Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

Joined
Aug 24, 2013
Posts
29
Reaction score
8
Heshima na tahadhima natanguliza kwenu wadau, JF, ni sehemu iliyo saidia sana kukuza akili ya kiuchumi.
Sasa ninawaomba watanzania wenzangu, tujadili kwa kina suala la NAMNA YA KUJIAJIRI NA KUTENGENEZA AJIRA. Kama nyenzo mojawapo ya kupambana na tatizo la ajira nchini, maana hali kama ya Nigeria~Abuja, iliyo uwa watu kadha sababu ya ajira, hata tanzania inakuja na sasa ipo. Je? tufanyeje ili kulinusuru taifa.
 
Andika Kitabu / DVD kuhusu namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira alafu ukiuze ujipatie pesa..

Ninachotaka kuelezea hapa tulipo inahitajika nguvu ya ziada kufufua viwanda ili kuondoa umati wa watu wasio na ajira, wote hatuwezi tukawa wafanyabiashara.., na kama sio hivyo basi wote wafanyabiashara / wajasiliamali wanaofanana waunde vikundi ili waweze kuuza na kununua mahitaji yao katika vikundi.

Ni vigumu wewe mfuga kuku mwenye kuku 50 kila baada ya miezi mitatu kupata soko kubwa kuliko kama kikundi chenu kikiwa na uwezo wa kusupply maelfu ya kuku siku yoyote..., wengi kabla hawajakupa tender wanaangalia supplying ability
 
Yap! ndugu nimekupata vilivyo.
 
kilimo ni ajira

Ni ukweli usiopingika, hatahivyo binafsi nishughuli mojawapo ninazo fanya. Lakini shida watu wengi hawajalitambua hili, na maana ya kuleta uzi huu nikwamba tuelimishane kwa kina, kama ni kilimo basi tuzungumzie kiundani. kama ni biashara nk.
 
kufanya mambo juu juu, ndo sababu mojawapo ya kukosa ajira, kwan kama mtu atafanya kile kile afanyacho kwa bidii akika atafanikiwa sana. nasi kama tunajadili basi tuingie kwa kina katika mjadala wetu ili itusaidie wote badala ya kuwa mipasho ya JF...
naomba kuwakilisha
 
Kwa wana bodi, mipasho hapa sio sehem yake wew unacchotakiwa tiririka maono yako, kuhusu nini tufanye ili kutusaidia sisi wenyw tuondokane na tatizo hili la ajira, nakuja kuleta mchango wang.....
 
cha kufanya ni kujiregister kwenye biashara za kimtandao (online marketing)
mm nimejiregister kwenye biashara moja hiyo inashughulikia na mambo ya
kilimo ni nzuri inafaa na yule mtu anayehitaji nimuunganishe na hawa watu
SFI wao wanakufanya upate bonus unapoingiza watu si zaidi ya 6
au ingia hapa sfi.com upate habari zao kamili
 
Wanafanya kilimo kwenye mtandao how ?, kutafuta masoko, kutoa ushauri au kuwashirikisha wakulima wote na kuuza bidhaa zao kwa pamoja ?, Nauliza tu sababu kama membership fee ikiwa ndio inayozunguka na ndio product yao, basi ingawa wachache watapata ila wengi watalia sana...
 
wanatoa ushauri kuhusu kutafuta masoko nje ya nchi zao wanatangaza bidhaa zao na kisha ile membership fee ndo inawafanya wanufaikie zaidi

Wanafanya kilimo kwenye mtandao how ?, kutafuta masoko, kutoa ushauri au kuwashirikisha wakulima wote na kuuza bidhaa zao kwa pamoja ?, Nauliza tu sababu kama membership fee ikiwa ndio inayozunguka na ndio product yao, basi ingawa wachache watapata ila wengi watalia sana...
 
Wazo lako ni nzr sn Mdau ila kuna tatz nimeliona baada ya kutembelea Tz ivi karibuni, Makampuni meng yanayomiliki mitaji nimeona ni ya kifisadi na hayana wataalam wa uchumi bali ubabaishaji tu. Mfano nlitembelea soko la matunda Buguruni Kwanza hapafai hata kidogo lkn mzunguko mkubwa sn wa pesa inatakiwa Benki iwekeze kwa eneo lingine na pana zaidi ili kutoa fursa nying za kibiashara kwa vijana. Tatzo kama hilo lipo pia masoko 2 ya Tandika na Stereo, pale Tandika yani unashindwa kuelewa km Tanzania tuna makampuni ya Biashara kweli au ubabaishaji? Mana hakuna uwekezaji wwte uliopo pale. Pia Mbagala hakuna kampuni inayofikiria kuwekeza ktk soko pia. Masoko kw nchi zetu zinazoendelea ni mfumo mzr sn kutengeneza ajira za kutosha. Pia tegeta kuna tatzo kama hili na sehemu nying. Tatzo bado hatujajua kutumia fursa ili kuongeza ajira kwa vijana.
 
Tusipende kutibu ugonjwa nadhani tukitibu chanzo cha ugonjwa basi tutafika mbali sana kabla hatujaenda kote huko hebu tujiulize kwa nini Tanzania hakuna ajira??Nimepitia kwa kina na kugundua suala si Idia za biasha ila suala elimu yetu ya Tanzania kuanzia chekechea haijengi kumwendeleza Mtanzania bali inalenga kulinda maslahi ya mkoloni.Elimu yetu hailengi kumfanya Mtanzania aweze kujitegee bali inalenga ili Mtanzania awe Tegemezi.Tunakula,tunasaza tunasheherekea na kuoana kila kukicha wakati ulimwengu mzima upo vitani .Vita isiyo na silaha ila ni vita vya uchumi.Amini usiamini siku moja watoto wetu watakuwa watumwa na minyororo shingoni ambayo huwezi kuigusa wala kuishika ni utumwa ambao hakuna mtu anakuvuta ila unajivuta mwenyewe.Mkoloni alipokuja alitaka Mtanzania ajue kuandika na kusoma leo hii hakuna tofauti elimu yetu inalenga Mtanzania ajue kuongea na kuandika kizungu.Tumeruhusu private school ambazo pia ni mbovu zisizo na kiwango ambazo watoto wanaongea kizungu wakati hawawezi kufikiri hakuna nchi yoyote dunian ambayo ilifikia malengo kwa kuruhusu private school.Elimu hasa msingi,secondary inapaswa kuwa nguzo muhimu.Tunapaswa tuweke nguvu zote kwenye public school najua kuna watu watasema eti kwa sababu sina pesa ya kuwapeleka watoto shule binafsi ila ni kwa sababu nchi haiwezi kujengwa na minority tunapaswa kuwapa nguvu majority.

Kwa nini tunashindwa hata kuiasemble gari ok basi gari ni mbali sana basi hata chupi tuagize china??ningeongea mengi ila tukirudi nyuma nini kifanyike kuondokana na tatizo la sasa maoni yangu ni haya hapa

Kwanza vijana waungane kwa mfano watu 20 watengeneze kampuni moja na wote 20 watakuwa share holders
pili waangali nini cha kufanya mfano kila mtu akichangia shilingi millioni moja basi patakuwa na shilingi milioni ishirini.

Milioni ishirini leo hii mfano tukinunua mashine ndogo ya kukamua mafuta ya alizeti yenye uwezo wa kukamua lita 30 kwa siku wakati huo huo tukawa tunanunua mbegu za alizeti kutoka kwa wakulima

Nini maana yake.Maana yake kwa siku tutakuwa na lita 30 ambazo tunaweza kutafuta wateja mfano mahoteli,mabaa,jambo la msingi packaging

naamini ndani ya mwaka mmoja tunaweza kuzaliza 10800 lita ndani ya miaka mitatu rahisi kupanua kiwanda

Yapo mawazo mengi nadhani na wengine watatoa michango yao
 
cha kufanya ni kujiregister kwenye biashara za kimtandao (online marketing)
mm nimejiregister kwenye biashara moja hiyo inashughulikia na mambo ya
kilimo ni nzuri inafaa na yule mtu anayehitaji nimuunganishe na hawa watu
SFI wao wanakufanya upate bonus unapoingiza watu si zaidi ya 6
au ingia hapa sfi.com upate habari zao kamili

Hii kama DECI unapanda mbegu kwa kuleta vichwa 6?
 
Tusipende kutibu ugonjwa nadhani tukitibu chanzo cha ugonjwa basi tutafika mbali sana kabla hatujaenda kote huko hebu tujiulize kwa nini Tanzania hakuna ajira??Nimepitia kwa kina na kugundua suala si Idia za biasha ila suala elimu yetu ya Tanzania kuanzia chekechea haijengi kumwendeleza Mtanzania bali inalenga kulinda maslahi ya mkoloni.Elimu yetu hailengi kumfanya Mtanzania aweze kujitegee bali inalenga ili Mtanzania awe Tegemezi.Tunakula,tunasaza tunasheherekea na kuoana kila kukicha wakati ulimwengu mzima upo vitani .Vita isiyo na silaha ila ni vita vya uchumi.Amini usiamini siku moja watoto wetu watakuwa watumwa na minyororo shingoni ambayo huwezi kuigusa wala kuishika ni utumwa ambao hakuna mtu anakuvuta ila unajivuta mwenyewe.Mkoloni alipokuja alitaka Mtanzania ajue kuandika na kusoma leo hii hakuna tofauti elimu yetu inalenga Mtanzania ajue kuongea na kuandika kizungu.Tumeruhusu private school ambazo pia ni mbovu zisizo na kiwango ambazo watoto wanaongea kizungu wakati hawawezi kufikiri hakuna nchi yoyote dunian ambayo ilifikia malengo kwa kuruhusu private school.Elimu hasa msingi,secondary inapaswa kuwa nguzo muhimu.Tunapaswa tuweke nguvu zote kwenye public school najua kuna watu watasema eti kwa sababu sina pesa ya kuwapeleka watoto shule binafsi ila ni kwa sababu nchi haiwezi kujengwa na minority tunapaswa kuwapa nguvu majority.

Kwa nini tunashindwa hata kuiasemble gari ok basi gari ni mbali sana basi hata chupi tuagize china??ningeongea mengi ila tukirudi nyuma nini kifanyike kuondokana na tatizo la sasa maoni yangu ni haya hapa

Kwanza vijana waungane kwa mfano watu 20 watengeneze kampuni moja na wote 20 watakuwa share holders
pili waangali nini cha kufanya mfano kila mtu akichangia shilingi millioni moja basi patakuwa na shilingi milioni ishirini.

Milioni ishirini leo hii mfano tukinunua mashine ndogo ya kukamua mafuta ya alizeti yenye uwezo wa kukamua lita 30 kwa siku wakati huo huo tukawa tunanunua mbegu za alizeti kutoka kwa wakulima

Nini maana yake.Maana yake kwa siku tutakuwa na lita 30 ambazo tunaweza kutafuta wateja mfano mahoteli,mabaa,jambo la msingi packaging

naamini ndani ya mwaka mmoja tunaweza kuzaliza 10800 lita ndani ya miaka mitatu rahisi kupanua kiwanda

Yapo mawazo mengi nadhani na wengine watatoa michango yao
lita 30 ni ndogo sana,sidhani kama hiyo machine itafaa.

Zipo za lita 200,500 etc.
 
Millenium business park,ubungo kuna mashine za kukamua mafuta za uwezo wa juu sana.Lt zaidi ya 1000 per day.Wazo zuri,nitalifanyia kazi.
 
ahsante kwa kutuhabarisha ndugu,hiyo mashine ni tshs ngapi?
 
Back
Top Bottom