Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka



Asante mkuu..lakini mimi naomba kujua hii mada inawezesha hata walaji wa mchele kupindukia wakaacha.maana dada yangu anatafuna mchele hata robk kilo kwa siku na zaidi .
 
Ahsante sana na ubarikiwe kwa somo...subliminal messages. #asigwa
 
Mkuu asigwa, ikiwa itakupendeza, endelea na ya mirror na nyinginezo hili somo ni tamu sana aisee.
[QUOTEasigwa, post: 14823990, member: 55110"]Ku visualize ni kitendo cha wewe kutumiauwezo wako wa kuona jambo kwa kutumia jicho la ndani, yaani ni jumla ya picha zote na matukio kama yanavyoendelea nadni ya kichwa chako(Moyo wako) mfano nikikuambia unamfahamu simba?
Automaticaly picha ya simba inakujia kichwani.

Nikikuambianimekutana na mama yako mzazni automatically sura(picha) ya mama yako inakujia kichwani hata kama uko mbali naye.

Sasa katika kuvisualize unatengeneza picha na mazingira ya namna
 
Soma Kitabu kinaitwa "The power of your subconscious mind" by Dr Joseph Murphy.. Utafungua na kufunga vitu ambavyo hujawai waza kuwa unaweza kuvifunga au kuvufungua maishani mwako.
daah aisee..

mkuu kama vipi mfano viwili vitatu ili tuoate mwanga wa kutafuta zaidi..samahani kwa usumbufu mkuu
 
daah aisee..

mkuu kama vipi mfano viwili vitatu ili tuoate mwanga wa kutafuta zaidi..samahani kwa usumbufu mkuu


Mkuu wangu hicho Kitabu kinakuelezea wewe ni nani....nguvu uliyonayo wewe kama wewe (yaani subconscious mind yako). Kila kitu kipo ndani yako..ukitaka utajiri upo ndani yako...ukitaka Amani ipo ndani yako...ukitaka umasikini uPO ndani yako...ukitaka furaha IPO ndani yako..ukitaka ujambazi upo ndani yako..ukitaka uponyaji upo ndani yako..chochote kile utakacho ni wewe tu uhamuru subconscious mind yako na kitakuwa kama vile utakavyo kama ukiamini kwa dhati. Kwa kifupi hakuna nguvu inayotoka nje yako...nguvu ipo ndani yako ni wewe tu kujua kuihamuru ili itende kazi kadri utapendavyo wewe...hakuna cha mchungaji...nabii...askofu...shekhe...wala mganga wa KIENYEJI ambaye ana uwezo wa kutenda miujiza huu yako...miujiza iko ndani yako ni wewe tu ujue jinsi ya kuihaamuru hyo miujiza itokee maishani mwako...ukisoma hicho Kitabu utaelewa kuwa wewe ni mtu wa kipekee sana na utabadilika kabisa kabisa.
 
dah mkuu maneno yako yananipa hamu zaidi ya kutaka kujua mengi zaidi
 
Asante ndugu asigwa kwa somo lako, pindi tunasoma pale udsm sijawah kukuona hata ukiwa na kadem pale mabibo hostel , nahisi ndo mana umetumia mfano wa masturbation, nafikir hiyo tabia utakuwa umeshaitokomeza kabisa
 
dah mkuu maneno yako yananipa hamu zaidi ya kutaka kujua mengi zaidi

Mkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.
 

Very good points, lakini muhimu ni Uamuzi wa dhati. Ukiamua Kwa dhati unaweza kuacha kitu chochote.

Tujitambue ndugu zangu, tuna nguvu za kutosha
 
Mkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.
mkuu ntumie hzo linki maana naona hata hii imeanza kuleta effects
 
Katika imani yangu maneno yanaumba.subconscious mind inauwezo wa kufanya kila amri unayo ipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…