Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
597
Reaction score
1,240
Habari zenu ndugu wanajamii forum.

Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi.

Nasikiliza mawazo yenu.
 
Habari zenu ndugu wanajamii forum.

Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi.

Nasikiliza mawazo yenu.
Uchawi ni nguvu za kishetani, wahi kwa wenye nguvu za Mungu utapata uponyaji.
 
Back
Top Bottom