Namna ya kujenga nyumba ya ndoto yako kwa budget ndogo sana

A heavy object is going to fall on someone's head - kitu kizito chaenda kumdondokea mtu utosini
hicho kitu kizito kinaweza kikawa kiko akilini mwako kumbe wewe mwenyewe hujui. overall message imetarget wajenz si wale ambao kuishi kwao kwny nyumba za kupanga ndo wamefika mwisho na akili zao zilipoishia. alafu hujui kuwa kazi na tenda zinaenda kimkataba acha negative mindset kama ulishapigwa na kalinda usifikiri kila unachokiona ni kalinda
 
Hivi unajua kuwa hiyo kodi ya nyumba unayoilipa kila siku kama ungeweza kusave. hicho kiwango unaweza kukamilisha nyumba ya ndoto yako bila kuamini kilichotokea?.

wengi watakuambia ujenzi si Lele mama. ni kweli; kujenga nyumba ya mil 40 km unakipato cha kawaida si kazi ndogo

ila nataka nikuambie kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ukitaka ukamilishe malengo yako yeyote yake. fikiria kwa ukubwa ila chukua hatua ndogo

ukiuliza timu yoyote duniani ambayo imeshawahi kushinda taji siri ya mafanikio . watakuambia we take one match at a time

Vilevile kwenye ujenzi ukitaka kufikia malengo ya kujenga nyumba ya ndoto acha kufikiria wapi utatoa zaidi ya 40M kujenga nyumba ya ndoto yako.
bali anza kufikiria
1. kununua kiwanja
2.kununua tofali moja
3.kujenga msingi wa nyumba
- kuna jamaa alinifwata na kuniuliza namna gani angeweza kujenga nyumba ya ndoto yake na kuepukana na pango ikiwa ana kipato kidogo?!.

tulikaa chini tukajadiliana, na kutengeneza plan ya anachotaka kukifanya si pesa tu bali msukumo unahitajika.

tunavyoongea sasa hv tumeshamaliza phase ya kwanza ya nyumba yake na toyar tumepanga tarehe ya kuanza phase ya pili
- na wewe pia unaweza kujenga haijalishi kipato ulichokuwa nacho. nitafute tushauriane na tufanye kazi yenye ubora na kwa gharama nafuu
07655931771
Frank
Fundi mchundo kwa sasa nafanyia kazi zangu arusha na moshi ila mkoani nafika pia
View attachment 2433210
Arusha si Mkoa?
 
Usiniambie mzeya aise basi fanya uje unijengee bro....hiki kina ukubwa gani? Isije ikawa chumba 2 kwa 2🤣🤣🤣🤣
hpn standard ya chumba hakitakiwi kupungua mita 3 kwa 3 so hako kanyumba kana mita 3*3.5
 
Sijakuelewa bro....yaani nyumba yote ni 3*3.5 aua unamaanisha hicho chumba ya hiyo nyumba ndio 3*3.5

hpn hiyo ni size ya chumba kimoja kwahio kuna mgawanyiko wa vipimo ila nyumba nzima ina mita 7 *8
 
Hivi unajua kuwa hiyo kodi ya nyumba unayoilipa kila siku kama ungeweza kusave. hicho kiwango unaweza kukamilisha nyumba ya ndoto yako bila kuamini kilichotokea?.

wengi watakuambia ujenzi si Lele mama. ni kweli; kujenga nyumba ya mil 40 km unakipato cha kawaida si kazi ndogo

ila nataka nikuambie kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ukitaka ukamilishe malengo yako yeyote yake. fikiria kwa ukubwa ila chukua hatua ndogo

ukiuliza timu yoyote duniani ambayo imeshawahi kushinda taji siri ya mafanikio . watakuambia we take one match at a time

Vilevile kwenye ujenzi ukitaka kufikia malengo ya kujenga nyumba ya ndoto acha kufikiria wapi utatoa zaidi ya 40M kujenga nyumba ya ndoto yako.
bali anza kufikiria
1. kununua kiwanja
2.kununua tofali moja
3.kujenga msingi wa nyumba
- kuna jamaa alinifwata na kuniuliza namna gani angeweza kujenga nyumba ya ndoto yake na kuepukana na pango ikiwa ana kipato kidogo?!.

tulikaa chini tukajadiliana, na kutengeneza plan ya anachotaka kukifanya si pesa tu bali msukumo unahitajika.

tunavyoongea sasa hv tumeshamaliza phase ya kwanza ya nyumba yake na toyar tumepanga tarehe ya kuanza phase ya pili
- na wewe pia unaweza kujenga haijalishi kipato ulichokuwa nacho. nitafute tushauriane na tufanye kazi yenye ubora na kwa gharama nafuu
07655931771
Frank
Fundi mchundo kwa sasa nafanyia kazi zangu arusha na moshi ila mkoani nafika pia
View attachment 2433210
Huyu jamaa ni tapeli hili tangazo kaiga kwa mtu instagram kaja huku kabadilisha namba ya simu na maneno kidogo. Jamaa asiwaongopee MNAENDA KUPIGWA. ANAWAPANGA HAPO AKAWAPIGE. KUNA JAMAA YANGU ALISHALIZWA NA MTU WA HIVI.
 
Back
Top Bottom