Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Na ili awe na wewe lazima kuwepo sababu, na sababu kuu ni maufundi haya niliyoyaeleza.
 
Kwa nini uwiano wako wa likes/sms = 9,568/23,565= 0.40.... Hii inatafsiri mchango wako katika hili jukwaa ni substandard
This si even crappierπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hujui jf imepitia transformations zipi, setting ya ratings zipi nk

Crap πŸ’©
 
This si even crappierπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hujui jf imepitia transformations zipi, setting ya ratings zipi nk

Crap πŸ’©
Kwa ufafanuzi tu, ukiwa unaandika ujumbe mwingi halafu hauna ushawishi kwa jamii (likes); hapo kuna tatizo, sisi watu wa analysis tunakuwa tumeona mbali πŸ˜€
 
Unaongelea wazungu au Hawa Hawa tunaopanda nao daladala za Mbagala?
Kama Ni Hawa ndugu yangu, Kama hujampa pesa na ukampa Tena, hata unyonye hicho kingamuzi chake, Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Kama huamini, hebu mpigie simu huyo mpenzi wako ambaye Ni x mtarajiwa mwambie umefukuzwa kazi au Kama Ni mchuuzi mwambie biashara yako imedoda. Kesho asubuhi na mapema atakua ameku block.
 
Ukiwa huna hela hata ufanye nini mwanamke wa leo haridhiki, kwanza jua bila hela hata kupata humpati, hivyo hela ya uhakika kwanza alafu mapenzi ataridhika 100%
 
Hata kama atakuacha, akiwa anakumbukia yale matukio ya nyuma, atakuwa anakuja kukumbushia mara moja moja.
 
Ukiwa huna hela hata ufanye nini mwanamke wa leo haridhiki, kwanza jua bila hela hata kupata humpati, hivyo hela ya uhakika kwanza alafu mapenzi ataridhika 100%
Ni kweli wanataka hela, na wakishapata hela wanataka kuridhishwa, ndio maana wengine hela unazompa anaenda kumpatia muhuni mwingine aliyejificha huko kichakani.
 
Kwa ufafanuzi tu, ukiwa unaandika ujumbe mwingi halafu hauna ushawishi kwa jamii (likes); hapo kuna tatizo, sisi watu wa analysis tunakuwa tumeona mbali πŸ˜€
Hahahaaa

Likes zimeanza juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukonshallow sana

Btw hata kujadili likes tu speaks volumes about your maturity
 
Hahahaaa

Likes zimeanza juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukonshallow sana

Btw hata kujadili likes tu speaks volumes about your maturity
Mkuu, unajua kwamba namba hazidanganyi? Na kama watu wote duniani wangekuwa wakifanya maamuzi kwa namba badala ya utashi wa mtu, tungekuwa sayari nyingine.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…