Namna ya kujenga nyumba ya ndoto yako kwa budget ndogo sana

Namna ya kujenga nyumba ya ndoto yako kwa budget ndogo sana

Jf ya siku ya ajabu sana. Kama unaona thread haina Maana si upite tu kuliko kuanzisha ligi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Ameanzaje vizuri mkuu. Mbona nimesoma aya ya kwanza tu nikachanganyikiwa. Kasema hivi

"Hivi unajua kuwa hiyo kodi ya nyumba unayoilipa kila siku kama ungeweza kusave. hicho kiwango unaweza kukamilisha nyumba ya ndoto yako bila kuamini kilichotokea?."

Sasa sijui wakati mtu anasave hiyo kodi ya nyumba badala ya kuilipia pango atakuwa analala wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Duh...
Kama kiota cha ndege....

1670160095253.png
 
I will be watching You.
ukikimbizana na chizi aliye uchi utaonekana na wewe chizi!. chief siwez kubishana na wewe unaeleta ligi zisizo na maana. fungua uzi wako wa hilo unalotaka kulianzisha hapa si pahala pake leta mada za ujenzi km huna kaa kimya!!!.
 
Jf ya siku ya ajabu sana. Kama unaona thread haina Maana si upite tu kuliko kuanzisha ligi zisizo na kichwa wala miguu.
siku hizi jf imejaa watoto wachuo na limbukeni wa mitandao. zamani mtu kuwepo jf lazm awe na akili zake timamu siku hizi kumevamiwa ile slogan home of great thinker imepotea kwa aina ya watu walio humu
 
ukikimbizana na chizi aliye uchi utaonekana na wewe chizi!. chief siwez kubishana na wewe unaeleta ligi zisizo na maana. fungua uzi wako wa hilo unalotaka kulianzisha hapa si pahala pake leta mada za ujenzi km huna kaa kimya!!!.
I will be watching you.😳
 
Ameanzaje vizuri mkuu. Mbona nimesoma aya ya kwanza tu nikachanganyikiwa. Kasema hivi

"Hivi unajua kuwa hiyo kodi ya nyumba unayoilipa kila siku kama ungeweza kusave. hicho kiwango unaweza kukamilisha nyumba ya ndoto yako bila kuamini kilichotokea?."

Sasa sijui wakati mtu anasave hiyo kodi ya nyumba badala ya kuilipia pango atakuwa analala wapi
Mawazo hayo ya wanachuo. Wanachukulia mambo juu juu sana
 
🤣🤣🤣anza kununua nondo moja.
watu tumejenga kwa hivyo hivyo hiyo nondo moja unayoizarau. laki moja unayoiona unaichoma kwny bia na starehe mimi nilinunua cement mifuko minne iliyoniwezesha kumwaga ground beam. so kupanga ni kuchagua na vipaumbele vya mtu husika
 
Ubarikiwe kiongozi,maana kuna wajuba humu wazee wa ccm wanakwambia msingi tu wa ghorofa room mbili hadi uwe na milioni 50[emoji28]kumbuka huo ni msingi tu
 
Africa sisi nano aliyeturoga kwamba lazima kujenga,yani unakuta MTU anahangaika maisha yake yote hata kula inakuwa shida ili tu ajenge.
 
Africa sisi nano aliyeturoga kwamba lazima kujenga,yani unakuta MTU anahangaika maisha yake yote hata kula inakuwa shida ili tu ajenge.
chief hujui hustle ya kupanga wewe hakuna security ya maana kwako na familia yako km sehemu yah kukaa ukilala njaa siku moja km uko kwako hakuna wakukudai kaa nyumba ya kupanga sasa alafu mishe zimegoma. hata ikitokea umepata tatizo lolote kikaz at least una sehemu yakukimbilia. huwez elewa umuhimu wa kujenga na hustle zilizo kwny nyumba ya kupanga km kula kulala ni kwa shemeji!.
 
Hivi unajua kuwa hiyo kodi ya nyumba unayoilipa kila siku kama ungeweza kusave. hicho kiwango unaweza kukamilisha nyumba ya ndoto yako bila kuamini kilichotokea?.

wengi watakuambia ujenzi si Lele mama. ni kweli; kujenga nyumba ya mil 40 km unakipato cha kawaida si kazi ndogo

ila nataka nikuambie kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ukitaka ukamilishe malengo yako yeyote yake. fikiria kwa ukubwa ila chukua hatua ndogo

ukiuliza timu yoyote duniani ambayo imeshawahi kushinda taji siri ya mafanikio . watakuambia we take one match at a time

Vilevile kwenye ujenzi ukitaka kufikia malengo ya kujenga nyumba ya ndoto acha kufikiria wapi utatoa zaidi ya 40M kujenga nyumba ya ndoto yako.
bali anza kufikiria
1. kununua kiwanja
2.kununua tofali moja
3.kujenga msingi wa nyumba
- kuna jamaa alinifwata na kuniuliza namna gani angeweza kujenga nyumba ya ndoto yake na kuepukana na pango ikiwa ana kipato kidogo?!.

tulikaa chini tukajadiliana, na kutengeneza plan ya anachotaka kukifanya si pesa tu bali msukumo unahitajika.

tunavyoongea sasa hv tumeshamaliza phase ya kwanza ya nyumba yake na toyar tumepanga tarehe ya kuanza phase ya pili
- na wewe pia unaweza kujenga haijalishi kipato ulichokuwa nacho. nitafute tushauriane na tufanye kazi yenye ubora na kwa gharama nafuu
07655931771
Frank
Fundi mchundo kwa sasa nafanyia kazi zangu arusha na moshi ila mkoani nafika pia
View attachment 2433210
Hiyo namba yako ya simu mbona imezidi? Naona tarakimu 11
 
Mtoa mada Double check namba uliyoweka apo sio sahihi 07655931771
 
Back
Top Bottom