Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Pesa hainunui hisia zaidi ya kununua maigizo
Mimi si mtu mshabiki na hizi mada za kichizi lakini we akili yako unadhani mwenye pesa na asie na pesa nani anamridhisha mwanamke

Pesa inapasua milima na kutengeneza barabara zishindwe mridhisha mwanamke we chizi nini.

Hizo hisia zitasaidia kipi ikiwa mwanaume hana pesa kumbuka hata umbo la kike linataka service bila pesa we mwenyewe utakereka kuona mwanamke hata hana usafi kwenye mazingara yake.

Afu hisia nani sikuhizi anatafuta hisia achezewe tu bila kutunzwa, amka kijana mwanamke hisia yake kubwa ni pesa zaidi ya hapo anakudanganya tu.
 
Tatizo akija kukutana na muhuni, atakuwa anampatia yote pamoja na fedha zako
Siyo lazima iwe hivyo mkuu inategemea.

Binadamu tuko tofauti sana baina yetu.

Cha muhimu kwanza ufahamu, unamkojoza?

Mengine mbwembwe tu mkuu!

Massage na rubbing the clitoris unaona kitu cha ajabu sana as if mapenzi yameanza leo😄
 
Hakuna kitu tunakosea kwa mwanaume kujifanya mtaalam wa feelings za wanawake. Wewe eleza za jinsi yako na waache wao waeleze feelings zao. Ingawa ni hatari kugenelalise
 
Huo muda ukiutumia kutafuta pesa utafika mbali,hawana shukrani hawa mbwa,fanya yote ila akianua anachapwa ns house boy wako

Kwanza kwa nini aninganganie ,hana kwao?
 
Tafuta maokoto wewe acha ujinga.
 
Sikuzote mwanamke ndiye anayepaswa kuwa anayetumia jitihada nyingi awe na wewe kwenye mahusiano

Ukiona kidume unatumia nguvu nyingi sana ili kumfanya awe na wewe kwenye mahusiano

Ujue hajakuelewa huyo ni vile kuna vitu ananufaika kutoka kwako na hataki kukuumiza hisia zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…