Hii game muhimu kabla hujawa top... wanaojua wanataka nini watakubaliana kwamba
1. Always make those above you feel COMFORTABLY superior
Usijifanye una akili nyingi kuliko boss wako, mawazo yako hata kama ni yako sema ni ya boss wako aghalabu mbele za Watu
2. Play the PERFECT COURTIER hapa player mzuri ni Nchemba waziri wa fedha
Perfect courtier anasifu, hakosoi, humfurahisha bosi wake, siyo tishio kwa boss,maneno yake yana chumvi, humpaisha boss wake nk
3. Play the Sucker to catch a Sucker
Mtumikie kafiri upate ujira wako.
Lakini uwe na malengo siyo unatumika tuu bila vision
Zaidi ya yote haya mambo unayafanya ili:
Kujilinda wewe na maisha yako kwanza ( Mwigulu)
Najua wengi hawajamstukia Mwigulu kwamba anaplay Game ya power kwa akili sana
Huyu Mwigulu naweza kumuita Perfect Courtier wa kipindi chake hapa Nchini kwetu
Lakini kama ni wote tutakua Wabinafsi kama Mwigulu nani atawasaidia wahitaji??
View attachment 2222538
Pamoja na kwamba tunajukumu la kujijali nafsi zetu, tuwajali na wengine. Maisha yanahitaji BALANCE ya SELFISHNESS na COURTESY