Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #181
Na ili awe na wewe lazima kuwepo sababu, na sababu kuu ni maufundi haya niliyoyaeleza.Sikuzote mwanamke ndiye anayepaswa kuwa anayetumia jitihada nyingi awe na wewe kwenye mahusiano
Ukiona kidume unatumia nguvu nyingi sana ili kumfanya awe na wewe kwenye mahusiano
Ujue hajakuelewa huyo ni vile kuna vitu ananufaika kutoka kwako na hataki kukuumiza hisia zako