Atufigwege Kilindu
Member
- Aug 24, 2013
- 29
- 8
Andika Kitabu / DVD kuhusu namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira alafu ukiuze ujipatie pesa..
Ninachotaka kuelezea hapa tulipo inahitajika nguvu ya ziada kufufua viwanda ili kuondoa umati wa watu wasio na ajira, wote hatuwezi tukawa wafanyabiashara.., na kama sio hivyo basi wote wafanyabiashara / wajasiliamali wanaofanana waunde vikundi ili waweze kuuza na kununua mahitaji yao katika vikundi.
Ni vigumu wewe mfuga kuku mwenye kuku 50 kila baada ya miezi mitatu kupata soko kubwa kuliko kama kikundi chenu kikiwa na uwezo wa kusupply maelfu ya kuku siku yoyote..., wengi kabla hawajakupa tender wanaangalia supplying ability
kilimo ni ajira
cha kufanya ni kujiregister kwenye biashara za kimtandao (online marketing)
mm nimejiregister kwenye biashara moja hiyo inashughulikia na mambo ya
kilimo ni nzuri inafaa na yule mtu anayehitaji nimuunganishe na hawa watu
SFI wao wanakufanya upate bonus unapoingiza watu si zaidi ya 6
au ingia hapa sfi.com upate habari zao kamili
Wanafanya kilimo kwenye mtandao how ?, kutafuta masoko, kutoa ushauri au kuwashirikisha wakulima wote na kuuza bidhaa zao kwa pamoja ?, Nauliza tu sababu kama membership fee ikiwa ndio inayozunguka na ndio product yao, basi ingawa wachache watapata ila wengi watalia sana...
Ujanja ujanja tuu.wanatoa ushauri kuhusu kutafuta masoko nje ya nchi zao wanatangaza bidhaa zao na kisha ile membership fee ndo inawafanya wanufaikie zaidi
ujanja ujanja tuu.
cha kufanya ni kujiregister kwenye biashara za kimtandao (online marketing)
mm nimejiregister kwenye biashara moja hiyo inashughulikia na mambo ya
kilimo ni nzuri inafaa na yule mtu anayehitaji nimuunganishe na hawa watu
SFI wao wanakufanya upate bonus unapoingiza watu si zaidi ya 6
au ingia hapa sfi.com upate habari zao kamili
lita 30 ni ndogo sana,sidhani kama hiyo machine itafaa.Tusipende kutibu ugonjwa nadhani tukitibu chanzo cha ugonjwa basi tutafika mbali sana kabla hatujaenda kote huko hebu tujiulize kwa nini Tanzania hakuna ajira??Nimepitia kwa kina na kugundua suala si Idia za biasha ila suala elimu yetu ya Tanzania kuanzia chekechea haijengi kumwendeleza Mtanzania bali inalenga kulinda maslahi ya mkoloni.Elimu yetu hailengi kumfanya Mtanzania aweze kujitegee bali inalenga ili Mtanzania awe Tegemezi.Tunakula,tunasaza tunasheherekea na kuoana kila kukicha wakati ulimwengu mzima upo vitani .Vita isiyo na silaha ila ni vita vya uchumi.Amini usiamini siku moja watoto wetu watakuwa watumwa na minyororo shingoni ambayo huwezi kuigusa wala kuishika ni utumwa ambao hakuna mtu anakuvuta ila unajivuta mwenyewe.Mkoloni alipokuja alitaka Mtanzania ajue kuandika na kusoma leo hii hakuna tofauti elimu yetu inalenga Mtanzania ajue kuongea na kuandika kizungu.Tumeruhusu private school ambazo pia ni mbovu zisizo na kiwango ambazo watoto wanaongea kizungu wakati hawawezi kufikiri hakuna nchi yoyote dunian ambayo ilifikia malengo kwa kuruhusu private school.Elimu hasa msingi,secondary inapaswa kuwa nguzo muhimu.Tunapaswa tuweke nguvu zote kwenye public school najua kuna watu watasema eti kwa sababu sina pesa ya kuwapeleka watoto shule binafsi ila ni kwa sababu nchi haiwezi kujengwa na minority tunapaswa kuwapa nguvu majority.
Kwa nini tunashindwa hata kuiasemble gari ok basi gari ni mbali sana basi hata chupi tuagize china??ningeongea mengi ila tukirudi nyuma nini kifanyike kuondokana na tatizo la sasa maoni yangu ni haya hapa
Kwanza vijana waungane kwa mfano watu 20 watengeneze kampuni moja na wote 20 watakuwa share holders
pili waangali nini cha kufanya mfano kila mtu akichangia shilingi millioni moja basi patakuwa na shilingi milioni ishirini.
Milioni ishirini leo hii mfano tukinunua mashine ndogo ya kukamua mafuta ya alizeti yenye uwezo wa kukamua lita 30 kwa siku wakati huo huo tukawa tunanunua mbegu za alizeti kutoka kwa wakulima
Nini maana yake.Maana yake kwa siku tutakuwa na lita 30 ambazo tunaweza kutafuta wateja mfano mahoteli,mabaa,jambo la msingi packaging
naamini ndani ya mwaka mmoja tunaweza kuzaliza 10800 lita ndani ya miaka mitatu rahisi kupanua kiwanda
Yapo mawazo mengi nadhani na wengine watatoa michango yao
Millenium business park,ubungo kuna mashine za kukamua mafuta za uwezo wa juu sana.Lt zaidi ya 1000 per day.Wazo zuri,nitalifanyia kazi.