Namna ya kujilinda na wezi wanaovamia kama kundi/wanaoandamana kama mbwa mwitu

Acha uongo wewe!
Vikundi vya usalama vinasaidia sana.

Mwaka wa tatu sasa gari yangu nalaza nje ya fensi na haijawahi kuguswa hata side mirror.

Kabla ya hapo kulaza gari nje ilikua ni marufuku.
Hivi una gari au passo!!???...natania tu 😂😂
 
Nafundisha Self defence hapa Azura Mikocheni na Upanga hapa karibu na Ubalozi wa Uswizi.

Anayetaka anaweza kujiunga.

Darasa Kwa siku ni Tsh 15,000/= lenye masaa matatu

Yani hiyo ndio dawa sema wabongo waoga mi mwenyewe nilivyoskia hii Habari roho imeniuma sana kuna panga langu niliazima mafundi wameliribu,kesho naenda kunnua jipya na kulinoa atakaesogea labda niwe nimelala.
 
Na katika icho kikundi nikimtambua hata mmoja tu itatosha kumaliza hasira zangu mimi ndio nitaenda jela.
 
Kulegeza masharti ya umiliki was silaha ni kutengeneza tatizo jipya kubwa zaidi.. Marekani ilijaribu hii, sasa hivi wanateseka na gun control.

Bado jeshi la polisi halijashindwa kudhibiti hivi vikundi vya uporaji, likifanya oparesheni maalum ya wiki moja tu na kuonesha mfano, vinabaki historia.
Hakika ndugu..... utendaji kazi wa jeshi letu la polisi ndio vinatusukuma kutamani kumiliki silaha......jeshi lipo kwa ajili ya kulinda usalama na maslahi ya watawala na sio wananchi wake....
 
Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.

Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.

Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.

Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi

Tusaidiane
Issue ya msingi ni kujiuliza kwa nn kipindi cha nyuma waliachana na hiyo kazi
 
Mbaya zaidi usiku police post nyingi hazifanyi kazi na ndio zipo karibu na wananchi wengi
 
Njia rahisi
Kila nyumba mtaani iwe na filimbi mbili au zaidi kutegemea na idadi ya wakaaji
Ktk mtaa wananchi wanateua watu 5 wanakabidhiwa Ak 47 moja na short course ya shabaha silaha ambayo kwa siri watakua wakipokezana wananchi watano hao kila baada ya kama wiki hivi
Sasa siku mtaa unavamiwa filimbi zitaanza kupigwa kwenye nyumba iliyovamiwa..yule mwananchi aliyepewa ile silaha atawaangalia walivyo atawatafutia timing ..
Maana lazima wengine watakua nje wameweka guard ... basi anawamiminia bullets za kutosha ...anaangusha kama 15 hivi....wale wengine lazima watawanyike na hawarudi tena!!
Hiyo ni dawa tosha na haswa itumike maeneo pembezoni mwa mji na miji mipya maana ndio hasa kwenye taabu hizo nchi nzima..kama silaha police watakua nazo nyingi ambazo hazitumiki.
 
Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.

Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.

Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.

Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi

Tusaidiane
Mi nadhani hii dhana ya ulinzi shirikishi ni nzuri ila ni vizuri serikali za mitaa au mjumbe wa nyumba kumi kumi
waandae vikundi vya ulinzi,vikundi hivyo vipewe mafunzo ya kutumia silaha. Na wakihitimu wapewe silaha moja.
Silaha hiyo anakabidhiwa kiongozi
ambaye ataratibu ni akina nani wapo zamu ya ulinzi siku husika,ili kutdhibiti matukio ya kihalifu
yanayoweza kufanywa kwa kutumia silaha hiyo. Na endapo ikigundulika silaha hiyo imetumiwa kwenye uhalifu akamatwe kiongozi aliyekabidhiwa ili atoe maelezo.

Kutuma watu kulinda mtaa bila bunduki,ni kuweka maisha rehani,maana mnaweza kutekwa na mkasaidia kuvunja nyumba za watu ninyi wenyewe endapo watekaji watakuwa na bunduki,Jambo hili liangaliwe kwa makini.
Wazo la kila nyumba kumiliki filimbi ni muhimu sana,lilitusaidia sana mtaani kwetu na wizi mdogo mdogo wa kukata nyavu za madirisha ulikoma. Nyumba ikivamiwa au kuhisi kuna sintofahamu walipiga filimbi,na kila anayesikia filimbi na yeye anapuliza ya kwake na baadaye mnatoka.yaani mnamkuta kibaka ameishachanganyikiwa maana kila anakokimbilia anakuta filimbi inapulizwa.
 
Wacheni Propaganda.
Kwanini iwe lazima tuwe kama makaburu?
Kwanini mnalazimisha tuwe na maadili yenu?
Watu wanajibishana jibishana utafikiri kuna ukweli wa ukweli katika jambo hili.

Panga kisu ngumi vinatosha kwa 'Ubuntu'

Hizi ni kelele tu, tena ni za kipuuzi, tena sana.

Aluta Continua
 
Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.

Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.

Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.

Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi

Tusaidiane
Kama unajitambua hunaga matatizo ya kupaniki na gugu,basi ni rahisi kuwa na kamguu kako ka kuku kimyakimya wanausalama ,mke ,watoto yan hata jicho la kushoto lisijue unao,Burundi unapata kwa laki 4 na risasi zake kumi.nyumbu akitaka kukupora Mali zako ulizoangaika nazo unamlipua ,kisha unawauzia kesi ,huo mguu wa kuku waliudondosha kwenye purukushani .mjini hapa
 
Bila ushirikiano hapo mtaani kwenu wanaume mpo 50 ila mtabakwa na vijana 17 mtaa mzima
Dawa ni moja akipiga tukio usiku nyie mchana mnaenda kumchomoa mmoja mmoja nyumban kwao na ikiwezekana wauwawe hadharani, wakiona wanakufa wao wenyewe watatawanyika kila mmoja akimbie kujificha.

Huo ndio muarobaini pekee wa kutibu hilo tatizo vinginevyo hawa panya wataendelea kutesa watu
 
Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.

Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.

Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.

Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi

Tusaidiane
Mara nyingi wizi wa kuvamiwa kwa makundi hufanyika kutokana na maeneo husika. Mbinu ya kwanza ni mazingira yenyewe kwa kizungu wanaita CPED Criminal prevention through Environmental Design, maana yake ni nini? hakikisha unaishi mazingira ambayo tukio la kuvamiwa haliwezi kutokea moja kwa moja hii itakupatia nafasi ya kupambana au kuomba msaada.
Mbinu ni nyingi kwa leo naishia hapo wengine waendelee
 
Mi nadhani hii dhana ya ulinzi shirikishi ni nzuri ila ni vizuri serikali za mitaa au mjumbe wa nyumba kumi kumi
waandae vikundi vya ulinzi,vikundi hivyo vipewe mafunzo ya kutumia silaha. Na wakihitimu wapewe silaha moja.
Silaha hiyo anakabidhiwa kiongozi
ambaye ataratibu ni akina nani wapo zamu ya ulinzi siku husika,ili kutdhibiti matukio ya kihalifu
yanayoweza kufanywa kwa kutumia silaha hiyo. Na endapo ikigundulika silaha hiyo imetumiwa kwenye uhalifu akamatwe kiongozi aliyekabidhiwa ili atoe maelezo.

Kutuma watu kulinda mtaa bila bunduki,ni kuweka maisha rehani,maana mnaweza kutekwa na mkasaidia kuvunja nyumba za watu ninyi wenyewe endapo watekaji watakuwa na bunduki,Jambo hili liangaliwe kwa makini.
Wazo la kila nyumba kumiliki filimbi ni muhimu sana,lilitusaidia sana mtaani kwetu na wizi mdogo mdogo wa kukata nyavu za madirisha ulikoma. Nyumba ikivamiwa au kuhisi kuna sintofahamu walipiga filimbi,na kila anayesikia filimbi na yeye anapuliza ya kwake na baadaye mnatoka.yaani mnamkuta kibaka ameishachanganyikiwa maana kila anakokimbilia anakuta filimbi inapulizwa.
Umenena vyema sana

Kila kata iweke filimbi na ipigwe tu Kwa ishu za wizi
 
Acha uongo wewe!
Vikundi vya usalama vinasaidia sana.

Mwaka wa tatu sasa gari yangu nalaza nje ya fensi na haijawahi kuguswa hata side mirror.

Kabla ya hapo kulaza gari nje ilikua ni marufuku.
Gari ya nini watu wanataka cash. Side mirror Hadi ukauze wanataka Kashi money.

Kuhusu umuhimu wa sungusungu sijakataa, ni muhimu kweli kweli. Wewe endelea kujiaminisha nje ya fensi. Utakuja kushika kidevu chako. Don't trust don't leave your car for fun..n risky.you gonna pay
 
Tatizo kubwa ni watoto wa wenyeji kuwa ndiyo vibaka! Wanaita na wenzao wengine toka mbali waje wabakie wageni waliojenga kwenye maeneo waliouziwa na wazazi, babu zao!

Wenyeji wanawajua watoto wao na KAMWE hawawezi kukubali kuwataja au kuwapiga mpaka kufa pindi wakikutwa kwenye tukio. Wanateteana!
Na mkianzisha sungusungu watapigwa Vita mpaka huo mapngo utakuta, Kwa sababu familia zao zitakufa njaa. Wanategemea watoto wakaibe ili wale. Unakuta babu alikuwa kibaka Baba naye alikuwa kibaka ni mfumo Tu WA maisha kwao!
 
Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.

Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.

Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.

Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi

Tusaidiane
Mkuu nunua tu bunduki na uisajili, wakikuvamia ua tu bia hata huruma.
 
Back
Top Bottom