani vyenye nia ya ushindi wa kuiondoa CCM na Magufuli ziunde ushirika usio rasmi katika eneo hili la mawakala ndani ya vituo..
2. Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..
3. Wakala huyo katika kituo ambacho figisu za maDEDs zitafanya CHADEMA ikose wakala, basi fomu ya matokeo ya kura za kituo hicho hasa ya Urais, atakayepewa wakala asiye wa CHADEMA basi utaratibu uwekwe wa kuhakikisha CHADEMA wanaipata fomu hiyo maana wao ndiyo mgombea wao wa Urais anayekwenda kumshinda Magufuli wa CCM..
Hili linawezekana kabisa mkikaa vizuri..
4. CHADEMA wahakikishe kuwa wanavitambua vituo vyote ambavyo watafanyiwa figisu na mawakala wao kushindwa kuingia kwa sbb ziwazo zozote..
NB: Hata hivyo, hii ya kutoweka mawakala katika vituo vyote 81,151 Tanzania nzima isiwe ni option na kamwe isiwe entertained kwa namna yoyote..
Ni lazima mapambano yaendelee kuhakikisha mawakala wao wanaapishwa na wanajua mapema kabisa vituo vyao vya kwenda kulinda kura za Rais wetu Tundu Lissu..
Mwaka huu ni lazima kieleweke tu..!!
Aisee kama vile tunaongozwa na nyani. Maana haya matukio sio ya kibinadam mwenye aibu.Itoshe tu kusema, hatuwezi kuendelea kama wanaotuongoza ni watu wasiostaarabika kiasi hiki!, si waaminifu, wezi, waongo, hawana uungwana hata chembe. Hizi tabia za hovyo za wakurugenzi zimeshsmiri kipindi hiki cha Magufuli.