Uchaguzi 2020 Namna ya kui - outsmart CCM kwenye ishu ya mawakala katika vituo vya kupigia kura

Yaani kama huna hata uhakika kuwa mawakala hawatakuwa vituo vyote, afu unajipa moyo eti upinzani utashinda, labda washinde njaa
 
Eke Elewa kwamba vyama vingine ni vibaraka wa CCM na vimekuwa sponsored na CCM kuendesha kampeni. Nia ni kupata support ya vyama hivyo, hasa katika hatua ya kuhalalisha ushindi.

Matokeo yatakayotangazwa vyama vibaraka vinajitokeza haraka kutoa salaam za pongezi na ku-comment kuwa uchaguzi ulikuwa huru, haki na amani ili kumaliza nguvu au kuzima malalamiko ya akina CHADEMA na ACT Wazalendo. Nadhani unaelewa Divide and rule.

Kwa hiyo huwezi fanya kosa la kutegemea vyama KAMA ADC sijui chama cha Rashidi Mohamed au cha Mbatia kwamba atakufa tia kazi unayofikiria.
 
Ushauri bora sana,, ila machafuko ndio yatakuwa njia kubwa zaidi ya kurejesha nidhamu kwenye box la kura. Bila machafuko hizi figisu za kipuuzi, zitaendelea kuwa njia kuu ya ccm kubaki madarakani bila ridhaa ya wengi.
Eti machafuko ndiyo maana bendera ya chadema ina rangi nyekundu, pimbi kweli kweli. Jaribuni muone cha moto na safari hii hakuna kutoa onyo ni kuanza na kutandika mbweha
 
Utopolo mtupu, Anti-Pas hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Kwa Sera za kuuza mashirika ya umma, kuacha kutoza kodi, kuigawa Tanzania kwenye kanda kwa mabeberu? . Imekula kwenu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025
View attachment 1607651
Mbona hayo yote yamefanywa na ccm toka 1960s
 
Ushauri bora sana,, ila machafuko ndio yatakuwa njia kubwa zaidi ya kurejesha nidhamu kwenye box la kura. Bila machafuko hizi figisu za kipuuzi, zitaendelea kuwa njia kuu ya ccm kubaki madarakani bila ridhaa ya wengi.
Vipi utakua front line au ndio utaishia huku huku JF?
 
Kuna issue nyingine hizi copy wanazopewa nadhani Ni carbon copy. Zile ambazo zinajichora kwa pressure ya kalamu kwenye kuandika copy ya kwanza.

Sasa kwa wale kwenye list ya mwisho naamini watachukua copy ya mwisho ambayo inawezekana maandishi yasionekane vizuri.

Hapo Napo ushahidi unaweza usionekane vizuri. Vyema hata hao mawakala wasije wakaongeza wino wao copy ikawa nullified.

Namna iwepo kuhakikisha maandishi yanaonekana bila kuathiri genuinety ya copy ya hao wagombea wa mwisho kwenye list
 
FACT No. 3: Kwenye kampeni zote za field na za kisaikolojia kupitia propaganda ktk social & mainstreams medias hakuna ubishi kuwa Magufuli na CCM yake wamegaragazwa vibaya. Tundu Lissu anaongoza kwa goli 7 kwa
Magoli Saba bila Mpaka mhutu anapepewa na feni kila mkutano wake asianguke kwa presha na malukanga vimelea vimechachamaa balaa .
 
Lissu alivyo kuwa anawaaga wale aliokuwa anawahutubia hapo Tanga biashara imeisha. Eti, eti , eti kesho na vuka naenda Pemba nitakuwa na Maalimu. Si mliona tulikuwa naye Moshi.

Maalimu aliyesema DKt Shein asinge maliza mwaka baada ya kuchaguliwa 2015. Lissu ndio leo anamuona tegemeo lake!!

Lissu hakutegemea mapokezi ya JPM hapo Moshi leo yangekuwa yalivyo kuwa.Bado Arusha kesho. Cdm na Lissu watajuta kumjua JPM.
 
Msimamizi asipo apisha mawakala, mtafuteni nyumbani kwake muongee lugha nyingine.

Wakipewa mifano kama wawili watatu, watashika adabu wengine
 
Magoli Saba bila Mpaka mhutu anapepewa na feni kila mkutano wake asianguke kwa presha na malukanga vimelea vimechachamaa balaa .

Kwa tabasamu hili lililo original la kutokea moyoni; wala si la geresha.
 
Utopolo mtupu, Anti-Pas hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Kwa Sera za kuuza mashirika ya umma, kuacha kutoza kodi, kuigawa Tanzania kwenye kanda kwa mabeberu? . Imekula kwenu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025
View attachment 1607651
Beberu huyo au beberu gani
 
Attachments

  • 2020-10-03 11.21.32.png
    1,017.4 KB · Views: 1
Mapookezi Ya wanafunzi kama haya ya kujaza viti ili muonekane wengi?View attachment 1607760View attachment 1607759View attachment 1607761
 
Utopolo mtupu, Anti-Pas hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Kwa Sera za kuuza mashirika ya umma, kuacha kutoza kodi, kuigawa Tanzania kwenye kanda kwa mabeberu? . Imekula kwenu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025
View attachment 1607651
Ila anayepaswa kuwa Rais ni mama yako mzazi eeeh!
 
Kuna moja leo limenivunja morali, yaani, baadhi ya mawakala kupewa barua ya utambulisho haina sahihi wala jina la msimamizi, mkurugenzi wa uchaguzi, sijui viongozi wa cdm walikuwa wapi mapema, do!!
Ni hila tu za ccm mkuu. Hata hivo wameongeza siku 2, hopefully watarekebisha mengi
 
Uzi wako umeshiba vyema kabisa. Mawazo yako tumeyachukua. Tumebaki na muda wa masaa kama 36 hivi. We need to be smart than ever
 
Itoshe tu kusema, hatuwezi kuendelea kama wanaotuongoza ni watu wasiostaarabika kiasi hiki!, si waaminifu, wezi, waongo, hawana uungwana hata chembe. Hizi tabia za hovyo za wakurugenzi zimeshsmiri kipindi hiki cha Magufuli.
Aisee kama vile tunaongozwa na nyani. Maana haya matukio sio ya kibinadam mwenye aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…