Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kumbe ulikuwa unaniibia tuHehe labda ya between takozz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulikuwa unaniibia tuHehe labda ya between takozz
Ulinielewa vibaya na kvant zako ulizozijaza kichwaniKumbe ulikuwa unaniibia tu
Sikuizi nakunywa Vladimir maana nashabikia Urusi. Kvant nimemwachia babu yangu Asprin maana zinapoteza kumbukumbu na huyu mzee hataki kukumbuka michepuko yake ya ujanani.Ulinielewa vibaya na kvant zako ulizozijaza kichwani
Umeandika point[emoji4][emoji106]Wangu huo muda sintompa wakusoma hapana wangu atafanya vitu vingine vya msingi samahani ila nimeshaona adhari nyingi za watoto walioachiwa wasome huku eti wazazi wakiamini watafika mbali.
1.connection with real people .
Anaposoma vitamu muda mwingi hana muda wakukua kiafya nakiakili why.
Muda mwingi hujitenga mwenyewe nakujisomea wakati wenzake wakicheza wakifanya practise ya vitu vya kitoto.
Mtoto atajiendekeza kuishi mwenyewe na hii itamuadhiri kiakili kuwa hii nisasa hii kwa hiyo akiwa na watu huwa shy na kutojiamini kwani hakai na watu ajifunze the real world .
Sijui mnanielewa.
Akiuziwa yeye huenda kujifungia na kukaa chumbani kwake halafu anaendelea kujisomea zaidi na zaidi hii hali hata ukubwani atakuwa hana muda na watu yeye ni vitabu early kabisa unaona nisawa anajifunza mambo ila mbeleni hizo ndio madhara yake.
2. Atakuwa haoni umuhimu wa kupata familia kabisa wala mwanaume au mwanamke.
Hili linatokea kuwa ashajiwekea ratiba yake yakukaa na kusoma vitabu tu atafanya kazi, biashara ila siku ya siku atarudi kwake nakuendelea kusoma vitabu fanyeni utafiti wawatu waliosoma vitabu waliolewa au walioa haraka au walichelewa .
Mimi na experience . Watoto wacheze tu wafurahie dunia .
Wapelekwe kwenye real things kupractise wajue maisha vitabu kwa 20's ai hapana.
Humfanya mtoto kuchelewa mambo mengi mbeleni mf. Familia .
Hayo ni mawazo yangu
Mkuu una akili nyingi Sana. Much respect[emoji4][emoji120]Wangu huo muda sintompa wakusoma hapana wangu atafanya vitu vingine vya msingi samahani ila nimeshaona adhari nyingi za watoto walioachiwa wasome huku eti wazazi wakiamini watafika mbali.
1.connection with real people .
Anaposoma vitamu muda mwingi hana muda wakukua kiafya nakiakili why.
Muda mwingi hujitenga mwenyewe nakujisomea wakati wenzake wakicheza wakifanya practise ya vitu vya kitoto.
Mtoto atajiendekeza kuishi mwenyewe na hii itamuadhiri kiakili kuwa hii nisasa hii kwa hiyo akiwa na watu huwa shy na kutojiamini kwani hakai na watu ajifunze the real world .
Sijui mnanielewa.
Akiuziwa yeye huenda kujifungia na kukaa chumbani kwake halafu anaendelea kujisomea zaidi na zaidi hii hali hata ukubwani atakuwa hana muda na watu yeye ni vitabu early kabisa unaona nisawa anajifunza mambo ila mbeleni hizo ndio madhara yake.
2. Atakuwa haoni umuhimu wa kupata familia kabisa wala mwanaume au mwanamke.
Hili linatokea kuwa ashajiwekea ratiba yake yakukaa na kusoma vitabu tu atafanya kazi, biashara ila siku ya siku atarudi kwake nakuendelea kusoma vitabu fanyeni utafiti wawatu waliosoma vitabu waliolewa au walioa haraka au walichelewa .
Mimi na experience . Watoto wacheze tu wafurahie dunia .
Wapelekwe kwenye real things kupractise wajue maisha vitabu kwa 20's ai hapana.
Humfanya mtoto kuchelewa mambo mengi mbeleni mf. Familia .
Hayo ni mawazo yangu
Aisee K Vant ni kifutio cha uhakika. Ukitaka kusahau shida zako, fanya mapenzi na K Vant kwa wingiSikuizi nakunywa Vladimir maana nashabikia Urusi. Kvant nimemwachia babu yangu Asprin maana zinapoteza kumbukumbu na huyu mzee hataki kukumbuka michepuko yake ya ujanani.
Pole saivi tuletee faida ya hivyo vitabu sio kwa ugomvi lakiniNapenda kusoma kuliko rafiki zangu wengi
Nadhani makuzi yalichangia
kabla sijaanza shule nilikuwa najua stori za vitabu vingi vya shule kaka na dada zangu walikuwa wanatusomea kwa sauti siyo kutusomea bali ni stori zilizokuwa zinawavutia pia na walikuwa wanatusomea Kama kushare na sisi
kwa kuwa tulikuwa hatujui kusoma hatujaanza shule lakini nadhani ilitujenga kiasi chake
Stori kama kambi ya kaboya, bida na kacha, safari ya masasi,siku ya gulio Katerero,Kibanga ampiga mkoloni na nyingine nyingi sikuvikuta hivi vitabu wakati nasoma havikuwepo lakini ni kama nilivisoma kabla sijaanza shule
Nilikuwa mpaka naweza kuwahadithia wenzangu na nilikuwa naomba nisomewe mara nyingi zile stori ambazo nimezipenda nisomewe tena
Nilianza la kwanza nikiwa na miaka 8
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Faida zipo nyingiPole saivi tuletee faida ya hivyo vitabu sio kwa ugomvi lakini
Tatizo lenu wabongo Mmekalili kufanikiwa ni kuwa na pesa tu au kupata kazi. kuna maarifa mengi kwenye vitabu kama vile jinsi ya kuishi na watu, mahusiano, saikologia, elimu ya fedha, kujitambua nk. Kuna elimu ya darasani, mtaani na ya ulimwenguni, kuna maarifa huwezi kuyapata shuleni wala mtaani utayapata ulimwenguni, na ya ulimwenguni utayapata kwa kutumia vitabu vya watu tofauti tofauti ulimwenguni. Kuna watu wangapi wanapata fedha na kufirisika au kisa hawana elimu ya fedha, kuna watu wangapi maisha yao yamekuwa machungu kisa mahusiano mabovu. Mimi vitabu vimenisaidia sana nilimaliza degree sanaa lakini nikajisoemea vitabu na kupata idea kufanya biashara IT na nimefanikiwa sana tu.Pole saivi tuletee faida ya hivyo vitabu sio kwa ugomvi lakini
Ukishamaliza sehemu yako, anza sasa kutafuta talanta ya mtoto ukimtafutia mentor wa kukuza talanta yake/lkn kama pia una uwezo huo ni vizuri. Dunia ilipofikia si elimu tu hata mtoto kuwa na elimu+skills inasaidia kumuingiza mtoto katika ushindani.Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha.
Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kukuza mtoto anayependa kusoma.
Panga kusoma na mtoto wako iwe ratiba ya kila siku. Endapo mtasoma pamoja, mtoto wako ataona kuwa kusoma kuna umuhimu na ataungojea muda huu kwa hamu hata kama umepanga kusoma kwa nusu saa tu.
Mnapotaka kusoma, shirikiana na mtoto wako kuchagua vitabu. Maamuzi kama haya ni muhimu kwa mtoto wako na yatamuongezea shauku ya kusoma na kujifunza.
Msomee mtoto kwa sauti huku ukimwonesha unapopasoma. Unaweza pia ukapokezana kusoma na mwanao. Hii itamsaidia kujifunza maneno mapya kirahisi na kuyakumbuka.
Muoneshe mtoto picha mkiwa mnasoma. Hii itamsaidia kuelewa maneno mapya na magumu. Mnaweza kuangalia picha kabla ya kusoma hadithi na kukisia inahusu nini. Hii huleta tofauti katika simulizi na huweza kuchochea ubunifu wa mtoto.
Filamu na simulizi za redioni ni namna nyingine za kuleta tofauti katika kusimulia hadithi. Watoto hutofautiana na sio kila mtoto anapenda kusoma sana kwa hiyo kuangalia/kusikiliza simulizi wanazopenda huenda kukawapa hamasa ya kusoma hadithi hizo.
#Malezi
Kwa kusoma vitabu kumenisaidia si kila kitu naweza kuchangia hata kama nakijua. Think & Grow Rich ni kitabu kilichonijenga sana kwenye kujiajiri na mpaka leo kinanipa nguvu sana yakuendelea kusimamia ninachokiamini. Unaposoma kitabu ni sawa na kufanya convo na author kwa ndani ya maono yake.Tatizo lenu wabongo Mmekalili kufanikiwa ni kuwa na pesa tu au kupata kazi. kuna maarifa mengi kwenye vitabu kama vile jinsi ya kuishi na watu, mahusiano, saikologia, elimu ya fedha, kujitambua nk. Kuna elimu ya darasani, mtaani na ya ulimwenguni, kuna maarifa huwezi kuyapata shuleni wala mtaani utayapata ulimwenguni, na ya ulimwenguni utayapata kwa kutumia vitabu vya watu tofauti tofauti ulimwenguni. Kuna watu wangapi wanapata fedha na kufirisika au kisa hawana elimu ya fedha, kuna watu wangapi maisha yao yamekuwa machungu kisa mahusiano mabovu. Mimi vitabu vimenisaidia sana nilimaliza degree sanaa lakini nikajisoemea vitabu na kupata idea kufanya biashara IT na nimefanikiwa sana tu.
Kupitia vitabu nimejifunza
Jinsi ya kuweza kuhimili stress za biashara, kutafuta wateja, kujiamini, kuweza ku control wafanyakazi wangu, kumanage pesa, kukuza mtaji, kuweza kuwa Hamble na mwelevu, kuishi na watu tofauti na pia kuweza kulea familia yangu.
Kusoma kutakupa maarifa ya kuweza kuhimili misukosuko mbalimbali ya maisha mf kuna wakati biashara zangu zilikuwa mbaya sana hadi nikahisi kukata tamaa ili nilisoma biography ya Elon Musk na nikagundua aliyopitia hiyo ilinipa nguvu ya kusonga mbele, Kuna kipindi mahusiano yangu yalikuwa mabaya sana ila nilisoma kitabu kimoja na nikifanya yale niliyosoma humo huwezi amini imenisaidia sana kuweza kuweka mahusiano yangu imara.
Kusoma sio kuwa na degree ni kujifunza mambo ya msingi kwenye maisha yetu. Matajiri na watu wengi waliofanikiwa huwa wanajifunza kila siku kwa vitendo na vitabu hii haijalisha wameishai darasa la 7 au chuo kikuu
Mtoto kucheza ni muhimu kama sehemu ya kujifunza stadi za kijamii, lakini mtoto kusoma vitabu vya ziada nje ya vile anavyosoma shuleni ni muhimu ili aweze kuuelewa ulimwengu.Wangu huo muda sintompa wakusoma hapana wangu atafanya vitu vingine vya msingi samahani ila nimeshaona adhari nyingi za watoto walioachiwa wasome huku eti wazazi wakiamini watafika mbali.
1.connection with real people .
Anaposoma vitamu muda mwingi hana muda wakukua kiafya nakiakili why.
Muda mwingi hujitenga mwenyewe nakujisomea wakati wenzake wakicheza wakifanya practise ya vitu vya kitoto.
Mtoto atajiendekeza kuishi mwenyewe na hii itamuadhiri kiakili kuwa hii nisasa hii kwa hiyo akiwa na watu huwa shy na kutojiamini kwani hakai na watu ajifunze the real world .
Sijui mnanielewa.
Akiuziwa yeye huenda kujifungia na kukaa chumbani kwake halafu anaendelea kujisomea zaidi na zaidi hii hali hata ukubwani atakuwa hana muda na watu yeye ni vitabu early kabisa unaona nisawa anajifunza mambo ila mbeleni hizo ndio madhara yake.
2. Atakuwa haoni umuhimu wa kupata familia kabisa wala mwanaume au mwanamke.
Hili linatokea kuwa ashajiwekea ratiba yake yakukaa na kusoma vitabu tu atafanya kazi, biashara ila siku ya siku atarudi kwake nakuendelea kusoma vitabu fanyeni utafiti wawatu waliosoma vitabu waliolewa au walioa haraka au walichelewa .
Mimi na experience . Watoto wacheze tu wafurahie dunia .
Wapelekwe kwenye real things kupractise wajue maisha vitabu kwa 20's ai hapana.
Humfanya mtoto kuchelewa mambo mengi mbeleni mf. Familia .
Hayo ni mawazo yangu
This is so warped! Tena dada nahisi unachanganya na effects za matumizi yaliyokithiri ya digital devices. Mimi nasoma vitabu sana, baba yangu aliniambukiza nafikiri. Ukiacha kwamba ni starehe yangu, kusoma hakujanifanya niwe mtu wa kujitenga, kwa taarifa yako sababu ya kupenda kusoma sana masomo ya historia, uraia na general studies sikuwahi kukaa chini kusoma sababu tayari nilishasoma hivyo vitu kama sehemu ya starehe yangu.Wangu huo muda sintompa wakusoma hapana wangu atafanya vitu vingine vya msingi samahani ila nimeshaona adhari nyingi za watoto walioachiwa wasome huku eti wazazi wakiamini watafika mbali.
1.connection with real people .
Anaposoma vitamu muda mwingi hana muda wakukua kiafya nakiakili why.
Muda mwingi hujitenga mwenyewe nakujisomea wakati wenzake wakicheza wakifanya practise ya vitu vya kitoto.
Mtoto atajiendekeza kuishi mwenyewe na hii itamuadhiri kiakili kuwa hii nisasa hii kwa hiyo akiwa na watu huwa shy na kutojiamini kwani hakai na watu ajifunze the real world .
Sijui mnanielewa.
Akiuziwa yeye huenda kujifungia na kukaa chumbani kwake halafu anaendelea kujisomea zaidi na zaidi hii hali hata ukubwani atakuwa hana muda na watu yeye ni vitabu early kabisa unaona nisawa anajifunza mambo ila mbeleni hizo ndio madhara yake.
2. Atakuwa haoni umuhimu wa kupata familia kabisa wala mwanaume au mwanamke.
Hili linatokea kuwa ashajiwekea ratiba yake yakukaa na kusoma vitabu tu atafanya kazi, biashara ila siku ya siku atarudi kwake nakuendelea kusoma vitabu fanyeni utafiti wawatu waliosoma vitabu waliolewa au walioa haraka au walichelewa .
Mimi na experience . Watoto wacheze tu wafurahie dunia .
Wapelekwe kwenye real things kupractise wajue maisha vitabu kwa 20's ai hapana.
Humfanya mtoto kuchelewa mambo mengi mbeleni mf. Familia .
Hayo ni mawazo yangu
Mwanangu bado mdogo lakini tunapenda kukaa pamoja na kusoma then baadae anaendelea na michezo yake. Thanks for thisKama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha.
Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kukuza mtoto anayependa kusoma.
Panga kusoma na mtoto wako iwe ratiba ya kila siku. Endapo mtasoma pamoja, mtoto wako ataona kuwa kusoma kuna umuhimu na ataungojea muda huu kwa hamu hata kama umepanga kusoma kwa nusu saa tu.
Mnapotaka kusoma, shirikiana na mtoto wako kuchagua vitabu. Maamuzi kama haya ni muhimu kwa mtoto wako na yatamuongezea shauku ya kusoma na kujifunza.
Msomee mtoto kwa sauti huku ukimwonesha unapopasoma. Unaweza pia ukapokezana kusoma na mwanao. Hii itamsaidia kujifunza maneno mapya kirahisi na kuyakumbuka.
Muoneshe mtoto picha mkiwa mnasoma. Hii itamsaidia kuelewa maneno mapya na magumu. Mnaweza kuangalia picha kabla ya kusoma hadithi na kukisia inahusu nini. Hii huleta tofauti katika simulizi na huweza kuchochea ubunifu wa mtoto.
Filamu na simulizi za redioni ni namna nyingine za kuleta tofauti katika kusimulia hadithi. Watoto hutofautiana na sio kila mtoto anapenda kusoma sana kwa hiyo kuangalia/kusikiliza simulizi wanazopenda huenda kukawapa hamasa ya kusoma hadithi hizo.
#Malezi
Ungedokezea na umri wa kuwasomea kwenye mada yako ingependeza zaidi. Mimi nilishauriwa kuanza kuwasomea watoto vitabu wakiwa na miezi sita.Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha.