Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #21
MPANDA MTI WAKO WA EMBE DODO
Ili uweze kulifaidi embe dodo ni vyema ukawa na mti wako mwenyewe. Ukizoea kununua sokoni kuna wakati mwingine utapata lililo haribika.
Nawashauri wenzangu kupanda mti wako mwenye. Ukiupanda mti huo wa embe dodo unaumwagilia vizuri. Utachuma tunda kwa muda unaoutaka mwenyewe pindi litoapo matunda. Unaweza kuchuma tunda likiwa changa au mbichi a ulikiwa limeiva. Utakula utakavyo mwenye maana mti ni wako.
Ukipenda kununua au kuimba embe sikumoja utakutana na embe lililoharibika. Hasa hasa wanaopenda kuimba kwenye miti inayo milkiwa na wengine unaweza ukasababisha matatizo kwako mwenyewe au kwa watu wengine wanaokuzunguka.
Bora kununua sokoni kuliko kuiba shambani. Kama huna eneo la kupanda mti wa embe dodo basi angalau uwe unaenda sokoni kununua kuliko kuingia kwenye shamba la mtu mwingine na kuchuma embe dodo.