Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

Mm nimetumia #truecaller
Ingia google chrome then andika truecaller na ingia kwenye official website baada ya hapo itakuomba ufanye usajili na baada ya hapo utaweka namba ya sim na italeta jina maarufu ambalo wengi wamesave kwenye namba hyo na kukupa access ya kuangalia location ya contact hyo.
Ikiwa kama haitapatikana bas itaonesha pahala ambapo namba ile ilisajiliwa!
Nimejaribu lakini inazingua, nimefikia hapa Screenshot_20230629-144755.png
Screenshot_20230629-144745.png
 
Mm nimetumia #truecaller
Ingia google chrome then andika truecaller na ingia kwenye official website baada ya hapo itakuomba ufanye usajili na baada ya hapo utaweka namba ya sim na italeta jina maarufu ambalo wengi wamesave kwenye namba hyo na kukupa access ya kuangalia location ya contact hyo.
Ikiwa kama haitapatikana bas itaonesha pahala ambapo namba ile ilisajiliwa!
Nimeandika namba kwa kuanzia na code number ikagoma, nikajaribu kawaida lakini bado inaandika error Kama inavyoonekana hapo kwe screenshot
 
Back
Top Bottom