Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

Anatatizo linaitwa pre menstrual syndrome. Hivyo anapata muscle cramps kwenye tumbo la uzazi ndio maana anapata hilo tatizo. Kwa waswahili tunaita tumbo la chango la uzazi kuna dawa ni 10k na anatakiwa anywe wakati anataanza au anataraji kuanza hedhi na akitumia kwa siku 7 tatizo litakua ni historia tu.

Kama upo unahitaji ni cheki PM
1000002818.jpg
1000002817.jpg
1000002816.jpg
 
Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period

Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari

Msaaada🙏🙏🙏
Mwambie ale mara mbl kwa siku(saa4 na saa12 jioni),aache sukari na products zake,afanye mazoezi walau mara 3 kwa wiki,aache wali,ugal,na bidhaa zote za ngano,aache vya kukaanga, ale Sana mayai,nyama, parachichi,tango,korosho,karanga, nk! MAUMIVU atayasikia kwa jirani akifsnya haya.
 
Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period

Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari

Msaaada🙏🙏🙏
NIunge nae nimuwekee dawa kwishaa
 
Kimsingi ni biological ring(kengele) inamwambia muda wa kuzaa unapita sasa, hasa mtoto wa kwanza! Mwili unademand apite hiyo stage akizaa tu anasahau!
 
Anatatizo linaitwa pre menstrual syndrome. Hivyo anapata muscle cramps kwenye tumbo la uzazi ndio maana anapata hilo tatizo. Kwa waswahili tunaita tumbo la chango la uzazi kuna dawa ni 10k na anatakiwa anywe wakati anataanza au anataraji kuanza hedhi na akitumia kwa siku 7 tatizo litakua ni historia tu.

Kama upo unahitaji ni cheki PMView attachment 3425216View attachment 3425220View attachment 3425221
Anatakiwa kunywa kila mwezi au akinywa Mara moja tu ndio maumivu hayarudi tena?
 
Ni kwa miezi mitatu tu, dozi moja inatosha maana anatumia pindi hedhi inapoanza ingawa nilisha mpaga mtu hii dawa kama kumuonjesha/ free test ili anunue baadae kipindi cha nyuma alipotumia kwa siku mbili tu alipona na ajawahi kuumwa tena licha yakuwa alishatumia madawa hospital pasina mafanikio mwisho alishauriwa azae tu kama option ya mwisho.
 
Asante mkuu,bei ndio hio 10,000?
 
Back
Top Bottom