Hivi una gari au passo!!???...natania tu 😂😂Acha uongo wewe!
Vikundi vya usalama vinasaidia sana.
Mwaka wa tatu sasa gari yangu nalaza nje ya fensi na haijawahi kuguswa hata side mirror.
Kabla ya hapo kulaza gari nje ilikua ni marufuku.
Nafundisha Self defence hapa Azura Mikocheni na Upanga hapa karibu na Ubalozi wa Uswizi.
Anayetaka anaweza kujiunga.
Darasa Kwa siku ni Tsh 15,000/= lenye masaa matatu
Mkuu kwa gharama hiyo natakiwa kuhudhuria mara ngapi ili niweze kupigania uhai wangu dhidi ya watu wajasiliamali wanaotumia silaha kuchukua mali zangu.....??
Hakika ndugu..... utendaji kazi wa jeshi letu la polisi ndio vinatusukuma kutamani kumiliki silaha......jeshi lipo kwa ajili ya kulinda usalama na maslahi ya watawala na sio wananchi wake....Kulegeza masharti ya umiliki was silaha ni kutengeneza tatizo jipya kubwa zaidi.. Marekani ilijaribu hii, sasa hivi wanateseka na gun control.
Bado jeshi la polisi halijashindwa kudhibiti hivi vikundi vya uporaji, likifanya oparesheni maalum ya wiki moja tu na kuonesha mfano, vinabaki historia.
Issue ya msingi ni kujiuliza kwa nn kipindi cha nyuma waliachana na hiyo kaziWizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.
Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.
Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.
Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi
Tusaidiane
Mi nadhani hii dhana ya ulinzi shirikishi ni nzuri ila ni vizuri serikali za mitaa au mjumbe wa nyumba kumi kumiWizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.
Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.
Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.
Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi
Tusaidiane
Kama unajitambua hunaga matatizo ya kupaniki na gugu,basi ni rahisi kuwa na kamguu kako ka kuku kimyakimya wanausalama ,mke ,watoto yan hata jicho la kushoto lisijue unao,Burundi unapata kwa laki 4 na risasi zake kumi.nyumbu akitaka kukupora Mali zako ulizoangaika nazo unamlipua ,kisha unawauzia kesi ,huo mguu wa kuku waliudondosha kwenye purukushani .mjini hapaWizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.
Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.
Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.
Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi
Tusaidiane
Bila ushirikiano hapo mtaani kwenu wanaume mpo 50 ila mtabakwa na vijana 17 mtaa mzima
Dawa ni moja akipiga tukio usiku nyie mchana mnaenda kumchomoa mmoja mmoja nyumban kwao na ikiwezekana wauwawe hadharani, wakiona wanakufa wao wenyewe watatawanyika kila mmoja akimbie kujificha.
Mara nyingi wizi wa kuvamiwa kwa makundi hufanyika kutokana na maeneo husika. Mbinu ya kwanza ni mazingira yenyewe kwa kizungu wanaita CPED Criminal prevention through Environmental Design, maana yake ni nini? hakikisha unaishi mazingira ambayo tukio la kuvamiwa haliwezi kutokea moja kwa moja hii itakupatia nafasi ya kupambana au kuomba msaada.Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.
Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.
Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.
Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi
Tusaidiane
Umenena vyema sanaMi nadhani hii dhana ya ulinzi shirikishi ni nzuri ila ni vizuri serikali za mitaa au mjumbe wa nyumba kumi kumi
waandae vikundi vya ulinzi,vikundi hivyo vipewe mafunzo ya kutumia silaha. Na wakihitimu wapewe silaha moja.
Silaha hiyo anakabidhiwa kiongozi
ambaye ataratibu ni akina nani wapo zamu ya ulinzi siku husika,ili kutdhibiti matukio ya kihalifu
yanayoweza kufanywa kwa kutumia silaha hiyo. Na endapo ikigundulika silaha hiyo imetumiwa kwenye uhalifu akamatwe kiongozi aliyekabidhiwa ili atoe maelezo.
Kutuma watu kulinda mtaa bila bunduki,ni kuweka maisha rehani,maana mnaweza kutekwa na mkasaidia kuvunja nyumba za watu ninyi wenyewe endapo watekaji watakuwa na bunduki,Jambo hili liangaliwe kwa makini.
Wazo la kila nyumba kumiliki filimbi ni muhimu sana,lilitusaidia sana mtaani kwetu na wizi mdogo mdogo wa kukata nyavu za madirisha ulikoma. Nyumba ikivamiwa au kuhisi kuna sintofahamu walipiga filimbi,na kila anayesikia filimbi na yeye anapuliza ya kwake na baadaye mnatoka.yaani mnamkuta kibaka ameishachanganyikiwa maana kila anakokimbilia anakuta filimbi inapulizwa.
Gari ya nini watu wanataka cash. Side mirror Hadi ukauze wanataka Kashi money.Acha uongo wewe!
Vikundi vya usalama vinasaidia sana.
Mwaka wa tatu sasa gari yangu nalaza nje ya fensi na haijawahi kuguswa hata side mirror.
Kabla ya hapo kulaza gari nje ilikua ni marufuku.
Mkuu nunua tu bunduki na uisajili, wakikuvamia ua tu bia hata huruma.Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.