Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Ulinzi shirikishi unaamisha? Ufutwe tu. Ni kichaka cha vibaka na upigaji hela za wananchi.Ishu kubwa ni wananchi kujiorganize kimtaa waunde vikundi vya usalama
Hapa katiba irekebishwe kumiliki silaha zisizo za kivita iwe haki ya kikatiba kama kununua nyanya sokoni. Exception kuwe na database ya taifa ya background checks itakayounganisha Mahakama, uhamiaji, takukuru, TISS na vyombo vya usalama ku blacklist criminals wasinunue silaha. Kama haumo kwenye database na una akili timamu unanunua tu hata bunduki kumi.
Hii italeta nidhamu. Imagine mtaa mzima wana vyuma huyo mwizi hajipendi kwenda kufanya uhalifu. Maana mtu anakuchapa tu toka dirishani akiona unataka kumdhuru jirani yake.