Uchaguzi 2020 Namna ya kui - outsmart CCM kwenye ishu ya mawakala katika vituo vya kupigia kura

Mfano mzuri wa kulea Taifa la kesho. Kumbe ilitegemewa hii iwasaidie kwenye propoganda za opotoshaji.

Wito ihakikishwe kibaraka Lissu asitiroke nchini baada ta 28/10. Ataendelea kuwa mtaji wa genge lao la uadui wa Taifa la Tanzania.
Wanafunzi mnawatorosha shuleni kusoma mnawapeleka kwenye ujinga ikiwa hamwezi mikutano kwanini mnafanya msiyonauwezo nayo.View attachment 1608199
IMG_20201006_134016.jpg
 
Mifilisi kabisa eti kwenye ujinga. Mafunzo kwa vitendo ya somo la civics hayo.
Mafunzo kwenye civics?

Jidanganye halafu ukampigie huyo jiwe magoti. Kila sehem mumebanwa mpka kupiga magoti ati unaomba kura.
 
UTANGULIZI:

¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:

FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea..

FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na mikakati yao yote kwa Tundu Lissu na CHADEMA kuhakikisha hawapati kitu..

FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa 0..!

FACT No. 4: Ipo vita moja iliyobaki ktk uchaguzi huu na ndiyo imeanza leo. Ni vita ya mawakala katika hatua NNE..

1. MOSI, Kuanzia kuapishwa..

2. MBILI, kupewa barua za utambulisho..

3. TATU, kujua vituo ambavyo wanakwenda kusimania (maana msimamizi wa uchaguzi ndiye anayetoa barua ya utambulisho ya wakala kwa msimamizi wa kituo)..

4. NNE, kupewa nakala ya fomu za matokeo ya kura ktk kila kituo..

Kila hatua ni vita..

Ukimaliza vita ya hatua ya kwanza, unaingia vita ya hatua ya pili, ya 3 hadi ya mwisho..!

Sasa hebu wanamageuzi tuwe na imani kuwa tutashinda vita ya kila hatua..

Tukubali pia kuwa lazima tu kutakuwa na majeruhi kwa maana maeneo mengine wasimamizi (DEDs) figisu figisu zao zitashinda na kufanikiwa kutowaapisha baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani hususani wa CHADEMA na ACT WAZALENDO kama tuvyoanza kuona kule CHATO..

NINI CHA KUFANYA?

1. CHADEMA na ACT WAZALENDO na vyama vingine vya upinzani vyenye nia ya ushindi wa kuiondoa CCM na Magufuli ziunde ushirika usio rasmi katika eneo hili la mawakala ndani ya vituo..

2. Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..

3. Wakala huyo katika kituo ambacho figisu za maDEDs zitafanya CHADEMA ikose wakala, basi fomu ya matokeo ya kura za kituo hicho hasa ya Urais, atakayepewa wakala asiye wa CHADEMA basi utaratibu uwekwe wa kuhakikisha CHADEMA wanaipata fomu hiyo maana wao ndiyo mgombea wao wa Urais anayekwenda kumshinda Magufuli wa CCM..

Hili linawezekana kabisa mkikaa vizuri..

4. CHADEMA wahakikishe kuwa wanavitambua vituo vyote ambavyo watafanyiwa figisu na mawakala wao kushindwa kuingia kwa sbb ziwazo zozote..

NB: Hata hivyo, hii ya kutoweka mawakala katika vituo vyote 81,151 Tanzania nzima isiwe ni option na kamwe isiwe entertained kwa namna yoyote..

Ni lazima mapambano yaendelee kuhakikisha mawakala wao wanaapishwa na wanajua mapema kabisa vituo vyao vya kwenda kulinda kura za Rais wetu Tundu Lissu..

Mwaka huu ni lazima kieleweke tu..!!
Well said

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Mnao wabunge wa ngapi walio pita bila kupingwa!?.Wenzenu wanao 28 mpaka sasa, Chama cha Mbowe hovyo kabisa.
WEWE NDIYE HOVYO KABISA! HII NGOMA SIO YA KITOTO WAAMBIE HAO UNAOWAITA WABUNGE 28 KUWA MAMBO YANAENDA KUANZA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
UTANGULIZI:

¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:

FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea..

FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na mikakati yao yote kwa Tundu Lissu na CHADEMA kuhakikisha hawapati kitu..

FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa 0..!

FACT No. 4: Ipo vita moja iliyobaki ktk uchaguzi huu na ndiyo imeanza leo. Ni vita ya mawakala katika hatua NNE..

1. MOSI, Kuanzia kuapishwa..

2. MBILI, kupewa barua za utambulisho..

3. TATU, kujua vituo ambavyo wanakwenda kusimania (maana msimamizi wa uchaguzi ndiye anayetoa barua ya utambulisho ya wakala kwa msimamizi wa kituo)..

4. NNE, kupewa nakala ya fomu za matokeo ya kura ktk kila kituo..

Kila hatua ni vita..

Ukimaliza vita ya hatua ya kwanza, unaingia vita ya hatua ya pili, ya 3 hadi ya mwisho..!

Sasa hebu wanamageuzi tuwe na imani kuwa tutashinda vita ya kila hatua..

Tukubali pia kuwa lazima tu kutakuwa na majeruhi kwa maana maeneo mengine wasimamizi (DEDs) figisu figisu zao zitashinda na kufanikiwa kutowaapisha baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani hususani wa CHADEMA na ACT WAZALENDO kama tuvyoanza kuona kule CHATO..

NINI CHA KUFANYA?

1. CHADEMA na ACT WAZALENDO na vyama vingine vya upinzani vyenye nia ya ushindi wa kuiondoa CCM na Magufuli ziunde ushirika usio rasmi katika eneo hili la mawakala ndani ya vituo..

2. Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..

3. Wakala huyo katika kituo ambacho figisu za maDEDs zitafanya CHADEMA ikose wakala, basi fomu ya matokeo ya kura za kituo hicho hasa ya Urais, atakayepewa wakala asiye wa CHADEMA basi utaratibu uwekwe wa kuhakikisha CHADEMA wanaipata fomu hiyo maana wao ndiyo mgombea wao wa Urais anayekwenda kumshinda Magufuli wa CCM..

Hili linawezekana kabisa mkikaa vizuri..

4. CHADEMA wahakikishe kuwa wanavitambua vituo vyote ambavyo watafanyiwa figisu na mawakala wao kushindwa kuingia kwa sbb ziwazo zozote..

NB: Hata hivyo, hii ya kutoweka mawakala katika vituo vyote 81,151 Tanzania nzima isiwe ni option na kamwe isiwe entertained kwa namna yoyote..

Ni lazima mapambano yaendelee kuhakikisha mawakala wao wanaapishwa na wanajua mapema kabisa vituo vyao vya kwenda kulinda kura za Rais wetu Tundu Lissu..

Mwaka huu ni lazima kieleweke tu..!!
Usiache kujitokeza tena baada ya Matokeo ya Mwisho kutangazwa ili kutupa mrejesho wa hali halisi ukilinanisha na utabiri wako!
Utake usitake "Jumba" hawezi kukabidhiwa kijana ambaye hata kibanda alichokuwa nacho anashindwa hata kukikarabati, kukipaua, ama kukiboresha kwa namna yoyote ile!
Watanzania wanaojielewa si uwanja wa kujifunzia wanaharakati kutawala!
MIAKA MITANO TENA HAINA SHAKA!!!
 
UTANGULIZI:

¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:

FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea..

FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na mikakati yao yote kwa Tundu Lissu na CHADEMA kuhakikisha hawapati kitu..

FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa 0..!

FACT No. 4: Ipo vita moja iliyobaki ktk uchaguzi huu na ndiyo imeanza leo. Ni vita ya mawakala katika hatua NNE..

1. MOSI, Kuanzia kuapishwa..

2. MBILI, kupewa barua za utambulisho..

3. TATU, kujua vituo ambavyo wanakwenda kusimania (maana msimamizi wa uchaguzi ndiye anayetoa barua ya utambulisho ya wakala kwa msimamizi wa kituo)..

4. NNE, kupewa nakala ya fomu za matokeo ya kura ktk kila kituo..

Kila hatua ni vita..

Ukimaliza vita ya hatua ya kwanza, unaingia vita ya hatua ya pili, ya 3 hadi ya mwisho..!

Sasa hebu wanamageuzi tuwe na imani kuwa tutashinda vita ya kila hatua..

Tukubali pia kuwa lazima tu kutakuwa na majeruhi kwa maana maeneo mengine wasimamizi (DEDs) figisu figisu zao zitashinda na kufanikiwa kutowaapisha baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani hususani wa CHADEMA na ACT WAZALENDO kama tuvyoanza kuona kule CHATO..

NINI CHA KUFANYA?

1. CHADEMA na ACT WAZALENDO na vyama vingine vya upinzani vyenye nia ya ushindi wa kuiondoa CCM na Magufuli ziunde ushirika usio rasmi katika eneo hili la mawakala ndani ya vituo..

2. Kituo ambacho kwa sababu ziwazo zozote hakitakuwa na wakala wa CHADEMA ama ACT WAZALENDO, wakala wa CHAUMA ama TADEA ama ADC nk awe mlinzi wa kura za Tundu Lissu pia..

3. Wakala huyo katika kituo ambacho figisu za maDEDs zitafanya CHADEMA ikose wakala, basi fomu ya matokeo ya kura za kituo hicho hasa ya Urais, atakayepewa wakala asiye wa CHADEMA basi utaratibu uwekwe wa kuhakikisha CHADEMA wanaipata fomu hiyo maana wao ndiyo mgombea wao wa Urais anayekwenda kumshinda Magufuli wa CCM..

Hili linawezekana kabisa mkikaa vizuri..

4. CHADEMA wahakikishe kuwa wanavitambua vituo vyote ambavyo watafanyiwa figisu na mawakala wao kushindwa kuingia kwa sbb ziwazo zozote..

NB: Hata hivyo, hii ya kutoweka mawakala katika vituo vyote 81,151 Tanzania nzima isiwe ni option na kamwe isiwe entertained kwa namna yoyote..

Ni lazima mapambano yaendelee kuhakikisha mawakala wao wanaapishwa na wanajua mapema kabisa vituo vyao vya kwenda kulinda kura za Rais wetu Tundu Lissu..

Mwaka huu ni lazima kieleweke tu..!!
Kwa fact na.2 , the opposite is equally true! CHADEMA, ACT na wapambe wao wote wameelekeza silaha zao kwa CCM na mgombea wake wa Urais. Kwa nini? Wanajua hiyo ngoma ni nzito Lissu haiwezi hata akisaidiwa na mamluki wengine kutoka Kanada na Marekani, bado gawapati kitu! Hayo mengine ni ya kwenu, WASHINDWA! Yashughulikieni wenyewe
 
Back
Top Bottom