Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka

Namna ya kuondoa Tabia mbovu usiyoitaka

technique hii ambayo na mimi nimeshaijaribu na nimeitumia kuacha kama tabia nne hivi sugu ni rahisi mno na unaweza kushangaa kama inafanya kazi lakini ukijaribu mwenyewe utaona matokeo yake within one week tu.

NAMNA YA KUFANYA

Unachotakiwa kufanya kuchukua karatasi na kalamu na kuandika chini tabia unayotaka kuiacha na all possible angles zinazofanya uiendekeze tabia hiyo.
Kama ni kupunguza uzito inabidi uorodheshe vyanzo vya wewe kuwa na uzito kama kupenda kula hovyo hovyo, kupendelea kula vyakula vya mafuta, stress za maisha, uvivu wa kufanya mazoezi na mengineyo mengi.

Halafu unajiandikia mwenyewe mistari ya kuijiambia kuwa umeshaacha tabia hizo, na ni vizuri sana kuandika kwa kutumia jina lako kwa kuwa ukiandika General ikitokea mtu akasikiliza mara kwa mara unachojiambia hata kama hataki kusikiliza automatically na yeye hukumbwa na matokeo, hivyo huwezi kuingilia uhuru wa mtu hata kama ana tabia ambayo wewe huitaki kwake.

Mfano badala ya kusema Kamwe WEWE SIO MPIGA PUNYETO, unatakiwa useme KAMWE WEWE asigwa SIO MPIGA PUNYETO
au kama unataka kusema KIPATO CHAKO MWAKA HUU KINAKUA MARA MBILI ZAIDI YA KIPATO CHA MWAKA JANA unatakiwa kusema KIPATO CHAKO WEWE asigwa MWAKA HUU KINAKUA MARA MBILI ZAIDI YA MWAKA JANA.

Staili ya maandishi ina masharti mengi sana ikiwa ni pamoja na kuzingatia TENSE na vitu vingi lakini nimeamua kuweka sample ya mbinu ya kuacha kupiga punyeto na unaweza kuzitumia moja kwa moja lakini sharti uweke jina lako badala ya la kwangu kwa kuwa mind yako inakufahamu wewe tu na si mtu mwingine

Baada ya kuandika mistari hio mingi ya kujiambia au kujikommand, unachotakiwa ni kuchukua tape recorder au simu au computer au chombo chochote chenye uwezo wa kurecord sauti na wewe mwenyewe kwa sauti yako kurecord mistari hio ulioiandika kwa kuisoma kwa sauti aya kwa aya.

Ukimaliza kurecord unatakiwa kupata muda wa kusikiliza kila siku angalau mara mbili kwa siku, muda wowote wakati wowote lakini si lazima uweke sauti ya juu sana ambayo itawafanya watu wengine wajue unachosikiliza na si lazima wewe kuacha shughuli zako na kukaa na kusikiliza kwa kuwa subconciousmind yako ina uwezo mkubwa sana wa kusikia sauti za chini sana na kuzi analyse ambazo sikio la kawaida haliwezi kuzisikia.
Unachofanya ni kubonyeza button ya play na kuweka kasauti ka chini ambako hata wewe mwenyewe haukasikii ila kanakua kananong'ona kwa mbali au kama utapata headfone(earfone) ni jambo zuri kisha unaendelea na shughuli zako kama kawaida.

Hata kama unasoma au unafanya kazi au unaangalia TV au uko kwenye makelele mengi mno au unafanya shuguli yoyote ile inayokuweka akili yako busy, haina shida kwa kuwa subconcious mind is smarter inapokua inafanya kazi yake, ndio maana hata kama uko busy au akili yako iko kwenye mambo mengine utaendelea kupumua, utaendelea kutoa jasho la mwili, chakula kitasagika tumboni kama kawaida na mengine ndio maana hakuna haja ya kuhofia kama unasikia ile sauti au hauisikii.
Wakati mwingine mzuri wa kusikiliza clips zako hizo za record ni kablya ya kulala na alfajiri wakati wa kuamka kwani ni kipindi ambacho subconcious mind yako iko active sana kuliko concious mind.

Hapa chini nimeweka sample nzuri ya kuacha kupiga punyeto na nimetumia jina langu kama mfano ili kuondoa any inconvinience
lakini unaweza kuedit na kuweka jina lako au kubadili kutoka katika tabia unayotaka kuacha mfano kutoka kupiga punyeto na kuweka
kuvuta sigara, tabia ya kusinzia mchana, kufuja pesa na tabia nyingine.

Lakini pia unaweza kuongeza mistari yako mwenyewe lakini lazima uzingatie TENSE iwe PRESENT TENSE na uandike ukijiona kama umeshaacha tayari.

Asante mkuu..lakini mimi naomba kujua hii mada inawezesha hata walaji wa mchele kupindukia wakaacha.maana dada yangu anatafuna mchele hata robk kilo kwa siku na zaidi .
 
Ahsante sana na ubarikiwe kwa somo...subliminal messages. #asigwa
 
Mkuu asigwa, ikiwa itakupendeza, endelea na ya mirror na nyinginezo hili somo ni tamu sana aisee.
Ku Visualize nilijaribu sana na kuna wakati nilii-master vizuri sana sana tatizo likawa, kutokana na umri kuwa mdogo kwa wakati ule na maisha ya chuo nilikua ninavisualize mambo ya zinaa tupu, na cha ajabu nilibadilika na kuwa mtu wa zinaa tupu, uchafu nilioufanya ulinilzimisha kuiacha technique ile nikageukia kwenye Mirror technique.

Niliwahi kuweka lengo la kuingiza laki 4 kwa mwezi wakati bado natafuta kazi mara baada ya kumaliza chuo, na nikaweza.

Ni simple technique sana japo inahitaji commitment sana, ila hii ya tape recorder ni nzuri mno na rahisi zaidi kuliko zote
[QUOTEasigwa, post: 14823990, member: 55110"]Ku visualize ni kitendo cha wewe kutumiauwezo wako wa kuona jambo kwa kutumia jicho la ndani, yaani ni jumla ya picha zote na matukio kama yanavyoendelea nadni ya kichwa chako(Moyo wako) mfano nikikuambia unamfahamu simba?
Automaticaly picha ya simba inakujia kichwani.

Nikikuambianimekutana na mama yako mzazni automatically sura(picha) ya mama yako inakujia kichwani hata kama uko mbali naye.

Sasa katika kuvisualize unatengeneza picha na mazingira ya namna
 
Soma Kitabu kinaitwa "The power of your subconscious mind" by Dr Joseph Murphy.. Utafungua na kufunga vitu ambavyo hujawai waza kuwa unaweza kuvifunga au kuvufungua maishani mwako.
daah aisee..

mkuu kama vipi mfano viwili vitatu ili tuoate mwanga wa kutafuta zaidi..samahani kwa usumbufu mkuu
 
daah aisee..

mkuu kama vipi mfano viwili vitatu ili tuoate mwanga wa kutafuta zaidi..samahani kwa usumbufu mkuu

Mkuu wangu hicho Kitabu kinakuelezea wewe ni nani....nguvu uliyonayo wewe kama wewe (yaani subconscious mind yako). Kila kitu kipo ndani yako..ukitaka utajiri upo ndani yako...ukitaka Amani ipo ndani yako...ukitaka umasikini uPO ndani yako...ukitaka furaha IPO ndani yako..ukitaka ujambazi upo ndani yako..ukitaka uponyaji upo ndani yako..chochote kile utakacho ni wewe tu uhamuru subconscious mind yako na kitakuwa kama vile utakavyo kama ukiamini kwa dhati. Kwa kifupi hakuna nguvu inayotoka nje yako...nguvu ipo ndani yako ni wewe tu kujua kuihamuru ili itende kazi kadri utapendavyo wewe...hakuna cha mchungaji...nabii...askofu...shekhe...wala mganga wa KIENYEJI ambaye ana uwezo wa kutenda miujiza huu yako...miujiza iko ndani yako ni wewe tu ujue jinsi ya kuihaamuru hyo miujiza itokee maishani mwako...ukisoma hicho Kitabu utaelewa kuwa wewe ni mtu wa kipekee sana na utabadilika kabisa kabisa.
 
dah mkuu maneno yako yananipa hamu zaidi ya kutaka kujua mengi zaidi
 
Habari zenu wakuu.

Kumekuwa na kilio kikuu sana cha namna ya kuacha tabia mbovu katika maisha hususani MASTURBATION, UVUTAJI WA SIGARA, KUPENDA MAGOMVI, HASIRA KALI, TAMAA YA NGONO ILIYOPINDUKIA, ULEVI, USENGENYAJI, KU-OVERSPEND na mambo mengine mengi ambayo mtu unatamani kuacha lakini hauwezi kuacha ila inakua ni siri yako wewe peke yako.

Zipo njia nyingi sana za kuacha ila katika pita pita zangu nilikutana na mtaalamu mmoja wa saikolojia akanipa njia rahisi sana 3 za ku-deal na tabia hizi lakini moja kubwa na Rahisi ilikua inaitwa TAPE RECODER METHOD.

Theory behind ya hii njia ni kwamba, Mind(akili au ufahamu au nafsi) ya mwanadamu ina sehemu kuu mbili moja inaitwa CONSCIOUS MIND na nyingine inaitwa SUBCONSCIOUS mind. Conscious mind ni sehemu ya akili(mind) inayohusika na mambo ya kawaida ya mwanadamu ya kila siku kama kula, kuzungumza, kuangalia TV , kuchangia mada JF na mambo ambayo mtu unafanya ukiwa na uelewa kuwa unayafanya na hapa ndipo kuna utashi wa mwanadamu.

Subconscious mind ni akili(mind) ya mwanadamu ambayo inamsaidia kufanya mambo hata kama yeye hana habari kama anayafanya, mambo kama kupumua, kuyeyusha chakula tumboni, kumchukia mtu, masturbartion, tamaa ya ngono unapoona mtu kakaa uchi, tamaa ya kutumia sana mara unapopata tu pesa, na mengine mengi.

Cha ajabu ni kuwa 95% ya maisha ya mwanadamu yana controliwa na subconscious mind na only 5% ya maisha ya mwanadamu yana controliwa na conscious mind.

Ili mtu uwe na tabia yoyote ile ni lazima tabia ile au mazoea hayo yafike katika subconscious mind yako na kuwa recorded au stored na ndio maana tabia zote ni automatic na ni ngumu mno kuacha kwa kuwa subconscious mind haina uwezo wa kuacha kitu mpaka kitu kile kifanyiwe replacement na kitu kingine.

Zipo njia nyingi sana za kuifikia subconscious mind kama meditation, visualization, inner self talk na nyinginezo nyingi lakini kikubwa ni kuwa subconscious mind huamini kitu chochote unachokiambia mara kwa mara, au kwa kujirudia rudia hata kama kitu hicho kiwe ni cha ukweli au uongo, provided kwamba umekisikia mara nyingi sana subconscious mind huamini kuwa ni ukweli.(hapa watu wanaotengeneza matangazo hususani kwente TV hutumia sana technique hii wakichanganya na techniques nyingine kibao ili mtu kununua product lengwa)

Ajabu nyingine ni kuwa subconscious mind japo haina uwezo wa kuchagua cha kuamini na cha kukataa lakini inaweka preference kubwa sana katika kuamini information zinazotoka kwa watu wako wa karibu au wale unaowaamini sana, mfano baba mzazi au mama mzazi au mchungaji wako au shekhe wako au ndugu wa karibu au rafiki wa karibu au mfanyakazi au mtu yeyote ambaye unamuamini au kumuheshimu sana.

Mtu huyo akikuambia kitu mara kwa mara hata kama ni cha uongo basi ghafla utajikuta unakiamini tu kuwa ni cha ukweli utake usitake.

Good news ni kwamba mtu ambaye Subconscious mind inamuamini sana kuliko mtu yeyote NI WEWE MWENYEWE na sauti ambayo inaiamini kuliko sauti ya mtu yeyote ni YA KWAKO WEWE MWENYEWE.

Hapa ndipo wataalamu wataalamu wakaja na kitu kinaitwa TAPE RECORDER METHOD.

Kulingana na mtaalamu wa techinique hii(Dr. Shad Helmstetter) ambaye ameizungumzia kwa kirefu yeye hutumia mfumo wa kujiambia kuwa tabia hio ameiacha lakini kwa mbinu nyingi mno, lakini anasisitiza kuwa njia nzuri ni ile RAHISI kuliko zote kwa kuwa si watu wote wanaweza kufanya mediatation wala si wote wanaweza kufanya inner slef talk.

==========

==========

Asante ndugu asigwa kwa somo lako, pindi tunasoma pale udsm sijawah kukuona hata ukiwa na kadem pale mabibo hostel , nahisi ndo mana umetumia mfano wa masturbation, nafikir hiyo tabia utakuwa umeshaitokomeza kabisa
 
dah mkuu maneno yako yananipa hamu zaidi ya kutaka kujua mengi zaidi

Mkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.
 
Very good points, lakini muhimu ni Uamuzi wa dhati. Ukiamua Kwa dhati unaweza kuacha kitu chochote.

Tujitambue ndugu zangu, tuna nguvu za kutosha
 
Mkuu wangu kuna nyuzi humu ukizisoma utajiona kama umechelewa sana kujua nguvu uliyonayo maana inawezekana una nguvu za ajabu sana sema tu hujajitambua bado...nitakutumia links za nyuzi kadhaa ambazo zitakufunua sana na kujielewa wewe ni nani.
mkuu ntumie hzo linki maana naona hata hii imeanza kuleta effects
 
Wewe ASIGWA kamwe sio mpiga punyeto, Umeacha kabisa tabia ya kupiga punyeto
Wewe ASIGWA Unaichukia sana tabia ya kupiga punyeto, Kupiga punyeto ni tabia ya kipumbavu kabisa.
Kupiga punyeto ni tabia ya kishenzi mno.
Sehehmu zako zote za uzazi zimejaa afya tele, zinang'ara kwa afya tele na zina uwezo mkubwa sana wa kuhimili tendo la ngono na mwanamke yeyote.
Wewe ASIGWA una uwezo mkubwa sana wa kufanya tendo la ngono kwa nguvu na ustadi mkubwa sana, Una nguvu za kutosha kama simba unapofanya tendo la ngono na mwanamke yeyote.
Wewe ASIGWA unajithamini sana ndio maana umeacha kabisa kupiga punyeto.
Wewe ASIGWA uko fit sana katika kufanya mapenzi na unaichukia sana masturbation.
Masturbation ni adui yako mkubwa sana ASIGWA.

ASIGWA kufanya Masturbation ni utumwa mkubwa sana na wewe ni mtu huru sana.
Wewe ASIGWA ni marufuku kupiga punyeto maisha yako yote.
Wewe ASIGWA umeacha kabisa kupiga punyeto na hutarudia kamwe katika maisha yako yote.
Wewe ASIGWA Unayafurahia sana maisha kwa kuwa umeacha kupiga punyeto.
Wewe ASIGWA umejaa stamina kubwa sana na nguvu za kutosha za kiume kuweza kumuhimili mwanamke yeyote katika kufanya mapenzi.
Wewe ASIGWA unafurahia sana kufanya mapenzi na mwanamke, na unachukia sana kujichua.
Wewe ASIGWA unayafurahia sana maisha yako, na unayafurahia muda wote wa maisha yako.
Wewe ASIGWA una enjoi sana unapofanya mapenzi na mwanamke, umejaa stamina ya kutosha na unamfikisha kileleni kila mwanamke unayefanya naye mapenzi.
Wewe ASIGWA ni marufuku kupiga punyeto.
Kila mwanamke unayefanya naye mapenzi unamridhisha sana katika tendo la mapenzi.
Hamu ya kupiga punyeto kwako wewe ASIGWA imekatika kabisa ndani yako.
ASIGWA wewe Unaona kinyaa sana kupiga punyeto, kupiga punyeto ni tabia ya kishenzi sana na ya hovyo kabisa.
Historia ya kupiga punyeto imefutika na kusahaulika kabisa katika maisha yako wewe ASIGWA na zama mpya zimeanza katika maisha yako.
Hamu ya kufanya mapenzi inapokujia wewe ASIGWA unasikia neno moyoni mwako likisema "Nimeacha kabisa tabia ya kupiga punyeto".
Wewe ASIGWA hakuna tabia yoyote ile inayoweza kukutawala wala kukuharibia maisha yako wala hatma yako.

Wewe ASIGWA unazitawala tabia zako zote katika maisha yako yote.
Wewe ASIGWA una control kubwa sana ya tabia zako zote kuliko mtu yeyote katika dunia hii.
Kuendekeza punyeto ni kuendekeza kifo, masturbation ni ajenti wa kifo na ni ajenti wa mauti.
Wewe ASIGWA unajipenda sana na unafanya yale yaliyo mema tu kwa ajili ya maisha yako na future yako.
Wewe ASIGWA ni marufuku kupiga punyeto.
Kwa kweli wewe ASIGWA unaenjoi sana kukaa maisha yako yote bila kupiga punyeto.
Tangu wewe ASIGWA umeacha masturbation wewe ni mtu huru kabisa na unayafurahia sana maisha yako kwa sasa.
Wewe ASIGWA Unaenjoi sana kufanya mapenzi kawaida kabisa na mwanamke wa kawaida.
Wewe ASIGWA Umejaa afya ya uzazi na nguvu nyingi mno za kumshughulikia mwanamke yeyote katika kufanya mapenzi.
ASIGWA Kila mwanamke unayefanya naye mapenzi unamfikisha kileleni na kumridhisha kabisa.
Wewe ASIGWA Unaenjoi sana kuwa na full control ya maisha yako na kuacha utumwa wa mastubration.
Wewe ASIGWA ni mtu huru sasa tangu umeacha masturbation katika maisha yako yote.
Kila lengo wewe ASIGWA unalojiwekea katika maisha yako unalifikia.
Hata lengo la kuacha punyeto umeshalifikia kabisa.
Kila lengo unalojiwekea unaliona ndani ya nafsi yako na akili yako ukiwa tayari umeshalifikia na hakika yake unalifikia.
Wewe ASIGWA unafanya mazoezi ya kutosha kila mara na mwili wako unakua na afya ya kutosha.
Wewe ASIGWA unaenjoi sana kuwa na mwili wa mazoezi na maisha yako ni ya furaha sana.

Wewe ASIGWA mejaa sana nguvu za kutosha za kiume katika kufanya mapenzi kumridhisha mwanamke yeyote yule unayekutana naye katika mapenzi.
Uume wako una nguvu za kutosha na ni imara sana, Wewe unazalisha mbegu za kutosha za kiume, uume wako unasimama vya kutosha mpaka mwisho wa kufanya mapenzi.
Kila mwanamke unayefanya naye mapenzi unamfikisha kileleni na kumridhisha kabisa.
Wewe ASIGWA ni marufuku kupiga punyeto.
ASIGWA Masturbation ni tabia rahisi sana kuiacha, na ndio maana umeiacha kabisa katika maisha yako yote.
Punyeto haina nafasi kabisa katika maisha yako wewe ASIGWA, Kupiga punyeto ni tabia ya kishamba sana na ya watu wasio na akili.
ASIGWA Kujichua ni kujifungulia mlango wa kifo, unachukia sana kufanya masturbation na unaoa kinyaa kikuu mno.
ASIGWA, Kufanya masturbation kunatia kichefu chefu kikuu sana.
ASIGWA Wewe ni mtu unayeenjoi sana maisha ndio maana hautaki kabisa kupiga punyeto.
ASIGWA wewe Unaishi kwa furaha sana unapoishi bila kufanya masturbation.
Uume wako wewe ASIGWA unajijenga upya kila siku na misuli ya uume wako inajirekebisha kila siku ili kurudi katika ubora wake unao takiwa uwe.
Katika mazingira yoyote yale wewe ASIGWA unaishi kwa uhuru mkuu sana.
Wanawake wanafurahia sana kufanya mapenzi na wewe.
Wewe ASIGWA Unafurahi sana pia kufanya mapenzi na mwanamke, na sio kupiga punyeto.
Wewe ASIGWA unajiamini sana na unajithamini mno.
Wewe ASIGWA unaithamini sana afya yako na mwili wako unauheshimu mno.
Kuishi bila kufanya mastubration ni kitu rahisi kwako wewe ASIGWA, na hata hivyo umezaliwa ukiwa unaichukia masturbation tangu tumboni.

Wewe ASIGWA una uwezo mkubwa sana wa kuhimili hamu yako ya kufanya mapenzi kuliko mtu yeyote yule katika dunia.
Wewe ASIGWA una uwezo mkuu sana wa kustahimili kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu sana.
Tamaa ya kufanya ngono hovyo hovyo haipo kwako kabisa.
Maisha yako wewe ASIGWA ni ya uhuru sana.
Wewe ASIGWA Unajiheshimu sana na unaweza sana kukaa muda mrefu bila kufanya ngono.
Wewe ASIGWA Unafanya mapenzi pale tu unapoamua kufanya, na sio mazingira yanapoamua.
Wewe ASIGWA una uwezo mkubwa sana wa kuvumilia kufanya mapenzi kuliko mtu yeyote katika dunia.
Wewe ASIGWA una afya njema katika maisha yako lakini kamwe hauendekezi ngono.
Kuendekeza ngono na zinaa ni tabia chafu sana ya wanyama.
Wewe ASIGWA ni marufuku kupiga punyeto.
Wewe ASIGWA Unapoamua kufanya mapenzi unafurahia sana kuliko mtu yeyote katika dunia anavyoweza kufurahia.
Raha ya kufanya mapenzi kwako wewe ASIGWA ni tamu sana kwako lakini unauwezo mkubwa sana wa kujizuia na kuvumilia.
Kufanya ngono hovyo hovyo bila mpango ni tabia ya hovyo sana.
Wewe ASIGWA ni mtu mwenye uvumilivu mkuu sana katika kufanya mapenzi kuliko mtu yeyote yule duniani.
Wewe ASIGWA Unafanya mapenzi pale tu unapoamua kufanya na unafanya na mwanamke tu.
Wewe ASIGWA Una uwezo mkubwa sana wa kumanage hamu yako ya kufanya mapenzi kuliko mtu yeyote katika dunia hii.

Wewe ASIGWA ni marufuku kabisa kuangalia picha za ngono na muvi za ngono.
Picha za ngono ni uchafu na ushetani mkubwa.
Wewe ASIGWA unazichukia sana picha za ngono na kamwe hazina nafasi katika maisha yako.
Wewe ASIGWA unajisikia kinyaa sana kuangalia picha za ngono.
Kuangalia picha za ngono na pornographs ni tabia ya kishenzi na tabia ya kipumbavu mno.
ASIGWA Madahara ya kuangalia picha za ngono ni makubwa mno.
Kamwe wewe ASIGWA hauangalii picha za ngono wala pornographs.
Hamu ya kuangalia picha za ngono imekwisha kabisa katika maisha yako wewe ASIGWA na haipo kamwe.
Hamu ya kuangalia pornographs haipo kabisa katika maisha yako wewe ASIGWA na kamwe hauangalii na wala hautaangalia picha za ngono katika maisha yako yote.
ASIGWA Kutafakari na kuwaza ngono ni ujinga mkubwa sana.
Ni tabia chafu sana kukaa na kuanza kuwaza mambo ya ngono na zinaa kiujumla.
Ni tabia ya kishenzi kabisa kwako wewe ASIGWA kukaa na kuwaza ngono na uchafu wote wa zinaa.
Wewe ASIGWA ni mtu safi sana unayewaza mambo mengi sana ya maana na sio ngono.
Mawazo ya ngono hayana nafasi kabisa katika maisha yako yote wala katika nafsi yako.
Japo wewe ASIGWA unaweza sana kufanya ngono na ni bingwa sana wa kufanya ngono na mwanamke, lakini kamwe hauendekezi mawazo ya ngono katika kichwa wala moyo wako.
Wewe ASIGWA unaenjoi sana kufanya ngono na mwanamke lakini kamwe hauendekezi mawazo ya ngono hili nalo ni moja ya ajabu la dunia hii.

Kufanya masturbation ni karaha sana kwako wewe ASIGWA.
Inakera sana kufanya masturbation, ni kinyaa kikubwa sana na kujiharibia siku.
Kupiga punyeto ni tabia ya washenzi na tabia za watoto wa shule.
Wewe ASIGWA umeacha kabisa kupiga punyeto.
Hakuna raha yoyote katika kupiga punyeto.
Kamwe Raha ya kufanya mapenzi na mwanamke haiwezi kubadilishwa na kupiga punyeto.
Mizizi yote ya kupiga punyeto imeng'olewa kabisa ndani yako ASIGWA na imenyauka kabisa.
Kupiga punyeto ni tendo la aibu kama ilivyo aibu kujisaidia Ubungo barabarani mchana mbele za watu.
Ni kero kubwa sana kwa mtu kama wewe ASIGWA mwenye heshima zako kupiga punyeto.
Wewe ASIGWA umeacha kabisa kupiga punyeto, na kamwe hautarudia tena.
Unapokuwa na stress yoyote ile, kupiga punyeto sio option kabisa inayokujia akilini.
Kupiga punyeto kamwe sio njia ya kujiliwaza nafsi au kuliwaza akili kutokana na stress za maisha.
Sasa Wewe ASIGWA ni mtu huru , umeondokana kabisa na utumwa wa kupiga punyeto na haitajirudia kamwe kupiga punyeto katika maisha yako milele yote.
Wewe ASIGWA Una uwezo mkubwa sana wa kukabiliana na stress bila kupiga punyeto.
Wewe ASIGWA Una uwezo mkubwa sana wa kuvumilia stress na hamu ya kufanya mapenzi inapopanda.
Kama itabidi kufanya mapenzi ili kupunguza stress utatafuta mwanamke na sio kupiga punyeto.
Kupiga punyeto ni maisha ya kijinga sana na ya kipumbavu mno.

ALL THE BEST,
Ukijaribu na ikakusaidia usisite kuedit na kuweka tabia nyingine unazozichukia, lakini pia usisite kuleta mrejesho ili MATOMASO nao waamini na kujaribisha.

NOTE:
Hakuna limit ya kusikiliza clips zako kwa siku ,unaweza kusikiliza hata mara mia kwa siku moja, lakini pia unaweza kusikiliza siku nyingi mno mpaka utakapojiridhisha tabia yako imefutika kabisa naturally bila kutumia nguvu nyingi, lakini pia wakati wa kulala unaweza kuplay button ya play na wewe ukaenda kulala ikaplay the whole night there is no problem.
Katika imani yangu maneno yanaumba.subconscious mind inauwezo wa kufanya kila amri unayo ipa.
 
Back
Top Bottom