Namna ya kujenga nyumba ya ndoto yako kwa budget ndogo sana

A heavy object is going to fall on someone's head - kitu kizito chaenda kumdondokea mtu utosini
hicho kitu kizito kinaweza kikawa kiko akilini mwako kumbe wewe mwenyewe hujui. overall message imetarget wajenz si wale ambao kuishi kwao kwny nyumba za kupanga ndo wamefika mwisho na akili zao zilipoishia. alafu hujui kuwa kazi na tenda zinaenda kimkataba acha negative mindset kama ulishapigwa na kalinda usifikiri kila unachokiona ni kalinda
 
Arusha si Mkoa?
 
Usiniambie mzeya aise basi fanya uje unijengee bro....hiki kina ukubwa gani? Isije ikawa chumba 2 kwa 2🤣🤣🤣🤣
hpn standard ya chumba hakitakiwi kupungua mita 3 kwa 3 so hako kanyumba kana mita 3*3.5
 
Sijakuelewa bro....yaani nyumba yote ni 3*3.5 aua unamaanisha hicho chumba ya hiyo nyumba ndio 3*3.5

Sijakuelewa bro....yaani nyumba yote ni 3*3.5 aua unamaanisha hicho chumba ya hiyo nyumba ndio 3*3.5
hpn hiyo ni size ya chumba kimoja kwahio kuna mgawanyiko wa vipimo ila nyumba nzima ina mita 7 *8
 
Huyu jamaa ni tapeli hili tangazo kaiga kwa mtu instagram kaja huku kabadilisha namba ya simu na maneno kidogo. Jamaa asiwaongopee MNAENDA KUPIGWA. ANAWAPANGA HAPO AKAWAPIGE. KUNA JAMAA YANGU ALISHALIZWA NA MTU WA HIVI.
 
Hapo sasa nimekupata. Kwa hiyo mil10 hiyo inakamilika kabisa
Akupe mchanganuo. Usiwaamini wajenzi wa insta na facebook. Ni kama kilimo cha matikitiki maji. Ingia uone gharama zake.
 
Red flags. Kuna kila kiashiria cha mtu kupigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…