Namna ya kuishi na kiongozi(bosi wako)akiwa dikteta

Hakikisha unampa takle anapohitaji
Huu ndio mwisho wa hao watu, atashikwa makalio na kubaki kuchekacheka tu.

Niliwahi ishi na bosi wangu nyumba moja tuliyopangishiwa na kampuni jamaa kilaza sana nilikuwa namchana wazwaz mpaka naondoka hana hamu na mm
 

Hii game muhimu kabla hujawa top... wanaojua wanataka nini watakubaliana kwamba

1. Always make those above you feel COMFORTABLY superior
Usijifanye una akili nyingi kuliko boss wako, mawazo yako hata kama ni yako sema ni ya boss wako aghalabu mbele za Watu

2. Play the PERFECT COURTIER hapa player mzuri ni Nchemba waziri wa fedha
Perfect courtier anasifu, hakosoi, humfurahisha bosi wake, siyo tishio kwa boss,maneno yake yana chumvi, humpaisha boss wake nk

3. Play the Sucker to catch a Sucker
Mtumikie kafiri upate ujira wako.
Lakini uwe na malengo siyo unatumika tuu bila vision

Zaidi ya yote haya mambo unayafanya ili:

Kujilinda wewe na maisha yako kwanza ( Mwigulu)
Najua wengi hawajamstukia Mwigulu kwamba anaplay Game ya power kwa akili sana
Huyu Mwigulu naweza kumuita Perfect Courtier wa kipindi chake hapa Nchini kwetu

Lakini kama ni wote tutakua Wabinafsi kama Mwigulu nani atawasaidia wahitaji??


Pamoja na kwamba tunajukumu la kujijali nafsi zetu, tuwajali na wengine. Maisha yanahitaji BALANCE ya SELFISHNESS na COURTESY
 

Mheshimiwa Mungu... Alisikika mmoja wa viongozi waliotoka jalalani
 
Asante sana kwa kutia nyama hakika nimepata kitu.
 
Sahihi kabisa kama huna options, kwa mtu mwenye mipango yake hii hawezi na pia 90% jamii yetu ndivyo ilivyo kila siku kusifia viongozi ata kwa ishu za kawaida tuu, kifupi unahalalisha uchawa kwa vijana
 
Sahihi kabisa kama huna options, kwa mtu mwenye mipango yake hii hawezi na pia 90% jamii yetu ndivyo ilivyo kila siku kusifia viongozi ata kwa ishu za kawaida tuu, kifupi unahalalisha uchawa kwa vijana
Kuna uchawa usiokera.

Uchawa ambao unachawia kwa hoja na hiyo inataka watu wenye weledi sio kama akina mwijaku
 
Unafundisha uchawa PRO MAX
 
48 LAWS of Power!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…